Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,021
- 74,695
Katimiza wajibu wake, hatuwezi kumpongeza kwani ubadhilifu wa mtangulizi wake haikuwa kwamba na huyu afanyeChakaza,taarifa zilizopo ni kwamba State Lodge yetu ya Arusha ilikuwa haitumiki.Raise aliyepita alikuwa akilala kwenye hotel za kifahari na kupoteza fedha za walipa kodi.JPM amekataa utaratibu huo.