babatovu
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 2,739
- 1,602
Sasa hapo cha ajabu ni nini? Halafu jinsi mlivyo wapuuzi sasa,matatizo yanayo litafuna Taifa hili huwa hamjitokeza na kuanziasha nyuzi. Tani za makontena ya mchanga wa dhahabu na madini mengineyo yanasafirishwa kwenda ughaibuni mpo kimya tu. Hata kama mpo kazini, ifike mahali muwe wazalendo.