Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,049
Kwa hiyo ulitaka aje fisadi?Na mlikuwa mnasifia haswa kaja huyu nae mnamsifia haswa akija mwingine akilala chooni mtamsifia mno mno.
Hapo ndipo naposhindwaga kuwaelewa kabisa.
Muone mwenzako Simiyu Yetu hapo juu.
Mnalipwaga kusifia ujinga ujinga nini?
Nilikuwa CDM hadi walipolipokea fisadi kuu. Haikuwa lazima. Si lazima Dr Slaa lakini la fisadi kuu was an own goal