Rais Magufuli atumia Ikulu ya Arusha!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Kweli huu ni wakati wa mabadiliko nchini mwetu, picha kama hizi sikuwahi kuziona huko nyuma za Raisi wa nchi kutumia Ikulu zetu ndogo za Mikoani kwa shughuli za kiserikali!
Kama inavyoonekana pichani chini Raisi Magufuli akiwa na mgeni wake wa Raisi Museveni waUganda aliyewasili mjini Arusha kwenye mkutano wa AM!

MHA3.jpg

MHA1.jpg

MHA5.jpg

JAK.jpg

20160301090557.jpg

HAPA KAZI TU!
 
Kwani hiyo Ikulu ndogo ilikuwa kwa ajili ya Rais au kufugia mbuzi?
Nyie kuna siku mtamsifia hata akiingia chooni

Kumbuka Chakaza uwe na adabu kwa Rais, hata kama humpendi nyamaza...usitaje ovyo ovyo kuwa Rais anaingia ...huo sio utamaduni wa kiafrika. Kuna namna ya kutamka hayo uliyosema...sijui nyie vijana wa siku hizi mkoje, hamna adabu kabisa. kwa kweli inaudhi sana. Mnaifanya nafasi ya Rais ionekane kuwa ni nafasi ya mzaha mzaha.
 
Hapo ndo shida imapokuja old school vs new school
 
Kweli huu ni wakati wa mabadiliko nchini mwetu, picha kama hizi sikuwahi kuziona huko nyuma za Raisi wa nchi kutumia Ikulu zetu ndogo za Mikoani kwa shughuli za kiserikali!
Kama inavyoonekana pichani chini Raisi Magufuli akiwa na mgeni wake wa Raisi Museveni waUganda aliyewasili mjini Arusha kwenye mkutano wa AM!

MHA3.jpg

MHA1.jpg

MHA5.jpg

JAK.jpg

HAPA KAZI TU!

Kwa mwendo huu lazima tutafika tunapo pataka! Waheshimiwa Mawaziri wote na viongozi wote wa taasisi za Umma badilikeni tubane matumizi hakuna sababu ya kulala au kufikia ktk Hotele za gharama kubwa, nchi yetu bado masikini, bado wagonjwa wanahitaji dawa wanafunzi wanahitaji madawati, Maji ni shida nk. Tukikumbubuka matatizo ya wananchi wanyonge kamwe hatuwezi kula Kuku
 
Kwa mwendo huu lazima tutafika tunapo pataka! Waheshimiwa Mawaziri wote na viongozi wote wa taasisi za Umma badilikeni tubane matumizi hakuna sababu ya kulala au kufikia ktk Hotele za gharama kubwa, nchi yetu bado masikini,
Ekspiliens yangu ya four star hotels nilipata kwa kudandia safari za watu. Kweli majipu yanatumbuliwa. Toka maghufuli aingie sijapata pa kudandia. Wanaenda kumbi za mikutano za ofisi
 
Kumbuka Chakaza uwe na adabu kwa Rais, hata kama humpendi nyamaza...usitaje ovyo ovyo kuwa Rais anaingia ...huo sio utamaduni wa kiafrika. Kuna namna ya kutamka hayo uliyosema...sijui nyie vijana wa siku hizi mkoje, hamna adabu kabisa. kwa kweli inaudhi sana. Mnaifanya nafasi ya Rais ionekane kuwa ni nafasi ya mzaha mzaha.
Hayo uliyoyataja ni matunda ya utawala wa CCM.
 
Haya bhana mtabishana na kujibizana sana lkn jamaa ndiyo anachanja mbuga hivyo. Km kweli wenzake walikua wakilala mahoteli ya gharama wakati ikulu ipo anastahili kusifiwa.
 
Kawaida mbona?
Museveni mwenyewe kakulia msituni/porini, sembuse Arusha...tena Ikulu.chaaaa
 
Back
Top Bottom