Rais Magufuli atumia Ikulu ya Arusha!

Rais Magufuli atumia Ikulu ya Arusha!

Magufuli kukaa ikulu ya Arusha nayo mnatoa pongezi!!! Kwani zilijengwa kwa ajili gani? Sifa zingine za kipuuzi kabisa.
 
Awamu ya nne walikuwa wakitumia mahoteli makubwa na kuingia gharama zisizo za lazima. Issue iko hapo.
wote walizitumi kasoro Kikwete
MICHUZI BLOG: RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MGOMBEA WA URAIS WA MSUMBIJI IKULU NDOGO YA TANGA

16.jpg

12.jpg


MICHUZI BLOG: JK AKUTANA NA WAJUMBE KITUO CHA DEMOKRASIA TANZANIA (TCD) IKULU NDOGO DODOMA LEO
uk16.jpg

uk18.jpg


WWW.BAYANA.BLOGSPOT.COM: Rais Kikwete awaapisha Mabalozi wawili wapya mjini Dodoma leo

s5.jpg

sa6.jpg


Rais Kikwete akutana na Meya wa Mji wa Wurzburg, Ujerumani, Mh George Rosenthal Ikulu ndogo ya Mwanza

wud.jpg
 

Attachments

  • 1456907988291.jpg
    1456907988291.jpg
    22.4 KB · Views: 63
  • 1456908029008.jpg
    1456908029008.jpg
    10.7 KB · Views: 61
JK anazidi kujiskia vibaya na maamuzi thabiti ya Magufuli, kwa awamu ya awali,msululu wa watu ungelipiwa malazi Ngurudoto,Bill ingekuja ya billioni 2 kwa event ya week moja tu.
Ikulu ndogo,ina maanisha watakayo itumia ni wale wenye kustahili tu,maofisa wengine watatumia posho zao kujikimu.
Hakika anastahili pongezi
 
Siasa za maji taka still zimekutawala.
Fisadi ni Yona, Mramba na wale jamaa wawili walifungwa kuhusu EPA nadhani.

Otherwise no other fisadi au labda kwa tafsiri yako fisadi ni mtu aliye above the law in TZ yaani huyo ni untouchable, anafanya lolote na hakuna anayemgusa.

Sasa wewe akija Rais anayekula majalalani na wewe utamsifia tu kisa ni Rais coz watu mlimsifia sana JK akila maisha huko mahotelini sasa JK kukaa ikulu kama inavyotakiwa imekuwa ni kumsifia tena?

Nashindwa kuwaelewa vijana Wa kisasa
Unajiita Sensor lakini huwezi ku sense. Kwa leo inatosha
 
Barbarossa cha ajabu nini? Kwani hiyo Ikulu ilikuwa haitumiki? Watu wengine kujipendekeza
 
Chakaza,taarifa zilizopo ni kwamba State Lodge yetu ya Arusha ilikuwa haitumiki.Raise aliyepita alikuwa akilala kwenye hotel za kifahari na kupoteza fedha za walipa kodi.JPM amekataa utaratibu huo.
mkuu hiyo herufi imebadili maana zima!!!!!
 
Gerson Msigwa, Rais wa Uganda anaitwa Yoweri Kaguta Museven siyo YOERI

Fikiria mtu atakapokuita ''Gason Msigwa''

Fanya homework yako !
 
Kuna watu wanadhani Magufuli ni Mtakatifu ?Mkutano uko arusha ukitaka atumie ikulu IPI ??

Au kwa sababu Kikwetw Alikuwa hajitangaziii???

Hapa mbwembwe tuu ,
 
Sasa wanaotuma picha mbili tatu za siku ambazo JK ..Alitumia ikulu za mikoani pia watuambie kwanini zote ziko kwenye poor state of despair ......hiyo ya arusha ilikua aibu ishajeuka pori ....imebidi wafumue kila kitu kuanzia paa ,rangi etc ,....chamwino nayo imehitaji ukarabati mkubwa ..na nyingi ziko kwenye condemn state ......bajeti ya Ikulu kifungu cha MAJENGO[UJENZI] kilikuwa kinafika hadi 300 billions kwa mwaka .....tunajua hii inahusisha kutunza makazi ya rais ,wasaidizi wake , na kukarabati safe houses na majengo ya usalama .......au kwa ajili hivyo vifungu huwa havihojiwi ??
 
Back
Top Bottom