Rais Magufuli apiga simu tena Clouds 360, awapongeza kwa kazi nzuri

PROSPER 05

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
230
250
Leo Rais Magufuli kapiga simu akitokea Chato akiwapongeza kwa kazi nzuri.

Pia amewapongeza wadau mbalimbali waliokuwepo live katika kipindi hicho kilichokua kinaruka live kutoka White Sands Hotel.

Wadau waliokuwepo katika kipindi ni ATCL, Vodacom, Bima, NHC, Jambo etc.
 

sumu-ya-panya

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
611
1,000
Hivi punde mheshimiwa Rais Magufuli amepiga simu live muda Muda katika kipindi cha clouds 360 kinachorushwa moja kwa moja toka hotel ya whitesands Hotel ,na kuwapongeza ATCL,shirika la bima,vodacom na TTCL pamoja na wadau wengine walioshiriki
 

Dj-kobo

JF-Expert Member
May 5, 2013
458
225
Habari zenu wadau.
Nipo naangalia 360 clouds live wakiwa katk hotel ya whitesands.Rais Magufuli amepiga simu kutoka kijijini kwake Chato alikiwapongeza vijana wa clouds kwa ubunifu wao ktk kuendesha vipindi vyao.hongereni clouds, tbc1 kuwen wabunifu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom