Rais Magufuli apiga simu tena Clouds 360, awapongeza kwa kazi nzuri

Rais JPM amepiga simu moja kwa moja katika kipindi cha televisheni cha Clouds 360 kinachofanyika katika hotel ya White Sands iliyopo Dar es Salaam.

Rais akiongea kutoka Chato mapumzikoni amefurahishwa jinsi kipindi hiko kinavyoendeshwa kwa ubunifu wa hali ya juu.Amevutiwa uwepo wa wageni kutoka taasisi mbalimbali kama BIMA, NHC, ATCL, Vodacom na taasisi nyingine.

Hakusita kuonesha hisia zake jinsi viongozi was taasisi hizo walivyoelezea mikakati na mipango yao katika kuboresha Huduma kwa wananchi.Amevutiwa na shirika la BIMA lilivyojiandaa kutoa Huduma bora katika BIMA za nyumba.

Ametumia fursa hiyo kuwatakia Watanzania heri ya Mwaka Mpya 2017.

Mtangazaji wa Clouds ameahidi kipindi kijacho kitafanyika Chato, kwa utani JPM amesema yeye yupo Chato analima.
 
TBC wanapewa ruzuku ya bure, Mh haoni kwamba hiyi ni misuse of our resources??
 
tutasema mengi lakini hakuna ubishi clouds ni wabunifu sana ukilinganisha na tv nyingine sijui wanawapata wapi hawa watangazaji mahiri ambapo tv nyingine haziwapati
Sera ya clouds media ni kwamba wanaajira watu wenye vipaji na ujuzi wa hali ya juu ,na sio kuangalia vyeti vyenye GPA nzuri.na kwel wanatangazaji wengi wa clouds media sio professional ila wana vipaji tu.
 
Tuchangie kistrabu maana kabla ya mwaka kuisha , kuna watu katika uzi huu watakuwa segerea

Pia, sisi kwa uchangiaji wetu ndio tunasababisha Maxence Melo , kutiwa jampa jampa
 
Leo Magufuli Kapiga Simu Akitokea Chato Akiwapongeza Kwa Kazi Nzuri. Pia amewapongeza Wadau Mbalimbali waliokuwepo Live Ktk Kipindi hicho kilichokua kinaruka live Kutoka White Sands Hotel.
Wadau waliokuwepo Ktk Kipindi ni ATCL, Vodacom, Bima, NHc, Jambo etc
Mkurugenzi wa TBC sasa niwakati muafaka wakujitafakari kwani kimsingi nikua ameshindwa kuwa mbunifu na kumshawisi alie mteua nivzr sasa akajielewa kua hatoshi tena hapo na na mkuu havutiwi nayo
 
Leo Magufuli Kapiga Simu Akitokea Chato Akiwapongeza Kwa Kazi Nzuri. Pia amewapongeza Wadau Mbalimbali waliokuwepo Live Ktk Kipindi hicho kilichokua kinaruka live Kutoka White Sands Hotel.
Wadau waliokuwepo Ktk Kipindi ni ATCL, Vodacom, Bima, NHc, Jambo etc
TBC wajue matumizi yao yaliisha wakati wa uchaguzi....sasa hivi wakomae na kipindi za zamadamu na kwenda kubangaiza viumbea lumumba
 
Haya mambo yake ni kinyaa kitupu......

Hivi toka lini kawa celebrity........

Nchi iko kwenye hali tete ya uchumi yeye yupo kwenye kupiga simu baada ya kutumia muda huo kujisomea Vitabu vya uchumi na kukaa na wachumi wamwambie cha kufanya......
hahahah hivi unaweza kusoma vitabu muda wote???
 
Leo Magufuli Kapiga Simu Akitokea Chato Akiwapongeza Kwa Kazi Nzuri. Pia amewapongeza Wadau Mbalimbali waliokuwepo Live Ktk Kipindi hicho kilichokua kinaruka live Kutoka White Sands Hotel.
Wadau waliokuwepo Ktk Kipindi ni ATCL, Vodacom, Bima, NHc, Jambo etc
Huyu mtu wenu huyuuuuuuuuuuuuuuuuu. Basi tyuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom