Rais Magufuli angalia kuna bao utapigwa

Rais Magufuli angalia kuna bao utapigwa

Kwa Mambo yanavyokwenda kwa sasa ni JPM kuchukua maamuzi magumu Kwa Tanganyika kwani tumeshakuwa taifa la kambare kila mtu ana nduvu si mama,baba mpaka watoto wote tuna ndevu

Ni wakati wa JPM kufyeka masharubu yetu leo mpaka viongozi aliowateua wamsaidie kazi kazi yao kushinda mitandaoni tu na kuanza ku like na kukomenti tu aiwezekani leo wameshafikia mpaka kuanza kulike post za muharifu Mange tena Waziri mwenye dhamana ya kupambana na waharifu.
Wewe ni zumbukuku.
 
Ugumu na Makali ya maisha umewafanya watanzania kuwa wendawazimu....Cheki thread ya jamaa....amendika ushenz ushenz unaweza dhani ana.......
 
Hahahahahah najua ndio mwisho wa ufahamu wako na akili yako
Eeeh,na utajitambua pindi utakapoacha kunya akili na kuhifadhi nnya kichwani mwako uwapo maliwatoni.

Cheka tena upate nyongeza.
 
Magufuli pole baba akili za RAIA wako ndio zimefikia hivi.. Hali tete watu wanaugua magonjwa ya ukichaa...hawajui siku ipi ilikuwa nafuu kwao... Makosa ya wengine wanalipa wao...
 
Naandika hapa nikiwa na hasira [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Rais imarisha ulinzi nchi nzima wape oder wakuu wote wa ulinzi na usalama wa mikoa na wilaya zote nchini kuna dalili mbaya ndani ya nchi hii yote haya ni juhudi zako za kupambana na mafisadi,wauza unga nk....
Rais kuna mchezo unachezewa usiyumbe tena kuwa mkali zaidi ya hapa
Wanamikakati wa madawa ya kulevya na wapiga dili wanataka kuitumbukiza nchi hii pabaya

Nakushauri nakushauri angalia sana sinema zinazotengenezwa na watu wanaojiita matumbo mapana siamin roma kama katekwa wala nini hii ni mbinu kama ile ya ben sanane

Be Care Baba J
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Umepoteza marinda ww sio bure..
 
Kazi safiii. JPM hoyeeee. Sindano zinawaingia. Hadi gwajima na kakobe wawaombeee. Si ndio makada wenu
 
Hakika huyu ni ajuza,, nafikiri kuna haja ya wehu wa namna hii humu kukatiwa uzi maana ni kibendera chakavu kisichojua hata mikakati ya mmilki wake faru yusta ametumia milioni mia saba sitini na nane nyanya yako kafa kwa kukosa huduma za afya , elimu bure hakuna mtoto kula hakuna vitabu na madaftari madawati mlichangishwa kwa nguvu leo watu wanapotea wakati wanajihangaikia kutafuta riziki wenyewe wanapotezwa bila taarifa ya nini wamekosea, yoa taarifa bwana huyu nimempenda akatufumue marinda msimtafute atarudi tuu ili wengine wajue mtu wao yupo na waendelee kujitafutia riziki kama vifaranga vikivyotelekezwa porini mnachakata watu kama chuya mcheleni na kumtupa pasipojulikana, nakuhakikishieni huu ni moto unakolezwa na utakapolipuka hautazimwa kirahisi..felia leader.
 
Kazi safiii. JPM hoyeeee. Sindano zinawaingia. Hadi gwajima na kakobe wawaombeee. Si ndio makada wenu
Babu yako kafa maskini....babako vivyo hivyo......wewe nawe unakufa maskini na uzao wako vivyo hivyo.......(sema Amina).
 
Naandika hapa nikiwa na hasira [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Rais imarisha ulinzi nchi nzima wape oder wakuu wote wa ulinzi na usalama wa mikoa na wilaya zote nchini kuna dalili mbaya ndani ya nchi hii yote haya ni juhudi zako za kupambana na mafisadi,wauza unga nk....
Rais kuna mchezo unachezewa usiyumbe tena kuwa mkali zaidi ya hapa
Wanamikakati wa madawa ya kulevya na wapiga dili wanataka kuitumbukiza nchi hii pabaya

Nakushauri nakushauri angalia sana sinema zinazotengenezwa na watu wanaojiita matumbo mapana siamin roma kama katekwa wala nini hii ni mbinu kama ile ya ben sanane

Be Care Baba J
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
hapo kwenye red English yako ni sawa naya unaemshuri, WATCH IT!!!
 
Nadhani wewe ndio uwe wa kwanza kukamatwa na kuhojiwa unaonekana kuna kitu unakijua wewe. IGP anza na huyu kwanza maana ninaamin kama kuna tukio la mauaji au utekaji limefanyika na serikali au watu wake hawahisiki basi huwa ni fasta sana watuhumiwa huwa wanakamatwa ref: kamanda wa mwanza, mwenyekiti wa ccm sijui wilaya gami hivi hata wiki haikupita watu wakadakwa , ukiona serikali ina delay jiulize.
 
Jamani taratibu na hii thread wahusika huko juu wamekuwa banned kichizi yani
 
ukiwa haupo kwenye shida huwezi jua maumivu ya mwenye tatizo... uzuri hata mungu anaangalia maneno yetu na anatuonyeshea pale pale tunapotamka... time will come utanielewa mtoa mada!!
 
Back
Top Bottom