Rais Magufuli angalia kuna bao utapigwa

Rais Magufuli angalia kuna bao utapigwa

Nyumbu baba yako.Na safari hii mtalinywa wauaji wakubwa nyie.Mnadhani mtaishi milele duniani hapa!Hata JKN alikuwa Rais na hayupo Leo sembuse nyie Wauaji.
Huyo mpuuze tu!Hachelewi kupiga "u turn" kesho ikithibitika ametekwa na mamlaka!
 
Serekali inafanya kazi amtaki tutafanya kazi kwa nguvu zote nyie jificheni tu

Kama kazi yenyewe ndiyo hii ya kuua RAIA wasio na hatia Hongereni basi.

Ika Kumbuka auaye kwa upanga atakufa kwa upanga.Neno hili huwa linatenda maana Bibilia haiongopi.

Mwambieni Boss wenu auaye kwa upanga atakufa kwa upanga.

Na afikiriaye amesimama aangalie asianguke.

Angalia sana Ngoma ikuvuma sana hupasuka.
 
Huyo mpuuze tu!Hachelewi kupiga "u turn" kesho ikithibitika ametekwa na mamlaka!

Washenzi sana hawa vijana,wanadhani maisha ya watu ni kama utaenda sokoni na kuyanunua.

Nawalaani sana Mods,ndiyo wachochezi zaidi maana kwa.issue sensitive kama hizi watu wanatafutwa hawajulikani walipo anatokea Mbwa mmoja anadhihaki watu inakera sana na inaumiza sana.
 
Naandika hapa nikiwa na hasira [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Rais imarisha ulinzi nchi nzima wape oder wakuu wote wa ulinzi na usalama wa mikoa na wilaya zote nchini kuna dalili mbaya ndani ya nchi hii yote haya ni juhudi zako za kupambana na mafisadi,wauza unga nk....
Rais kuna mchezo unachezewa usiyumbe tena kuwa mkali zaidi ya hapa
Wanamikakati wa madawa ya kulevya na wapiga dili wanataka kuitumbukiza nchi hii pabaya

Nakushauri nakushauri angalia sana sinema zinazotengenezwa na watu wanaojiita matumbo mapana siamin roma kama katekwa wala nini hii ni mbinu kama ile ya ben sanane

Be Care Baba J
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]

Kama wewe ndio mshauri wa Rais na ushauri wenyewe ndio huu basi nchi imekwisha hii
 
Washenzi sana hawa vijana,wanadhani maisha ya watu ni kama utaenda sokoni na kuyanunua.

Nawalaani sana Mods,ndiyo wachochezi zaidi maana kwa.issue sensitive kama hizi watu wanatafutwa hawajulikani walipo anatokea Mbwa mmoja anadhihaki watu inakera sana na inaumiza sana.
Hebu ona mke wa Roma anavyoumia na kulia halafu kuna watu wanafanya mzaha!
 
be550260e1860572a0b4c257b11ee329.jpg
 
Kijana kama shule ilkukataa acha kuleta aibu humu...

Peleka intelligence yako police......

Your words can be the measure to show who are you...

Sidhani kama utakuwa unatambua hata jinsia yako.....!
Dah hajui Hata jinsia yake?
Kijana kama shule ilkukataa acha kuleta aibu humu...

Peleka intelligence yako police......

Your words can be the measure to show who are you...

Sidhani kama utakuwa unatambua hata jinsia yako.....!
 
Back
Top Bottom