Rais Magufuli angalia kuna bao utapigwa

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
May 14, 2015
4,912
3,991
Naandika hapa nikiwa na hasira
Rais imarisha ulinzi nchi nzima wape oder wakuu wote wa ulinzi na usalama wa mikoa na wilaya zote nchini kuna dalili mbaya ndani ya nchi hii yote haya ni juhudi zako za kupambana na mafisadi,wauza unga nk....
Rais kuna mchezo unachezewa usiyumbe tena kuwa mkali zaidi ya hapa
Wanamikakati wa madawa ya kulevya na wapiga dili wanataka kuitumbukiza nchi hii pabaya

Nakushauri nakushauri angalia sana sinema zinazotengenezwa na watu wanaojiita matumbo mapana siamin roma kama katekwa wala nini hii ni mbinu kama ile ya ben sanane

Be Care Baba J
 
Moja ya hoja za kijinga na kipumbavu ni pale kila jambo mnapotaka kusingizia wauza dawa za kulevya as if hao wauza dawa za kulevya kuna cha maana mlichowafanya hata watake kuwachafua!!!

Ben Saanane yupo wapi? Nae ni wauza dawa za kulevya?

Makonda ambae alivamia ofisi za Clouds nae alitumwa na wauza dawa za kulevya?! Au unataka kutuambia ni wauza dawa za kulevya ndio wali-release CCTV footage iliyoonesha ujambazi wake?

Ni wauza dawa za kulevya ndio walienda kumrekodi yule mama kwa lengo la kumchafua Askofu Gwajima?

Juzi tu hapa Nape alichomolewa bastola mbele ya umati wa watu... wale waliofanya yale ni wauza dawa za kulevya wale?!

Acheni ku-justify ushenzi kwa sababu tu mnasukumwa na itikadi!
 
Moja ya hoja za kijinga ni pale kila jambo mnapotaka kusingizia wauza dawa za kulevya!!!

Ben Saanane yupo wapi? Nae ni wauza dawa za kulevya?

Makonda ambae alivamia ofisi za Clouds nae alitumwa na wauza dawa za kulevya?! Au unataka kutuambia ni wauza dawa za kulevya ndio wali-release CCTV footage iliyoonesha ujambazi wake?

Ni wauza dawa za kulevya ndio walienda kumrekodi yule mama kwa ili hatimae kumdhalilisha Askofu Gwajima?

Juzi tu hapa Nape alichomolewa bastola mbele ya umati wa watu... wale waliofanya yale ni wauza dawa za kulevya wale?!

Acheni ku-justify ushenzi kwa sababu tu mnasukumwa na itikadi!

Tupeni kielelezo serekali kuhusika na utekaji hivi nyie mnajua maana ya intelijensia
 
Kwa Mambo yanavyokwenda kwa sasa ni JPM kuchukua maamuzi magumu Kwa Tanganyika kwani tumeshakuwa taifa la kambare kila mtu ana nduvu si mama,baba mpaka watoto wote tuna ndevu

Ni wakati wa JPM kufyeka masharubu yetu leo mpaka viongozi aliowateua wamsaidie kazi kazi yao kushinda mitandaoni tu na kuanza ku like na kukomenti tu aiwezekani leo wameshafikia mpaka kuanza kulike post za muharifu Mange tena Waziri mwenye dhamana ya kupambana na waharifu.
 
Tupeni kielelezo serekali kuhusika na utekaji hivi nyie mnajua maana ya intelijensia

KaI ya Serikali ni kulinda watu wake.Wakipotea ni kazi ya Serikali kuwa tafuta.Wasipopatikana ni kosa la Serikali wamefanya tukio.
 
mkuu s
Kijana kama shule ilkukataa acha kuleta aibu humu...

Peleka intelligence yako police guy......

Your words can be the measure to show who are you...

Sidhani kama utakuwa unatambua hata jinsia yako.....!
mkuu samahan hapo sahihisha hivi "to show who you are" not who are you. Mzuqa bro natambua ni mother nature,tactics. Respect!
 
Ukishakuwa kiongozi hutakiwi kubase upande mmoja na kuonea upande mwingine!
Mtu anashutuma kibao badala ya kuagiza mamlaka zinazohusika zifanye kazi mtu anasimama eti fulani piga kazi!
Hii chuki imeanza taratibu ila itaendelea kulitafuna taifa!
 
Waambie wamteke Baba na Mama yako au huyo Mbwa mwenzio aliyekutuma.Kuku wewe.

Yaani wewe hata ukifa mwewe hawawezi kula kibudu chako maana akili yako isha chacha fisi wee.

Aaah poleni endeleeni kutumia mbinu za kimafia
 
Trust me, watu kama hawa wanaweza kukusababishia ban hivi hivi!!!

Hawa wala hawanisabishii ban.Hawa inabidi kuwapa za USO tu.Wanakera sana wanajiona wao ni bora kuliko RAIA Wengine??

Nawashangaa mods kwenye issue kama.hizi.sensitive kuwaambia uwanja watu washenzi kama hawa akina Moshi wa Vijijini.
 
Moja ya hoja za kijinga na kipumbavu ni pale kila jambo mnapotaka kusingizia wauza dawa za kulevya as if hao wauza dawa za kulevya kuna cha maana mlichowafanya hata watake kuwachafua!!!

Ben Saanane yupo wapi? Nae ni wauza dawa za kulevya?

Makonda ambae alivamia ofisi za Clouds nae alitumwa na wauza dawa za kulevya?! Au unataka kutuambia ni wauza dawa za kulevya ndio wali-release CCTV footage iliyoonesha ujambazi wake?

Ni wauza dawa za kulevya ndio walienda kumrekodi yule mama kwa ili hatimae kumdhalilisha Askofu Gwajima?

Juzi tu hapa Nape alichomolewa bastola mbele ya umati wa watu... wale waliofanya yale ni wauza dawa za kulevya wale?!

Acheni ku-justify ushenzi kwa sababu tu mnasukumwa na itikadi!
Mbona na wewe kila kitu unamhusisha rc na rais?...nadhani ungetafakari kabla ya kuandika!
 
Hawa wala hawanisabishii ban.Hawa inabidi kuwapa za USO tu.Wanakera sana wanajiona wao ni bora kuliko RAIA Wengine??

Nawashangaa mods kwenye issue kama.hizi.sensitive kuwaambia uwanja watu washenzi kama hawa akina Moshi wa Vijijini.

Sijatukana ila ujumbe umefika wakiniban furesh tu wapuuzi wachache wanataka kuipora amani
 
Back
Top Bottom