Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,064
- 18,367
Heee mkuu upo serious kweli apotezwe! halafu ndio atakua ametengeza nini?Hata mimi ndicho naamini Roma either kajiteka au katekwa na waliomtuma baada ya kuona plan ya Ney imebuma,na kwenye huu mchezo Clouds wanahusika sana,Mheshimiwa usiwe mpole nakuomba mpoteze kabisa mtu mmoja pale clouds angalia sana kuna mchezo wanacheza ambao ni hatari sana
Aisee kuna watu mnakosa utu namna hii juu ya binadamu mwenzio kisa madaraka haya ya kidunia!