Rais Magufuli angalia kuna bao utapigwa

Rais Magufuli angalia kuna bao utapigwa

Endelea kudhani kwa kalio

Kwa sababu kalio lako kina kazi zaidi ya kukalia.

Wenzio tunafikiria kwa ubongo na Hauhitaji pesa toka Lumumba sababu tunafanya Kai zetu hatulishwi na Mbwa yeyote.

Sasa Mwambie huyo Mbwa wako aliyezoea kutoa Tigo,Watanzania siyo wale wa enzi zile.
 
Tupeni kielelezo serekali kuhusika na utekaji hivi nyie mnajua maana ya intelijensia
Unaonaje haya mambo yako ya kijinga ungekaa nayo huko moshi vijijini kishumundu kuliko kutuchafulia ukumbi?

Wauza madawa hamjawafanya lolote, msitumie mgongo wa madawa kuficha cheti...onesha vyeti!
 
Kaka bora apotee mtu mmoja kuliko taifa kuingia kwenye taharuki,baada ya kuona issue ya Ney imebuma wametengeneza ya Roma,Magu shughulikia mtu pale clouds,usipoelewa shauri yako
Una uhakika gani kama huyo wa clouds ana husika?
Kama ni ana mchezo mchafu kwanini hamkuwahi kumuonya makonda na jpm mwenywe mpaka akafikia kuwaamini kiasi hicho?
Au kwasababu makonda ameharibu basi mnatafuta sababu?

Je, huyo ney na roma wameanza kuimba awamu hii?
Na je wanachokiimba kipo au hakipo?

Unaamini akimmaliza huyo unayedai wa clouds ndio atanyamazisha taifa zima?
 
Swala lipo kwenye sheria mnaanza kubwabwaja

Sheria IPI ya kupoteza watu kwa faida ya nani??
kama faffafafa nani alimtuma achezee shule??

Usiku Alikuwa hakumbuki shuka anakumbuka shuka SAA tatu asubuhi.

Awaachie watoto wa watu acheni ufala.
 
Yanini wamekuwa moto baada ya kuona Mpango wao wa kuteka watu unaoratibiwa na Bashite umebuma watu wameshamjua ni yeye sasa amewatuma Mbwa wake humu kutesa hasira za watu
Matokeo yake hata asipotajwa Bashite wenyewe wanajishitukia kwa sababu ndani kabisa ya nafsi zao wanafahamu hapo napo Bashite alitakiwa kutajwa!!!
 
Una uhakika gani kama huyo wa clouds ana husika?
Kama ni ana mchezo mchafu kwanini hamkuwahi kumuonya makonda na jpm mwenywe mpaka akafikia kuwaamini kiasi hicho?
Au kwasababu makonda ameharibu basi mnatafuta sababu?

Je, huyo ney na roma wameanza kuimba awamu hii?
Na je wanachokiimba kipo au hakipo?

Unaamini akimmaliza huyo unayedai wa clouds ndio atanyamazisha taifa zima?

Aliyesema anauwezo wa kupoteza watu ni nani??Mkuu wa mkoa wa Darisalama.Na ndiyo aliyeqatishia watoto wa Clouds atawapakazia ni wauza madawa.

Ni.nani mwenye uwezo.wa kutumia Askari kanzu wa idara nyeti kama si Mkuu wa Mkoa wa Dar??

Amelikoroga mwache ni alinywe.
 
Hao mafisadi na wauza madawa aliopambana nao sijui ni wapi..nilisikia mahakama ya mafisadi imekosa kesi, ndio wameisha au?

Na hao wauza madawa ndio akina TID au??

Inabidi tuanze na wewe usiyeamini kama Roma ametekwa ili utuambie alipo au alipojificha!
 
Matokeo yake hata asipotajwa Bashite wenyewe wanajishitukia kwa sababu ndani kabisa ya nafsi zao wanafahamu hapo napo Bashite alitakiwa kutajwa!!!

Kwa sababu anajua wao wana husika na wametumwa naye Bashite waje wachexk.kama wameshtukia.

Ni issue ya kipumbavu sana na mchezo wa kipumbavu mno wanaoucheza
 
Ukishakuwa kiongozi hutakiwi kubase upande mmoja na kuonea upande mwingine!
Mtu anashutuma kibao badala ya kuagiza mamlaka zinazohusika zifanye kazi mtu anasimama eti fulani piga kazi!
Hii chuki imeanza taratibu ila itaendelea kulitafuna taifa!
Hizi chuki za chini chini zikiachwa... na mkulu...
Maana yeye ndie muasis wa visasi... na chuki hapa nchini... soo tavuna mbegu aliyoipanda... asipoangalia nchi itaelekea kubaya
 
Hao mafisadi na wauza madawa aliopambana nao sijui ni wapi..nilisikia mahakama ya mafisadi imekosa kesi, ndio wameisha au?

Na hao wauza madawa ndio akina TID au??

Inabidi tuanze na wewe usiyeamini kama Roma ametekwa ili utuambie alipo au alipojificha!

Huyo jamaa ametumwa kutest hali ya hewa.
 
Hizi chuki za chini chini zikiachwa... na mkulu...
Maana yeye ndie muasis wa visasi... na chuki hapa nchini... soo tavuna mbegu aliyoipanda... asipoangalia nchi itaelekea kubaya

Ameipanda akaipalilia lazima aivune.
 
Back
Top Bottom