Rais Magufuli angalia kuna bao utapigwa

Rais Magufuli angalia kuna bao utapigwa

Naandika hapa nikiwa na hasira [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Rais imarisha ulinzi nchi nzima wape oder wakuu wote wa ulinzi na usalama wa mikoa na wilaya zote nchini kuna dalili mbaya ndani ya nchi hii yote haya ni juhudi zako za kupambana na mafisadi,wauza unga nk....
Rais kuna mchezo unachezewa usiyumbe tena kuwa mkali zaidi ya hapa
Wanamikakati wa madawa ya kulevya na wapiga dili wanataka kuitumbukiza nchi hii pabaya

Nakushauri nakushauri angalia sana sinema zinazotengenezwa na watu wanaojiita matumbo mapana siamin roma kama katekwa wala nini hii ni mbinu kama ile ya ben sanane

Be Care Baba J
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Sengee kweli wewe
 
Msijisumbue kumjibu. Mleta mada ni kimada wa Mh. Daudi Albert Bashite ni wazazi wake wamezaliwa Moshi Vijijini lakini kwa sasa wanaishi pale mji mdogo wa Hedaru.
 
Kwa Mambo yanavyokwenda kwa sasa ni JPM kuchukua maamuzi magumu Kwa Tanganyika kwani tumeshakuwa taifa la kambare kila mtu ana nduvu si mama,baba mpaka watoto wote tuna ndevu

Ni wakati wa JPM kufyeka masharubu yetu leo mpaka viongozi aliowateua wamsaidie kazi kazi yao kushinda mitandaoni tu na kuanza ku like na kukomenti tu aiwezekani leo wameshafikia mpaka kuanza kulike post za muharifu Mange tena Waziri mwenye dhamana ya kupambana na waharifu.
Naskia na Mkuu wa Kaya huwa anangalia sana SHILAWADU
 
Mimi kuanzia Jana nimeanza kutembea na shoka atakaenisogelea kama simjui tutagaana taasisi yaan magereza au mortuary hii nchi ishakufa yaan kweli watu wanapotezwa ktk mazingira ya utata wazir husika yupo insta analike post na rais nae kimyaaaaaa hakika hawa wanajua kila kitu sasa watekaji na watekwaji wawe tayar kwa mapambano
 
Kwa Mambo yanavyokwenda kwa sasa ni JPM kuchukua maamuzi magumu Kwa Tanganyika kwani tumeshakuwa taifa la kambare kila mtu ana nduvu si mama,baba mpaka watoto wote tuna ndevu

Ni wakati wa JPM kufyeka masharubu yetu leo mpaka viongozi aliowateua wamsaidie kazi kazi yao kushinda mitandaoni tu na kuanza ku like na kukomenti tu aiwezekani leo wameshafikia mpaka kuanza kulike post za muharifu Mange tena Waziri mwenye dhamana ya kupambana na waharifu.
Hivi unatumia kiungo gani cha mwili kufikilia aise maana kwa maneno uliyoandika yote pumba tupu aise!!!!!
 
Kijana kama shule ilkukataa acha kuleta aibu humu...

Peleka intelligence yako police......

Your words can be the measure to show who are you...

Sidhani kama utakuwa unatambua hata jinsia yako.....!
Hajitambui huyo sijui kala maharage ya wapi, anakuja hapa race kama mwehu utafikiri katoka kuzibuliwa bikra. . .
 
Naandika hapa nikiwa na hasira [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Rais imarisha ulinzi nchi nzima wape oder wakuu wote wa ulinzi na usalama wa mikoa na wilaya zote nchini kuna dalili mbaya ndani ya nchi hii yote haya ni juhudi zako za kupambana na mafisadi,wauza unga nk....
Rais kuna mchezo unachezewa usiyumbe tena kuwa mkali zaidi ya hapa
Wanamikakati wa madawa ya kulevya na wapiga dili wanataka kuitumbukiza nchi hii pabaya

Nakushauri nakushauri angalia sana sinema zinazotengenezwa na watu wanaojiita matumbo mapana siamin roma kama katekwa wala nini hii ni mbinu kama ile ya ben sanane

Be Care Baba J
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
mkuu, sasa mtu kama Makonda utamfanyeje? ina maana ile invasion ya pale Clouds ni sinema nayo?
 
Ya clouds ni maigizo tu hakuna chochote clouds walichokionyesha kuhusiana na tukio hilo
 
8c6ae452956119d00ffb14f6a4d87041.jpg
 
'' Maarifa Yaliyo thabiti ni kujua ujinga wa Mwenzako '' kwa huu Uzi nami nina maarifa thabiti
 
Naandika hapa nikiwa na hasira [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Rais imarisha ulinzi nchi nzima wape oder wakuu wote wa ulinzi na usalama wa mikoa na wilaya zote nchini kuna dalili mbaya ndani ya nchi hii yote haya ni juhudi zako za kupambana na mafisadi,wauza unga nk....
Rais kuna mchezo unachezewa usiyumbe tena kuwa mkali zaidi ya hapa
Wanamikakati wa madawa ya kulevya na wapiga dili wanataka kuitumbukiza nchi hii pabaya

Nakushauri nakushauri angalia sana sinema zinazotengenezwa na watu wanaojiita matumbo mapana siamin roma kama katekwa wala nini hii ni mbinu kama ile ya ben sanane

Be Care Baba J
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Bila kusahau yale ya Rufiji na wenyeviti wa mtaa kichwa kinaniuma nipeni asprin
 
vita ya madawa ya kulevya sio ya kitoto. Tutashuhudia MOVIE nyingi sana . Naungana na mtoa hoja. Magufuli mwanaume wa kisukuma hababaishwi ovyo.
 
Naandika hapa nikiwa na hasira [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Rais imarisha ulinzi nchi nzima wape oder wakuu wote wa ulinzi na usalama wa mikoa na wilaya zote nchini kuna dalili mbaya ndani ya nchi hii yote haya ni juhudi zako za kupambana na mafisadi,wauza unga nk....
Rais kuna mchezo unachezewa usiyumbe tena kuwa mkali zaidi ya hapa
Wanamikakati wa madawa ya kulevya na wapiga dili wanataka kuitumbukiza nchi hii pabaya

Nakushauri nakushauri angalia sana sinema zinazotengenezwa na watu wanaojiita matumbo mapana siamin roma kama katekwa wala nini hii ni mbinu kama ile ya ben sanane

Be Care Baba J
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Your extremely idiot!
 
Kwa Mambo yanavyokwenda kwa sasa ni JPM kuchukua maamuzi magumu Kwa Tanganyika kwani tumeshakuwa taifa la kambare kila mtu ana nduvu si mama,baba mpaka watoto wote tuna ndevu

Ni wakati wa JPM kufyeka masharubu yetu leo mpaka viongozi aliowateua wamsaidie kazi kazi yao kushinda mitandaoni tu na kuanza ku like na kukomenti tu aiwezekani leo wameshafikia mpaka kuanza kulike post za muharifu Mange tena Waziri mwenye dhamana ya kupambana na waharifu.
Wewe hata kusema hujui , nenda kajifunze kusema ndio uje kwa Wanaume hapa
 
Back
Top Bottom