Rais Magufuli anafuatiliwa Afrika yote, sio Kenya tu


mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
10,261
Likes
6,538
Points
280
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
10,261 6,538 280
Kwa akili yako fupi Mimi kuandika humu unadhani nateseka lakini huoni malalamiko mbali mbali ya Watanzania kuhusu udhalimu wa huyo dhalimu wenu. Iko siku akili yako itakaa sawa.
Unapaswa kulalamika ilimradi huvunji sheria,ila ukiwa unalalamika kwa kila jambo maana nzima ya kulalamika inapotea,zinakuwa ni siasa uchwala.

Nanyinyi ndio mnafanya watz waamini kuna watu wanalia awamu hii baada ya madeal yao kukatwa,kila jambo kwako ni baya.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
82,140
Likes
121,638
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
82,140 121,638 280
ZWAZWA weye hivi aliyekwapua 1.5 trillions ni nani kama si huyo mwizi na fisadi.

Ungekuwa si ZWAZWA ungevisikia na kuvielewa vilio vya Wakulima, Wafanyakazi na Wafanyabiashara nchini. Wakulima peke yao wamedhulumiwa zaidi ya 250 billions.

Unapaswa kulalamika ilimradi huvunji sheria,ila ukiwa unalalamika kwa kila jambo maana nzima ya kulalamika inapotea,zinakuwa ni siasa uchwala.

Nanyinyi ndio mnafanya watz waamini kuna watu wanalia awamu hii baada ya madeal yao kukatwa,kila jambo kwako ni baya.
 
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
17,035
Likes
9,550
Points
280
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
17,035 9,550 280
Magufuli ni mkweli yaani kabisa..Hakuna Rais duniani ambaye hafuatilii mazungumzo ya mawaziri wake, Ladba awe lofa kama uhuru kenyatta ambaye naibu wake anaitafuna serikali bila yeye kujua.
Vizuri sana mawaziri wajue hadharani tena bila kifichwa kwamba mazungumzo yao kwa kazi zao za serikali yana fuatiliwa, wasijaribu ukanjanja.
Huo ndio ukweli..kama hutaki mazungumzo yako ya fuatiliwe usiutake kazi ya uwaziri
Ila that's breach of etiquette n diplomacy, huwezi kujitamba of wiretapping namna ile! Ingekuwa US a Watergate scandal ingejirudia. Ndo maana CAG anasema tuna Bunge dhaifu!
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
10,261
Likes
6,538
Points
280
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
10,261 6,538 280
ZWAZWA weye hivi aliyekwapua 1.5 trillions ni nani kama si huyo mwizi na fisadi.

Ungekuwa si ZWAZWA ungevisikia na kuvielewa vilio vya Wakulima, Wafanyakazi na Wafanyabiashara nchini. Wakulima peke yao wamedhulumiwa zaidi ya 250 billions.
Hivi unajua 1.5 tillion inafananaje ndugu!!!!usiwe unabugia kila unachowekewa mezani bana.

Wakulima wanalia miaka yote,sio utawala huu tu,huyu babu wa watu anajaribu kuweka mambo sawa,bado manaona ni mchawi anayeroga mchana,wakulima wanahitaji msaada ambao hata wapinzani wanaweza kuwapa,sio siasa za kutafuta kick kila wakati.

Leo hii mtu kama zitto au lissu,angeenda ikulu amwambie rais,mzee nimetoka kuzurula nchi za watu nimepata soko la mahindi ya wakulima,unadhani rais angemfukuza!!maana si ccm wamekaa hawajuia kazi zao,wapinzani nao ni upi msaada wao kwa wananchi??
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
82,140
Likes
121,638
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
82,140 121,638 280
Usifikiri mie ni ZWAZWA kama wewe sijui kuhusu 1.5 trillions. Wakulima hawajawahi kudhulumiwa haki yao ba awamu yoyote ile hii ndiyo awamu iliyokuja na muswaada wa dhuluma ili kukwapua zaidi ya bilioni 250 za wakulima wa korosho.

Korosho nchi hii imenunuliwa kwa miaka 56 na hakuna hata mwaka mmoja wananchi walilalamika kudhulumiwa pesa zao chungu nzima hadi huyo dhalimu wa Ikulu alipokurupuka na kudai atanunua korosho kwa siku mbili! Baada ya kuvurunda sasa wanunuzi binafsi ambao aliwafukuza kawaita tena.

Bado akili yako ndogo sana huwezi kushinda akili kubwa. Usije humu KIZWAZWA ZWAZWA utaumbuka.

Hivi unajua 1.5 tillion inafananaje ndugu!!!!usiwe unabugia kila unachowekewa mezani bana.

Wakulima wanalia miaka yote,sio utawala huu tu,huyu babu wa watu anajaribu kuweka mambo sawa,bado manaona ni mchawi anayeroga mchana,wakulima wanahitaji msaada ambao hata wapinzani wanaweza kuwapa,sio siasa za kutafuta kick kila wakati.

Leo hii mtu kama zitto au lissu,angeenda ikulu amwambie rais,mzee nimetoka kuzurula nchi za watu nimepata soko la mahindi ya wakulima,unadhani rais angemfukuza!!maana si ccm wamekaa hawajuia kazi zao,wapinzani nao ni upi msaada wao kwa wananchi??
 
chizcom

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Messages
1,842
Likes
1,593
Points
280
chizcom

chizcom

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2016
1,842 1,593 280
Watanzania wamefungua nyuzi humu wakilalamika kwanini Wakenya wanafuatilia rais Magufuli, ila nataka kuwaambia taarifa zinazotoka Tanzania za mambo anayoyasema rais wenu aisei ni za kipekee hadi inabidi afuatiliwe tu Afrika yote.

Kwa mfano nimeona tovuti ya Ghana ambapo humo kuna taarifa za Magufuli kukiri huwa anadukua simu za mawaziri wake na kuskliza wanapowasiliana, yaani hiyo kauli ni ya kipekee haijawahi kusemwa na rais yeyote hadharani maana hayo huwa mambo ya usalama wa taifa, sasa tunaposoma taarifa kama hizo kwa kweli lazima tufuatilie maana kama movie vile.
Hii hapa tovuti ya Ghana inayomjadili Tanzania’s President Spies on His Ministers and other Top Government Officials’ Phones
kuna mda wa kuto tumia simu sasa tukutane mkonge hoteli tanga.simu si msiri wako maisha ya sasa
 
simplemind

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Messages
13,152
Likes
3,698
Points
280
simplemind

simplemind

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2009
13,152 3,698 280
Jana kazuka nyingine ya kutaka kupiga rumba na mke wa majaliwa lakini kahofia wivu wa majaliwa 😎😎


P
Is it? Weka picha.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,713
Likes
125,436
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,713 125,436 280
Bro sijawahi kuamini nawewe pamoja na kuwa mwana kiringe unateseka awamu hii.

Kweli magu magic hummer.
Bro am above that level trust me... Na kama kuna watu wanakula bata awamu hii naweza kuwa mmojawapo..... Kilinge daily kiko full

Jr
 
NairobiWalker

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Messages
4,235
Likes
2,636
Points
280
NairobiWalker

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2012
4,235 2,636 280
Taahira mwingine wewe! Vilio vya Wakulima, Wafanyakazi na Wafanyabiashara juu ya dhuluma mbali mbali wanazofanyiwa na huyo dhalimu ZWAZWA wewe huzioni! Nchi kuwa na MAZWAZWA kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa kutwa kucha kupigia makofi udhalimu.
Huyo sisi tulishachoka naye. Ni kama akili yake ni mavi vile.
 
Mkikuyu- Akili timamu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
2,484
Likes
3,871
Points
280
Mkikuyu- Akili timamu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
2,484 3,871 280
Ila that's breach of etiquette n diplomacy, huwezi kujitamba of wiretapping namna ile! Ingekuwa US a Watergate scandal ingejirudia. Ndo maana CAG anasema tuna Bunge dhaifu!
Magufuli is so honest that sometimes he slips out secrets
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
23,130
Likes
6,286
Points
280
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
23,130 6,286 280
Ya Uhuru je
 
dong yi

dong yi

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2016
Messages
2,194
Likes
2,036
Points
280
Age
49
dong yi

dong yi

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2016
2,194 2,036 280
kile kijarida kilichoandika magufuli ni raisi namba 2 afrika, addres yake ya google inaonesha ni dar-es-salaam............


ila awamu hii imetu-expose jinsi watanzania tulivyo wajinga jaman Lol........


hadi wiretapping kuna majinga yanashangilia?, really?....... kweli sisi elimu haimo vichwani!
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
12,327
Likes
10,624
Points
280
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
12,327 10,624 280
Hata Marekani CIA wanamdukua hadi Rais wao, ni kawaida idara za ujasusi zinazozingatia maslahi mapana ya nchi kutomwamini yeyote, labda kibaya ni kuweka wazi, ingawa inaweza kuwa mbinu ya kuwaweka wenye dhamana kwenye mstari na kuogopa kujali matumbo yao na familia zao. Mfano Naibu waziri wa mambo ya ndani alipotaka kuingiza vijana wake kwenye ajira ya polisi kwa kutumia cheo chake, bila udukuzi isingejulikana, je hilo likiruhusiwa unategewa watoto wa maskini na wakulima watapata ajira huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni mambo ya kawaida kwa yeyote yule kudukuliwa, itakua hujaelewa ninachokisema umekimbilia kujibu tu. Rais wa nchi yeyote ile ni mtu muhimu sana na hupewa siri ya mambo mengi ambayo mtu wa kawaida kama wewe hautawahi kuyajua, usalama wa taifa hukesha wakifuatilia mambo mengi kwenye nchi na kumpa rais mrejesho.
Hata kule Marekani, pamoja na uropokwaji na ukichaa wa Trump, lakini kuna mambo hawezi kuyasema hadharani maana yule pale ni taasisi sio mtu tu, anazo siri hadi za mambo ya nyuklia.
Rais wenu huwa na nia njema sana kwa nchi yake, ni mzalendo lakini kama nilivyowahi kusema hapo awali, sijui aidha ana washauri wabaya au hapendi kufuata ushauri au hashauriki, maana kila akipewa kipaza sauti/microphone hutiririka yote bila kuchuja, anakosa kuelewa kwamba yeye sio Magufuli tu, ila ni taasisi nzima ya urais, kinachomtoka mdomoni kinazagaa nchi yote na kimataifa.
Kuna mambo ya siri ya ndani, hufai kuyaachia hadharani kwa kandamnasi, aidha unawaita mawaziri kimya kimya na kuwaonya kuhusu mienendo yao ambayo unayo taarifa kuyahusu. Wengine unawapiga surprise, unawashtukiza na mkanda mzima wa mienendo yao, rais kama ilivyo kwa baba wa nyumbani lazima ujifunze kuwa mysterious and enigmatic, mengine hata mkeo asiyajue.
Sasa huyo wa kwenu niliona sehemu anasema hulala hata na mafaili, hehehe ila pia nimewahi kusoma sehemu akisema urais hakua amejandaa nawo, kashinikizwa tu na huwa anashangaa sana jinsi akina Kikwete walipga miaka kumi na wapo wapo tu, hiyo sio taasisi ya kukurupuka.
 
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
7,841
Likes
17,420
Points
280
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
7,841 17,420 280
Jirani ndiyo matatizo ya kumkabidhi Nchi kichaa eti aiongoze!!!! Jiwe na kuongoza nchi wapi na wapi!!! Watanzania tunaojitambua hatukutegemea kuiona nchi yetu hapa ilipofikia kuzungumziwa vibaya kwenye nchi nyingi na wengi tulidhani Kikwete was worse kumbe tulikosea sana.
Mkuu kumbe Kichaa hakina tiba kabisa.
 
diamond d

diamond d

Senior Member
Joined
Dec 20, 2018
Messages
119
Likes
230
Points
60
diamond d

diamond d

Senior Member
Joined Dec 20, 2018
119 230 60
Acha ujinga wewe waulize hao unao warembulia Sgr Yao VP? Sio unaropoka tu
Mtu msamehe bure majirani zetu wa kenya, maana huyu jamaa ni msiba hata kwetu sisi watanzania. Aibu kweli

Inafikia hatua hata tukisafiri kwenda baadhi ya nchi za nje, tunakutana na marafiki zetu wanatucheka na kutukejeli kwa vituko vyake. Inatuumiza sana wakati mwingine, sio siri.

Noma sana wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
diamond d

diamond d

Senior Member
Joined
Dec 20, 2018
Messages
119
Likes
230
Points
60
diamond d

diamond d

Senior Member
Joined Dec 20, 2018
119 230 60
SGR Vepeeee
Hahahaha wakenya mtaumia sana, Magufuli anawalaza macho. Magufuli katika kipindi chake cha uongozi wa miaka mitatu sasa, amechaguliwa kuwa "the best president wa Africa miaka miwili mfululizo, na mwaka huu amekua namba mbili akitanguliwa na rais mstaafu wa Botswana.

Ukitaka kujua kwamba Magufuli ni very important president hapa Africa, ni hili gazeti la Ghana kuandika anachozungumza Magufuli, wanafuatilia kila abachofanya, hakuna rais anayrfuatiliwa hapa Africa kama Magufuli.

Hayo mazungumzo aliyosema abafuatilia, watanzania wote tumekua tukifuatilia posts za mawaziri mbalimbali katika Instagram zao, wengi tukiwashutumu kwa majibizano wanayofanya katika mitandao ya kijamii, iweje rais asifuatilie malombano hayo ili ajue kinachoendelea?.

Wakenyabajisikia wivu kwasababu Magufuli anafanya kazi yake ipasavyo, abawajuwa mawaziri na watendaji wake mwanzo mwisho, kila anayefanya vizuri anamjua na anayefanya vibaya anajulikana na anaondolewa. Hongera Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,251,866
Members 481,916
Posts 29,788,523