Rais Magufuli anafuatiliwa Afrika yote, sio Kenya tu

MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
12,325
Likes
10,615
Points
280
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
12,325 10,615 280
Watanzania wamefungua nyuzi humu wakilalamika kwanini Wakenya wanafuatilia rais Magufuli, ila nataka kuwaambia taarifa zinazotoka Tanzania za mambo anayoyasema rais wenu aisei ni za kipekee hadi inabidi afuatiliwe tu Afrika yote.

Kwa mfano nimeona tovuti ya Ghana ambapo humo kuna taarifa za Magufuli kukiri huwa anadukua simu za mawaziri wake na kuskliza wanapowasiliana, yaani hiyo kauli ni ya kipekee haijawahi kusemwa na rais yeyote hadharani maana hayo huwa mambo ya usalama wa taifa, sasa tunaposoma taarifa kama hizo kwa kweli lazima tufuatilie maana kama movie vile.
Hii hapa tovuti ya Ghana inayomjadili Tanzania’s President Spies on His Ministers and other Top Government Officials’ Phones
 
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2018
Messages
2,067
Likes
5,579
Points
280
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2018
2,067 5,579 280
Mtu msamehe bure majirani zetu wa kenya, maana huyu jamaa ni msiba hata kwetu sisi watanzania. Aibu kweli

Inafikia hatua hata tukisafiri kwenda baadhi ya nchi za nje, tunakutana na marafiki zetu wanatucheka na kutukejeli kwa vituko vyake. Inatuumiza sana wakati mwingine, sio siri.

Noma sana wakuu.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
82,090
Likes
121,570
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
82,090 121,570 280
Jirani ndiyo matatizo ya kumkabidhi Nchi kichaa eti aiongoze!!!! Jiwe na kuongoza nchi wapi na wapi!!! Watanzania tunaojitambua hatukutegemea kuiona nchi yetu hapa ilipofikia kuzungumziwa vibaya kwenye nchi nyingi na wengi tulidhani Kikwete was worse kumbe tulikosea sana.

Watanzania wamefungua nyuzi humu wakilalamika kwanini Wakenya wanafuatilia rais Magufuli, ila nataka kuwaambia taarifa zinazotoka Tanzania za mambo anayoyasema rais wenu aisei ni za kipekee hadi inabidi afuatiliwe tu Afrika yote.

Kwa mfano nimeona tovuti ya Ghana ambapo humo kuna taarifa za Magufuli kukiri huwa anadukua simu za mawaziri wake na kuskliza wanapowasiliana, yaani hiyo kauli ni ya kipekee haijawahi kusemwa na rais yeyote hadharani maana hayo huwa mambo ya usalama wa taifa, sasa tunaposoma taarifa kama hizo kwa kweli lazima tufuatilie maana kama movie vile.
Hii hapa tovuti ya Ghana inayomjadili Tanzania’s President Spies on His Ministers and other Top Government Officials’ Phones
 
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
7,258
Likes
8,308
Points
280
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2009
7,258 8,308 280
Watanzania wamefungua nyuzi humu wakilalamika kwanini Wakenya wanafuatilia rais Magufuli, ila nataka kuwaambia taarifa zinazotoka Tanzania za mambo anayoyasema rais wenu aisei ni za kipekee hadi inabidi afuatiliwe tu Afrika yote.

Kwa mfano nimeona tovuti ya Ghana ambapo humo kuna taarifa za Magufuli kukiri huwa anadukua simu za mawaziri wake na kuskliza wanapowasiliana, yaani hiyo kauli ni ya kipekee haijawahi kusemwa na rais yeyote hadharani maana hayo huwa mambo ya usalama wa taifa, sasa tunaposoma taarifa kama hizo kwa kweli lazima tufuatilie maana kama movie vile.
Hii hapa tovuti ya Ghana inayomjadili Tanzania’s President Spies on His Ministers and other Top Government Officials’ Phones
kweli aisee...... nchi yetu imekuwa ze comedy, na Masanja Mkandamizaji wetu ni maarufu kweli kweli Africa na duniani kote hadi Beijing!
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
12,325
Likes
10,615
Points
280
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
12,325 10,615 280
aisee ndio lakini mbona hata Uhuru nae ana yakwake
Kweli Uhuru ana yake, tena full comedy, kila rais huwa na vituko hata kule Marekani Trump anatiririka matamko kweli kweli, lakini huko kwenu hadi raha, yaani kila siku mnaibua mpya.
 
N

niah

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
4,783
Likes
5,430
Points
280
N

niah

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
4,783 5,430 280
Mtu msamehe bure majirani zetu wa kenya, maana huyu jamaa ni msiba hata kwetu sisi watanzania. Aibu kweli

Inafikia hatua hata tukisafiri kwenda baadhi ya nchi za nje, tunakutana na marafiki zetu wanatucheka na kutukejeli kwa vituko vyake. Inatuumiza sana wakati mwingine, sio siri.

Noma sana wakuu.
Mimi huku nilipo naulizwa kuhusu family planning na ndoa za mitala! Imefika mahala nimewaambia anatania lakini najua ni aibu kwetu sote. Mtu ufyatue watoto kama matofali wakati dawa, madawati, walimu, nyumba za kuishi, maji, barabara kila kitu shida shida mpaka siku ya mwisho ehhhhe!!! Kwa sauti ya Mbaraka Mwinshehe.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,633
Likes
125,264
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,633 125,264 280
Watanzania wamefungua nyuzi humu wakilalamika kwanini Wakenya wanafuatilia rais Magufuli, ila nataka kuwaambia taarifa zinazotoka Tanzania za mambo anayoyasema rais wenu aisei ni za kipekee hadi inabidi afuatiliwe tu Afrika yote.

Kwa mfano nimeona tovuti ya Ghana ambapo humo kuna taarifa za Magufuli kukiri huwa anadukua simu za mawaziri wake na kuskliza wanapowasiliana, yaani hiyo kauli ni ya kipekee haijawahi kusemwa na rais yeyote hadharani maana hayo huwa mambo ya usalama wa taifa, sasa tunaposoma taarifa kama hizo kwa kweli lazima tufuatilie maana kama movie vile.
Hii hapa tovuti ya Ghana inayomjadili Tanzania’s President Spies on His Ministers and other Top Government Officials’ Phones
Sio Watanzania ni vijana wa lumumba na huwa wanaandikiwa hivyo kukikosekana cha kuandikiwa

Jr
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
7,654
Likes
7,356
Points
280
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
7,654 7,356 280
Hahahaha wakenya mtaumia sana, Magufuli anawalaza macho. Magufuli katika kipindi chake cha uongozi wa miaka mitatu sasa, amechaguliwa kuwa "the best president wa Africa miaka miwili mfululizo, na mwaka huu amekua namba mbili akitanguliwa na rais mstaafu wa Botswana.

Ukitaka kujua kwamba Magufuli ni very important president hapa Africa, ni hili gazeti la Ghana kuandika anachozungumza Magufuli, wanafuatilia kila abachofanya, hakuna rais anayrfuatiliwa hapa Africa kama Magufuli.

Hayo mazungumzo aliyosema abafuatilia, watanzania wote tumekua tukifuatilia posts za mawaziri mbalimbali katika Instagram zao, wengi tukiwashutumu kwa majibizano wanayofanya katika mitandao ya kijamii, iweje rais asifuatilie malombano hayo ili ajue kinachoendelea?.

Wakenyabajisikia wivu kwasababu Magufuli anafanya kazi yake ipasavyo, abawajuwa mawaziri na watendaji wake mwanzo mwisho, kila anayefanya vizuri anamjua na anayefanya vibaya anajulikana na anaondolewa. Hongera Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kajolijo

Kajolijo

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Messages
3,250
Likes
4,215
Points
280
Kajolijo

Kajolijo

JF-Expert Member
Joined May 30, 2016
3,250 4,215 280
Mtu msamehe bure majirani zetu wa kenya, maana huyu jamaa ni msiba hata kwetu sisi watanzania. Aibu kweli

Inafikia hatua hata tukisafiri kwenda baadhi ya nchi za nje, tunakutana na marafiki zetu wanatucheka na kutukejeli kwa vituko vyake. Inatuumiza sana wakati mwingine, sio siri.

Noma sana wakuu.
Sasa unasubiri nini kuondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Messages
1,878
Likes
2,622
Points
280
M

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2018
1,878 2,622 280
Kweli Uhuru ana yake, tena full comedy, kila rais huwa na vituko hata kule Marekani Trump anatiririka matamko kweli kweli, lakini huko kwenu hadi raha, yaani kila siku mnaibua mpya.
huyu wa kwetu tumeamua kwenda nae hivihivi
 
Mkikuyu- Akili timamu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
2,483
Likes
3,866
Points
280
Mkikuyu- Akili timamu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
2,483 3,866 280
Magufuli ni mkweli yaani kabisa..Hakuna Rais duniani ambaye hafuatilii mazungumzo ya mawaziri wake, Ladba awe lofa kama uhuru kenyatta ambaye naibu wake anaitafuna serikali bila yeye kujua.
Vizuri sana mawaziri wajue hadharani tena bila kifichwa kwamba mazungumzo yao kwa kazi zao za serikali yana fuatiliwa, wasijaribu ukanjanja.
Huo ndio ukweli..kama hutaki mazungumzo yako ya fuatiliwe usiutake kazi ya uwaziri
 
Forum statistics

Threads 1,251,657
Members 481,834
Posts 29,779,431