mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,665
- 37,212
Kwa akili yako fupi Mimi kuandika humu unadhani nateseka lakini huoni malalamiko mbali mbali ya Watanzania kuhusu udhalimu wa huyo dhalimu wenu. Iko siku akili yako itakaa sawa.
Unapaswa kulalamika ilimradi huvunji sheria,ila ukiwa unalalamika kwa kila jambo maana nzima ya kulalamika inapotea,zinakuwa ni siasa uchwala.
Nanyinyi ndio mnafanya watz waamini kuna watu wanalia awamu hii baada ya madeal yao kukatwa,kila jambo kwako ni baya.