Kweli kama alivyotumbua majipu ya Lugumi, Escrow, IPTL, DSM Ferry, nyumba za serikali, Simba Trust etc.mimi huwa sibembelezi mtu, mkono wangu ni mwepesi sana kutumbua.”
Source:Nipashe.
Kwani mke wa Lukuvi alikuwa hafanyi kazi vizuri?Kwa kufanya kazi vizuri, sasa lazima alipo anakutana na wakata mitaa wengi ni analo kunyoosha njia alipo.
Ni kweli alikuwa anatania kwa sababu hata kwa Kitwanga alitania tu!Mzee alikua anatania tu, si unajua yule ni Mpwa wake kwahio huwa wanataniana....
Message sent and delivered!Tanesco HQ wajiandae kutumbuliwa mda si mrefu!
Mkuu mrangi wewe ni mtu wa heshima hapa jamvini. Ngoja nikuambia yangu. Kama baba yangu angelichaguliwa kuwa rais wa Tanzania basi watu wasiofikiria nje ya box wangekufa kwa kiroho cha kusema anapendelea ndugu zake. Kwanini? Uzao wetu tuko watoto 16 (wake na vimada) na wote tumesoma na watano wako kwenye position za juu serikalini. This means kwamba watu wasingeweza kuona kama kila mtu kafika pale kwa juhudi zake bali wangesema wamebebwa na baba yao ambaye ni rais!
I'm afraid, you have twisted psyche!Tribalism
Wee unaisi alipataje kwani? Hapo mchawi shule tuu..Huyo anko wake alipandaje cheo hicho?
Mwisho wa siku mtasema Magu hana mamlaka ya kutoa maelekezo pia...Magufuli anashangaza mno
mamlaka ya kupeleka umeme hapo kiwandani hayapo kwa huyo meneja wa Pwani Tanesco
kiwanda cha Bakhresa kinahitahi megawat 10
sawa na mahitaji ya mkoa mzima wa Dodoma....
sio investment ndogo
maamuzi yako Tanesco headoffice na wizarani
alipaswa kumtishia waziri wake na sio huyo
Mkuu ni usafiri tu. Kiwanda kinachohitaji Mega watts 10 kitakuwa Tanzania!?Magufuli anashangaza mno
mamlaka ya kupeleka umeme hapo kiwandani hayapo kwa huyo meneja wa Pwani Tanesco
kiwanda cha Bakhresa kinahitahi megawat 10
sawa na mahitaji ya mkoa mzima wa Dodoma....
sio investment ndogo
maamuzi yako Tanesco headoffice na wizarani
alipaswa kumtishia waziri wake na sio huyo
Wewe ulitaka uKatibu Mkuu wa wizara hiyo apewe nani?Katibu mkuu mpya wa wizara ya fedha, Uchumi na Mipango ni binamu wa mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli. Miaka sio zaidi ya miwili iliyopita alikuwa ni mhasibu wa ngazi ya chini TBA. Mheshimiwa alipokabidhiwa nchi akamteua kuwa Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Fedha, na majuzi amepewa sasa uKatibu Mkuu kamili wa Wizara hii nyeti katika taifa letu.
Matumizi ya fedha za walipa kodi nje ya zile zinazoidhinishwa na bunge la JMT yatatufundisha mengi sana.
Mkuu mrangi wewe ni mtu wa heshima hapa jamvini. Ngoja nikuambia yangu. Kama baba yangu angelichaguliwa kuwa rais wa Tanzania basi watu wasiofikiria nje ya box wangekufa kwa kiroho cha kusema anapendelea ndugu zake. Kwanini? Uzao wetu tuko watoto 16 (wake na vimada) na wote tumesoma na watano wako kwenye position za juu serikalini. This means kwamba watu wasingeweza kuona kama kila mtu kafika pale kwa juhudi zake bali wangesema wamebebwa na baba yao ambaye ni rais!
Magufuli anashangaza mno
mamlaka ya kupeleka umeme hapo kiwandani hayapo kwa huyo meneja wa Pwani Tanesco
kiwanda cha Bakhresa kinahitahi megawat 10
sawa na mahitaji ya mkoa mzima wa Dodoma....
sio investment ndogo
maamuzi yako Tanesco headoffice na wizarani
alipaswa kumtishia waziri wake na sio huyo
Kwa hili ebu tuweni wakweli. Huyo Maduhu aliajiriwa na Tanesco hata kabla Magufuli hajawa mkubwa wa nchi.Mmmh!..watu wanakula vitengo tu
Kuna baadhi ya watu wanashangaza sana.Kwa hiyo unataka kutuambia wewe unajua zaidi ya Magufuli?
Huyu mpwa wa Pombe, alikua na cheo tangu kitambo tena hata kabla ya mjomba kufikiria kua mkubwa wa nchiHuyo anko wake alipandaje cheo hicho?