shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,800
- 4,322
mg 10 nying sana duuh
Gunyoda mkuusaita!
mkuu ngaramtoni hiyoo kabla mshua ajanyoosha. Vipi mkuu homu kwenu ni "masieda" mbulu?
Kama ni kusikia inawezekana kuna mwingine akasikia hata wewe ni ndugu yake!
Anatania.
Nchi hii bila kuwa firm and fair hawezi kutimiza malengo yake.Kwa mikwara mtufuku hajambo
Hata Dr. Mashinji!Nasikia na yule bosi wa Muhimbili ni binamu yake,Emmanuel Buhohela pia nduguye
Huko siyo kukosea ....ni incompetence!!Nadhani wafanyakazi wa kiwanda walikosea idadi ya megawati inayohitajika.