Rais Magufuli amtishia mtoto wa dada’ke

Rais Magufuli amtishia mtoto wa dada’ke

Kweli kama alivyotumbua majipu ya Lugumi, Escrow, IPTL, DSM Ferry, nyumba za serikali, Simba Trust etc.
Amewaachia hizo hoja ili mpate angalau mti wa kujishikiza kisiasa ili mpige kelele ambazo zina hoja za nguvu kwa sababu your fundamentally weak and rely heavily on the personal appeal of Lowassa.
.
 
Nasikia na yule bosi wa Muhimbili ni binamu yake,Emmanuel Buhohela pia nduguye
Sasa wewe ulijua Magufuli amedondoka kama kimondo hadi asiwe Na ndugu hapa Tanzania?
 
No.
Nepotism
Mimi siwaelewi baadhi ya Watz, hivi mtu akiwa kiongozi wa ngazi za juu Serikalini, ndugu zake hawatakiwi kuajiriwa au kishika nyadhifa Serikalini hata kama wana sifa zinazohitajika?
Naomba mnisaidie, sura/ibara gani ya Katiba au Sheria inayozuia ndugu wa kiongozi fulani kushika nyadhifa Serikalini.
 
Ridhiwan Kikwete ni mwanasheria na ana kampuni yake ya uwakili, jiulize kwanini baba yake alipokuwa rais hakumpa cheo cha uwaziri wa sheria na katiba au walau unaibu waziri?
 
Mwisho wa siku mtasema Magu hana mamlaka ya kutoa maelekezo pia...

Wazee wa kupinga na kukosoa kila kitu...
Hawa jamaa ninawasikitikia sana kwa jinsi ambavyo wameishiwa hoja zenye nguvu za hoja.

Kwa sasa hoja walizonazo ni kupayuka tu ili wasikie wakipiga kelele.
 
Ridhiwan Kikwete ni mwanasheria na ana kampuni yake ya uwakili, jiulize kwanini baba yake alipokuwa rais hakumpa cheo cha uwaziri wa sheria na katiba au walau unaibu waziri?
hakumpa kwakuwa alikuwa anajua watu km ww! mpo kwaajili ya kuongea na kuhoji na hvyo hakutaka magazeti yauze!
 
Huyu mpwa wa Pombe, alikua na cheo tangu kitambo tena hata kabla ya mjomba kufikiria kua mkubwa wa nchi
Hujajibu swali. Alikuwa na cheo gani na hicho cheo alichonacho sasa alikipata kabla au baada ya anko wake kuwa rais?
 
Hujajibu swali. Alikuwa na cheo gani na hicho cheo alichonacho sasa alikipata kabla au baada ya anko wake kuwa rais?

Mhandisi martin madulu yuko Tanesco Kama mhandisi toka mwishoni mwa miaka ya themanini wakati huo JPM ni mwalimu sengerema.hicho cheo alicho nacho sasa anacho zaidi ya miaka mitano sasa.
 
Ridhiwan Kikwete ni mwanasheria na ana kampuni yake ya uwakili, jiulize kwanini baba yake alipokuwa rais hakumpa cheo cha uwaziri wa sheria na katiba au walau unaibu waziri?
Umeshasema anakampuni yake ya uwakili, unataka apewe uwaziri kwa nini? Je kama hakutaka mwenyewe unajuaje?

Kumbuka swali langu la msingi ni sheria ipi inayozuia ndugu wa kiongozi wa Serikali kushika nyadhifa Serikalini hata kama wanasifa?
 
Amewaachia hizo hoja ili mpate angalau mti wa kujishikiza kisiasa ili mpige kelele ambazo zina hoja za nguvu kwa sababu your fundamentally weak and rely heavily on the personal appeal of Lowassa.
.
Ona sasa maCCM akili zao...wewe kwa mawazo yako mtu yeyote akisema ukweli juu ya usanii wa Magufuli unamwona ni mfuasi wa Lowasa. No wonder TZ is still stinking poor; and it will remain poor as long maCCM are in power...I hate CCM with all my heart because of it has been raping TZ so hard and for so long..I pray to God that I live to see the day when the crooks are out of power...
 
Serikali imejaa udugu na urafiki hii. Keshokutwa ataanza kuwaweka kabila yake tu.

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Namkumbuka dingi alikuwa anaupenda sana wimbo wa Ndala Kasheba.

Mawazo yamenijia leo aliokuwa mzee wangu akisema dunia msongamano wa watu wenye akili tofauti. Ukitaka kuish vyema fikiri kabla ya kujib (kaul za kukurupuka). Jifunze kwa walimwengu walimwengu wajifunze kwako dunia nikuona mambo halafu kuyasahau.

Mateso nimeshayapata matatizo mengi yamenikuta furaha nyingi nimeshaona maisha nusu nimeshafanya naelezea usemi sasa lazima niwe na utuliv sababu kuishi kwingi nikuona mengi kuelimisha wanaobaki waish kwa heshima.

Huyo chunusi huyoo

Dunia msongamano asema baba nimeona leo nakubali mie. Wengine upendelea kufurahia wanaposikia fulani kaafaaa hoo (rejea Lowasa alivyotukanwa). Kufa kwa binadam upangwa na Mungu namuomba mwenyezi anipe maisha hoo
Oss hiyo mkuu,dah!!!! Wakati upo wapi,vijana wa zamani mpo,ahsante kwa wimbo
 
Ona sasa maCCM akili zao...wewe kwa mawazo yako mtu yeyote akisema ukweli juu ya usanii wa Magufuli unamwona ni mfuasi wa Lowasa. No wonder TZ is still stinking poor; and it will remain poor as long maCCM are in power...I hate CCM with all my heart because of it has been raping TZ so hard and for so long..I pray to God that I live to see the day when the crooks are out of power...
Mkuu, wewe kama hutumii akili za maCCM umejuaje kama mimi ni CCM?

Nani amekuambia unaipenda CCM?

Kuipenda au kutoipenda CCM ni tatizo lako kwa sababu hakuna mtu aliyekulazimisha uipende au usiipende.

You better start praying to Satan cos you’re just wasting your time and energy praying to God.

I believe Satan will listen careful and consider your prayer requests!

In Chapter 13, Jesus talks about hatred and love. He says, ‘’A new commandment I give to you, that you love one another: just as I have loved you, you also are to love one another. By this all people will know that you are my disciples, if you have love for one another.”( John 13:34-35)

God will never entertain hatred as you wish.

Satan is the man to answer your prayers!
 
Oss hiyo mkuu,dah!!!! Wakati upo wapi,vijana wa zamani mpo,ahsante kwa wimbo
saita!

mkuu ngaramtoni hiyoo kabla mshua ajanyoosha. Vipi mkuu homu kwenu ni "masieda" mbulu?
 
Leo nimeona Mkurugenzi wa Tanesco akisaini mkataba na JICA(shirika la Japan sijui na nani wengine zaidi ya billion 100 na zaid kwa ajili ya umeme wa Kilowatt (KW) 10 hio project ni ya Tz & Kenya ndo nikajua kumbe Kw 10 sio mchezo kabisa
 
Kwa hili ebu tuweni wakweli. Huyo Maduhu aliajiriwa na Tanesco hata kabla Magufuli hajawa mkubwa wa nchi.
Mkuu, nadhani utapoteza muda wako kujaribu kujenga hoja na baadhi ya watu ambao kwao ujinga umekuwa he.kima na busara.

Kuna wengine hawafahamu kama ni wajinga na kwa mantiki hiyo hawawezi kujifunza.
 
Back
Top Bottom