Bwashe unaonaje Lissu naye a kasamehewa na mahakama?Rais Magufuli amemsamehe kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rufiji bwana Kilimba aliyetoa taarifa za uwongo kwa mheshimiwa Rais kwamba gari la wagonjwa ni bovu.
RPC wa Pwani amesema utaratibu wa kumfikisha mahakamani mkurugenzi huyo ulishakamilika ila bwana Kilimba amepata bahati ya mtende ya kusamehewa na Rais Magufuli mwenyewe.
Chanzo: ITV habari.
2020 Hakunaga kama Dkt. Magufuli!
Lisu anaweza kusamehewa na DPP pekee maana kesi ziko mahakamani.Bwashe unaonaje Lissu naye a kasamehewa na mahakama?
Magaidi wale hata waislam wenzao hawawataki kule znz ndo maana akasukumiziwa mwenzao jk.Nilijua uwamsho waislam mwaka wa saba magereza
What do you mean hakunaga unajuwa implications yake. Mambo mengine Bora tukae kimya kuliko shangilia.Rais Magufuli amemsamehe kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rufiji bwana Kilimba aliyetoa taarifa za uwongo kwa mheshimiwa Rais kwamba gari la wagonjwa ni bovu.
RPC wa Pwani amesema utaratibu wa kumfikisha mahakamani mkurugenzi huyo ulishakamilika ila bwana Kilimba amepata bahati ya mtende ya kusamehewa na Rais Magufuli mwenyewe.
Chanzo: ITV habari.
2020 Hakunaga kama Dkt. Magufuli!
Fedha ya matengenezo ya gari huwa inatolewa na Rais? Awamu hii watu wameharibiwa kiasi cha wengi kuamini kuwa hela inatolewa na Rais!Bwashee inaangaliwa " nia" ya kudanganya ni nini?
Hspa nia ingepelekea kutenda kosa la wizi endapo Rais angetoa fedha ya matengenezo ilhali gari ni zima!
Ni wimbo mmoja mzuri sana wa kizazi kipya ndio umenipa hicho kionjo.What do you mean hakunaga unajuwa implications yake. Mambo mengine Bora tukae kimya kuliko shangilia.
Hata wewe unaweza kutoa bwashee.Fedha ya matengenezo ya gari huwa inatolewa na Rais? Awamu hii watu wameharibiwa kiasi cha wengi kuamini kuwa hela inatolewa na Rais!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ulitegemea angefanywa lolote?Rais Magufuli amemsamehe kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rufiji bwana Kilimba aliyetoa taarifa za uwongo kwa mheshimiwa Rais kwamba gari la wagonjwa ni bovu.
RPC wa Pwani amesema utaratibu wa kumfikisha mahakamani mkurugenzi huyo ulishakamilika ila bwana Kilimba amepata bahati ya mtende ya kusamehewa na Rais Magufuli mwenyewe.
Chanzo: ITV habari.
2020 Hakunaga kama Dkt. Magufuli!
Kwahiyo nia ya wizi ni kosa bwashee ??Bwashee inaangaliwa " nia" ya kudanganya ni nini?
Hspa nia ingepelekea kutenda kosa la wizi endapo Rais angetoa fedha ya matengenezo ilhali gari ni zima!
Hao waache wapumzike huko huko ni sehemu salama zaidi kwao.Nilijua uwamsho waislam mwaka wa saba magereza
DPP huwa anakaaga meza moja na washitakiwa wa ufisadi na waliotakatisha mabilioni ya pesa. Anaweza kukaa meza moja na wenye kesi ya uchochezi? Ya uchochezi hainaga maslahi.Lisu anaweza kusamehewa na DPP pekee maana kesi ziko mahakamani.
Hiyo sheria haiwezi kuwa inazungumzia kipengele kimoja tu, rudi tena kaisome vizuri.Kosa la kutoa taarifa za uongo lipo kijinai lipo chini ya kifungu namba 122 cha sheria ya kanuni ya adhabu. Ninavyoelewa mimi kifungu kile ni;
Mf. Polisi wanatafuta jambazi alafu wanakuuliza jambazi yuko wapi wewe unawaambia sijui. Hapo sawa utakuwa umefanya kosa la jinai
Ninavyoamini lile linakuwa ni kosa pale linapofanyika kwa kumzuia mtu aliyeajiliwa kwenye sekta ya umma kutofanya kitu au kufanya kitu ambacho kinahusika na jinai . Sasa suala la gari linazaa jinai gani???
Kama Mhusika hatokei Mikoa ya Kanda ya Ziwa au hana 'Undugu' na baadhi ya VIP's wa Tanzania au tu si Mchawi sitouamini kabisa huu Msamaha.
Hiyo scenario ni kama ile ya Mfalme Juha na mji wa kichaa.Bwashee inaangaliwa " nia" ya kudanganya ni nini?
Hspa nia ingepelekea kutenda kosa la wizi endapo Rais angetoa fedha ya matengenezo ilhali gari ni zima!
Magaidi wale hata waislam wenzao hawawataki kule znz ndo maana akasukumiziwa mwenzao jk.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app