Rais Magufuli amsamehe Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Rufiji aliyetoa taarifa ya uongo kuhusu ubovu wa gari la wagonjwa!

Rais Magufuli amemsamehe kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rufiji bwana Kilimba aliyetoa taarifa za uwongo kwa mheshimiwa Rais kwamba gari la wagonjwa ni bovu.

RPC wa Pwani amesema utaratibu wa kumfikisha mahakamani mkurugenzi huyo ulishakamilika ila bwana Kilimba amepata bahati ya mtende ya kusamehewa na Rais Magufuli mwenyewe.

Chanzo: ITV habari.

2020 Hakunaga kama Dkt. Magufuli!
Bwashe unaonaje Lissu naye a kasamehewa na mahakama?
 
Rais Magufuli amemsamehe kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rufiji bwana Kilimba aliyetoa taarifa za uwongo kwa mheshimiwa Rais kwamba gari la wagonjwa ni bovu.

RPC wa Pwani amesema utaratibu wa kumfikisha mahakamani mkurugenzi huyo ulishakamilika ila bwana Kilimba amepata bahati ya mtende ya kusamehewa na Rais Magufuli mwenyewe.

Chanzo: ITV habari.

2020 Hakunaga kama Dkt. Magufuli!
What do you mean hakunaga unajuwa implications yake. Mambo mengine Bora tukae kimya kuliko shangilia.
 
Rais Magufuli amemsamehe kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rufiji bwana Kilimba aliyetoa taarifa za uwongo kwa mheshimiwa Rais kwamba gari la wagonjwa ni bovu.

RPC wa Pwani amesema utaratibu wa kumfikisha mahakamani mkurugenzi huyo ulishakamilika ila bwana Kilimba amepata bahati ya mtende ya kusamehewa na Rais Magufuli mwenyewe.

Chanzo: ITV habari.

2020 Hakunaga kama Dkt. Magufuli!
Kwani wewe ulitegemea angefanywa lolote?

Cc Andengenye & Lugola
 
Ama kweli waTZ wanapumbazwa na Yesu mtu!
Maovu ni mengi mno yametendeka nchini lakini utashangaa haya yanayoendelea.
Bora basi wasiojulikana wakajitokeza nao wasamehewe kama wale wahujumu!!
 
Lisu anaweza kusamehewa na DPP pekee maana kesi ziko mahakamani.
DPP huwa anakaaga meza moja na washitakiwa wa ufisadi na waliotakatisha mabilioni ya pesa. Anaweza kukaa meza moja na wenye kesi ya uchochezi? Ya uchochezi hainaga maslahi.
 
Kosa la kutoa taarifa za uongo lipo kijinai lipo chini ya kifungu namba 122 cha sheria ya kanuni ya adhabu. Ninavyoelewa mimi kifungu kile ni;

Mf. Polisi wanatafuta jambazi alafu wanakuuliza jambazi yuko wapi wewe unawaambia sijui. Hapo sawa utakuwa umefanya kosa la jinai

Ninavyoamini lile linakuwa ni kosa pale linapofanyika kwa kumzuia mtu aliyeajiliwa kwenye sekta ya umma kutofanya kitu au kufanya kitu ambacho kinahusika na jinai . Sasa suala la gari linazaa jinai gani???
Hiyo sheria haiwezi kuwa inazungumzia kipengele kimoja tu, rudi tena kaisome vizuri.
 
Bwashee inaangaliwa " nia" ya kudanganya ni nini?

Hspa nia ingepelekea kutenda kosa la wizi endapo Rais angetoa fedha ya matengenezo ilhali gari ni zima!
Hiyo scenario ni kama ile ya Mfalme Juha na mji wa kichaa.

Mfalme Juha wakati akisikiliza kesi ya mama kufiwa na mwanawe kwa kuangukiwa na ukuta, fundi aliyeujenga akafikishwa barazani kama mtuhumiwa naye akajitetea si yeye mwenye kosa bali ni Hassan mtia maji ambaye naye alipoletwa akajitetea kuwa si yeye bali ni 'bonge nyanya' aliyekuwa anapita ndio alisamsababisha amshangae kwa ule unene na hivyo kuzidisha maji kwenye udongo.

Hatimaye hukumu ya kunyongwa ikamuangukia 'bonge nyanya' kwa kosa la kuwa na unene kupita kiasi.
 
Back
Top Bottom