Rais Magufuli alisomaje chuo kikuu?

Rais Magufuli alisomaje chuo kikuu?

Wakuu

Nimeangalia CV ya Rais nimeona amesema chuo degree ya kwanza mwaka 1985 -1988.

Je, alipataje elimu yake ?
Je, alisomeshwa na nani?
Je, kama alisomeshwa na serikali amelipa pesa ya serikali iliyomsomesha?
Je, kama hakulipa kwanini anawakazia wanafunzi waliokuwa chini ya bodi walipe madeni?
Kama hakulipa maana bodi ilikuwa aijaundwa kwanini hataki wenzake wasome bure?
Kwanini imekuwa ngumu sana kwa mtu aliyepewa elimu bure yeye kuwanyima wenzie elimu?
Basi hata hizo za kurudisha wapeni basi wadogo zetu masikini ziwasadie.

Ukweli mchungu ni kuwa hakuna viongozi wowote waliojilipia ada ya chuo kikuu.
Magufuli
Lowassa
Kikwete
Ndalichako .

Na wengine mulisoma bure udsm na wala hamkudaiwa pesa baada ya masomo yenu.

Nyerere kawapa elimu bure na Mungu anawaona nyerere alitumia uchawi gani?

Pamoja na kuwa na
Mafuta
Gesi
Madini ya kila aina
Bandari tatu
Samaki
Mbuga za wanyama
Mlima mrefu kuliko yote Africa
Mmeshindwa kutoa elimu bure?

Magufuli toa elimu bure mpaka chuo kikuu au jiuzulu.
Mkuu una M7 za kulipa au umejitoa mhanga kufungwa jela? Nani anakuambia umguse Mungu mtu?
 
Watanzania ifike hatua tuache kulia lia ovyo kwa vitu vya kawaida kabisa ,sasa we kwa akili yako wakati unatafuta hao watoto ulieweka kabisa kabisa kuwa asilimia 100 lazima watasomeshwa na serikali? kama uliwatafuta mwenyewe kwa raha zako mwenyewe ukawasomesha kwa shida mwenyewe malizia mzigo wako na sio kulialia kwa mikopo.

yani ingekuwa agizo langu hiyo mikopo hakuan kutoka kamwe,kwani sioni sababu kama ulimudu kusomesha kuanzia la kwanza hadi la saba mwenyewe,ukasomesha form 1 hadi 4 mwenyewe,ukasomesha collage au form 5 hadi 6 mwenyewe bila hata hiyo kitu inayoita bodi ya mikopo iweje leo ushindwe kumalizia chuo? kwa sababu ukipiga gharama za kusomesha utagundua gharama za kutoka la kwanza hadi form 6 ni mara sita zaidi ya ghrama za kumsomesha mtoto chuo.

Watanzania tuache kulialia kila siku ili tuonewe huruma
Huyu ni Mtanzania kweli? Mbona watz tumeumbwa na roho za huruma inakuwaje kwa huyu mtoa hii post? Hivi kweli unajua maisha ya watz walio wengi kwamba ni ya kifukara? Wacha kuandika kitu kwa mihemko, kaa chini tuliza mawazo na utafakari maisha ya watz walio wengi ndio ucomment.
 
Tufike wakati tuache uchama mtu akitoa post anahtaj ufafaanuzi na sio kupewa maneno ya kashfa mara BAVIcha mara CHADEMA..
Mimi ni CCM na bado nakandamizia hlo swali
 
Tufike wakati tuache uchama mtu akitoa post anahtaj ufafaanuzi na sio kupewa maneno ya kashfa et.. BAVIcha hya bwana me UVCCM na bado nakandamizia hlo swali
Yes exactly inashangaza sana by the way watu kama hawa sijui ndio utumia makalio kuwaza?
 
Hii ndo Bongo mtu akifanikiwa ata hakikisha watu wenye mafanikio wapo wachache
 
Watanzania ifike hatua tuache kulia lia ovyo kwa vitu vya kawaida kabisa ,sasa we kwa akili yako wakati unatafuta hao watoto ulieweka kabisa kabisa kuwa asilimia 100 lazima watasomeshwa na serikali? kama uliwatafuta mwenyewe kwa raha zako mwenyewe ukawasomesha kwa shida mwenyewe malizia mzigo wako na sio kulialia kwa mikopo.

yani ingekuwa agizo langu hiyo mikopo hakuan kutoka kamwe,kwani sioni sababu kama ulimudu kusomesha kuanzia la kwanza hadi la saba mwenyewe,ukasomesha form 1 hadi 4 mwenyewe,ukasomesha collage au form 5 hadi 6 mwenyewe bila hata hiyo kitu inayoita bodi ya mikopo iweje leo ushindwe kumalizia chuo? kwa sababu ukipiga gharama za kusomesha utagundua gharama za kutoka la kwanza hadi form 6 ni mara sita zaidi ya ghrama za kumsomesha mtoto chuo.

Watanzania tuache kulialia kila siku ili tuonewe huruma
Ulichoandika hakifanani na jina unalojiita, hvi unajua gharama ya meal and accommodation ilivyokua pindi mtu uko chuo, au kwa akili yako moja unafananisha na ada za secondary
 
Kiongozi acha akili za kimagumashi. Ni wangapi ambao wamemaliza CHUO, wafanya biashara wazuri na wengine wameajiriwa ila hawalipi mikopo yao. Pia unasema ajira zimekaliwa unataka kusema miaka yote hiyo ajira zimekaliwa. Kuwa na logic kidogo. Watanzania wengi hatupendi kulipa mikopo shida iko hapo. Wengine wanashughuli za maana tu lakini hawalipi.
Kwa kuwa unaongea kwa niaba ya mdai (Serikali), unapaswa kuja na hizo takwimu as evidence! "he who alleges must prove", otherwise unaleta blah blah!
 
Watanzania ifike hatua tuache kulia lia ovyo kwa vitu vya kawaida kabisa ,sasa we kwa akili yako wakati unatafuta hao watoto ulieweka kabisa kabisa kuwa asilimia 100 lazima watasomeshwa na serikali? kama uliwatafuta mwenyewe kwa raha zako mwenyewe ukawasomesha kwa shida mwenyewe malizia mzigo wako na sio kulialia kwa mikopo.

yani ingekuwa agizo langu hiyo mikopo hakuan kutoka kamwe,kwani sioni sababu kama ulimudu kusomesha kuanzia la kwanza hadi la saba mwenyewe,ukasomesha form 1 hadi 4 mwenyewe,ukasomesha collage au form 5 hadi 6 mwenyewe bila hata hiyo kitu inayoita bodi ya mikopo iweje leo ushindwe kumalizia chuo? kwa sababu ukipiga gharama za kusomesha utagundua gharama za kutoka la kwanza hadi form 6 ni mara sita zaidi ya ghrama za kumsomesha mtoto chuo.

Watanzania tuache kulialia kila siku ili tuonewe huruma
Chuo kikuu kuna gharama zinaongezeka kama accomodation na gharama nyingine tofauti na level hizo za chini na ukitoa hilo wazazi wengi wanakuwa na umri mkubwa na ni wakati muaafaka wa mtu kuanza kujiandaa na retirement ndo mana wazazi wengi wanaomba relief wapunguziwe hii burden.
Ukiendeleza argument kama hii you are eithier too young or too dumb
 
huyu ndo raisi wetu mpendwa tunampenda hadi raha yeye ni wa wanyonge na atawatetea tu hakuna wa kumkwamisha labda akwame yeye. Tuendelee kumwombea kwa MUngu .
 
Mkuu alishasema tufyatue watoto serikali itawasomesha. Ha ha ha...Wanasiasa buana...
 
Ulichoandika hakifanani na jina unalojiita, hvi unajua gharama ya meal and accommodation ilivyokua pindi mtu uko chuo, au kwa akili yako moja unafananisha na ada za secondary
Muache huyo anaonyesha ni jinsi gani ajawai pita hata chuo !!

Yaani mzazi amlipie mtu ada ampe chakula akiwa chuo amunulie nguo Vitabu !!
 
Mmefetuana mno.....nyerere alikuwa na wachache leo kila nyumba kuna dent. Tuisome number tu
 
Wakuu

Nimeangalia CV ya Rais nimeona amesema chuo degree ya kwanza mwaka 1985 -1988.

Je, alipataje elimu yake ?
Je, alisomeshwa na nani?
Je, kama alisomeshwa na serikali amelipa pesa ya serikali iliyomsomesha?
Je, kama hakulipa kwanini anawakazia wanafunzi waliokuwa chini ya bodi walipe madeni?
Kama hakulipa maana bodi ilikuwa aijaundwa kwanini hataki wenzake wasome bure?
Kwanini imekuwa ngumu sana kwa mtu aliyepewa elimu bure yeye kuwanyima wenzie elimu?
Basi hata hizo za kurudisha wapeni basi wadogo zetu masikini ziwasadie.

Ukweli mchungu ni kuwa hakuna viongozi wowote waliojilipia ada ya chuo kikuu.
Magufuli
Lowassa
Kikwete
Ndalichako .

Na wengine mulisoma bure udsm na wala hamkudaiwa pesa baada ya masomo yenu.

Nyerere kawapa elimu bure na Mungu anawaona nyerere alitumia uchawi gani?

Pamoja na kuwa na
Mafuta
Gesi
Madini ya kila aina
Bandari tatu
Samaki
Mbuga za wanyama
Mlima mrefu kuliko yote Africa
Mmeshindwa kutoa elimu bure?

Magufuli toa elimu bure mpaka chuo kikuu au jiuzulu.
we kweli umezaliwa juzi. ndio haja zenu hizi bawacha?
 
Maisha yamebadilika! zamani hata hospitali zilikuwa bure lakini sasa tunalipia, zamani vyoo vya stendi kuu za mabasi ilikuwa unaingia bure unajisaidia sasa unalipia, zamani kulikuwa na mfumo wa chama cha siasa kimoja sasa unalipia, zamani chuo kikuu kilikuwa kimoja tu na rais wa nchi ndie alikuwa mkuu wa chuo sasa hiyo haipo tena, zamani wanafunzi walikuwa wanalipiwa warrant wanapokwenda shule, vyuoni, jeshini sasa hilo halipo, zamani EDO alikuwa CCM sasa yuko CHADEMA, zamani ilikuwa.......................... mengi sana nashindwa hata kuandika:

Hoja yangu sio lazima yote yaliyofanyika zamani sasa yaendelee
 
Wakuu

Nimeangalia CV ya Rais nimeona amesema chuo degree ya kwanza mwaka 1985 -1988.

Je, alipataje elimu yake ?
Je, alisomeshwa na nani?
Je, kama alisomeshwa na serikali amelipa pesa ya serikali iliyomsomesha?
Je, kama hakulipa kwanini anawakazia wanafunzi waliokuwa chini ya bodi walipe madeni?
Kama hakulipa maana bodi ilikuwa aijaundwa kwanini hataki wenzake wasome bure?
Kwanini imekuwa ngumu sana kwa mtu aliyepewa elimu bure yeye kuwanyima wenzie elimu?
Basi hata hizo za kurudisha wapeni basi wadogo zetu masikini ziwasadie.

Ukweli mchungu ni kuwa hakuna viongozi wowote waliojilipia ada ya chuo kikuu.
Magufuli
Lowassa
Kikwete
Ndalichako .

Na wengine mulisoma bure udsm na wala hamkudaiwa pesa baada ya masomo yenu.

Nyerere kawapa elimu bure na Mungu anawaona nyerere alitumia uchawi gani?

Pamoja na kuwa na
Mafuta
Gesi
Madini ya kila aina
Bandari tatu
Samaki
Mbuga za wanyama
Mlima mrefu kuliko yote Africa
Mmeshindwa kutoa elimu bure?

Magufuli toa elimu bure mpaka chuo kikuu au jiuzulu.
Watakuja hapa kukwambia enzi za mwalimu wasomi walikuwa wachache
 
Back
Top Bottom