technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,887
- Thread starter
- #61
Yamebadilika vipi wakati maisha ya watu yako pale pale hospital kwanini hakuna dawa kama tunalipia?Maisha yamebadilika! zamani hata hospitali zilikuwa bure lakini sasa tunalipia, zamani vyoo vya stendi kuu za mabasi ilikuwa unaingia bure unajisaidia sasa unalipia, zamani kulikuwa na mfumo wa chama cha siasa kimoja sasa unalipia, zamani chuo kikuu kilikuwa kimoja tu na rais wa nchi ndie alikuwa mkuu wa chuo sasa hiyo haipo tena, zamani wanafunzi walikuwa wanalipiwa warrant wanapokwenda shule, vyuoni, jeshini sasa hilo halipo, zamani EDO alikuwa CCM sasa yuko CHADEMA, zamani ilikuwa.......................... mengi sana nashindwa hata kuandika:
Hoja yangu sio lazima yote yaliyofanyika zamani sasa yaendelee
Ajira mbona hakuna kama vyoo tu unalipia?