Rais Magufuli alisomaje chuo kikuu?

Rais Magufuli alisomaje chuo kikuu?

Mkuu unataka elimu ya juu iwe bure kwa sababu Nyerere alitoa bure? Kuna mambo mengi sana yamebadilika kwa mfano idadi ya watu ni wengi sana sasa. Kuna mengi sana yamebadilika hata mfumo wa kisiasa na itikadi za taifa kiuchumi. Na ndio maana Nyerere mwenyewe alipinga kung'ang'ania siasa za chama kimoja ingawa wananchi walitoa maoni ya kupinga vyama vingi. Kila jambo na zama zake.
Nyerere akuchima madini ....
Nyerere a kutafuta gesi...
Nyerere a kutafuta mafuta...

Lakini bado alisomesha watu bure chekechea mpaka chuo kikuu
 
Kuna hili jambo watu wanapenda sana kuongea "Nyerere hakuchuma/kuchimba/kuvuna madini..." - Almasi za mwadui zimeanza kuchumwa/kuchimbwa lini? Tancut Almasi kilikuwa kitu gani? Walikuwa wanafanya kazi gani?
Hakutafuta mafuta - Kwani unajua nini kuhusu kutafuta mafuta? je fedha za wanatafuta mafuta(wawekezaji) zinalipwaje? Je tumeanza kuuza mafuta nje?

Swali la msingi linabakia kushindwa kwa mradi wa gesi ya songo songo kusaidia huduma za jamii ambalo tatizo hili sio la awamu ya tano. Yeye ndio kwanza anakaribia mwaka mmoja sasa hawezi kubadili mambo yote kwa wakati mmoja athari zake zitakuwa kubwa kiuchumi na kijamii.

Gesi ya Mtwara ndio kwanza tupo ktk hatua za awali za uzalishaji kumbuka mamilioni ya dola za kimarekani yaliyowekwa na wawekezaji usitegemee tuanze kupata mgawo mkubwa haraka kiasi hicho. aliewekeza ni mfanya biashara lazima nae ajaribu kurudisha pesa yake kidogo.

Dhahabu na madini mengine: Awamu ya tano iliposhika madaraka imekuta tayari kuna mikataba isiyo na faida sana kwa taifa, na hii mikataba ni ya kimataifa hivyo usitegemee kuivunja ghafla kibabe ukapona kiuchumi na kisiasa. Tunaweza kujikuta tunaingia ktk shida iliyomkuta Fidel Castro kule Cuba aliposhika dola akataifisha miradi ya wawekezaji wa kigeni. Wote tunajua machungu waliyopitia raia wa Cuba.
Tunajua kinachoendelea Zimbabwe baada ya Rais Robert Mugabe kutaifisha mashamba yaliyo kuwa yanaendeshwa na walowezi. Zimbabwe ilikuwa kati ya nchi zinzozalisha chakula kwa wingi sana, sasa kuna njaa kali kisa ni nini? Hawa wakubwa wanaoshika miradi ya uchimbaji madini , mafuta na gesi sio wa kuwaendea kwa pupa tutaumia wenyewe. Inabidi Seriakali ijipange taratibu itafute mianya ya kuivunja hiyo mikataba au kuibadili iwe na maslahi kwetu, sasa hili jambo haliwezi kufanyika ndani ya mwaka mmoja ambao serikali iliyopo imekuta changamoto nyingi ikiwemo madeni makubwa sana na ya muda mrefu. Pia uozo ktk kila sekta ya umma ulikithiri inabidi kuusafisha kwanza. Siasa ni nyepesi kwa kuzitamka mdomoni na sio utekelezaji. Rahisi sana kumlaumu Mh.Rais lakini ungepewa wewe dola ukajua jinsi mambo yanavyoendeshwa ungemuomba msamaha JPM. Mwenyewe (JPM) kasema angejua uraisi ndio vile alivyoujua baada ya kushika madaraka asingegombea uraisi.

Kipindi cha Nyerere kilikuwa kipindi cha vita baridi kwa hivyo tulikuwa tunapata misaada mingi sana kwenda sekta ya elimu na afya ili kujenga ushawishi kwetu tuunge upande mmojawapo. Sio sahihi kusema Nyerere alitoa huduma zote bure kwa kutumia fedha zote zitokanazo na mapato ya serikali bila misaada. Waulize wakubwa hasa waliokuwa na uelewa wa mambo ya misaada na miradi mbalimbali ya serikali. Tulikuwa tunasaidiwa sana na nchi za Scandinavian na Urusi, Uchina,Finland, n.k katika kipindi cha Nyerere.
 
Watanzania ifike hatua tuache kulia lia ovyo kwa vitu vya kawaida kabisa ,sasa we kwa akili yako wakati unatafuta hao watoto ulieweka kabisa kabisa kuwa asilimia 100 lazima watasomeshwa na serikali? kama uliwatafuta mwenyewe kwa raha zako mwenyewe ukawasomesha kwa shida mwenyewe malizia mzigo wako na sio kulialia kwa mikopo.

yani ingekuwa agizo langu hiyo mikopo hakuan kutoka kamwe,kwani sioni sababu kama ulimudu kusomesha kuanzia la kwanza hadi la saba mwenyewe,ukasomesha form 1 hadi 4 mwenyewe,ukasomesha collage au form 5 hadi 6 mwenyewe bila hata hiyo kitu inayoita bodi ya mikopo iweje leo ushindwe kumalizia chuo? kwa sababu ukipiga gharama za kusomesha utagundua gharama za kutoka la kwanza hadi form 6 ni mara sita zaidi ya ghrama za kumsomesha mtoto chuo.

Watanzania tuache kulialia kila siku ili tuonewe huruma

Kama vile unafanya mzaha!. Ama wewe uko kwenye neema au bado hujajua gharama ya kusomesha. Watanzania wangapi kweli wanaweza kusomesha watoto chuo kikuu? Hata nchi zilizoendelea kama Uingereza wanao utaratibu huu wa mikopo ya elimu ya juu na huko ndiko tulikoiga. Hakika kama Watanzania wataendekeza kuitetea serikali badala ya kuibana na kuiwajibisha nchi hii itaharibika vibaya sana. Serikali lazima iwe na vipaumbele vinavyomgusa kila Mtanzania; navyo ni uhakika wa chakula, elimu, afya na maji.
 
Hakika umenena vyema mikopo ya elimu ya juu ni muhimu na ya lazima na ni wajibu wa serikali, lakini pia na sisi wanufaika ni wajibu wetu kuilipa kwa wakati ili wadogo, au watoto wetu wapate fursa ya kusoma. Kwa hali zetu za kiuchumi watanzania ni muhumu kupata hii mikopo ya elimu.
 
Wewe Bawacha hivi hujui kama zamani wanafunzi wa vyuo vikuu walikuwa wanasoma bure ,siyo mkopo ni bure.
upo sahihi kabisa, mkuu.

na hiki ndicho alichokuwa anakiahidi Lowasa kwenye kampeni za urais...elimu bure msingi hadi chuo kikuu kama enzi za Mwalimu!
 
Nijibu hili swali:
Kama zamani wanafunzi walikuwa wachache je mapato na nchi nayo hayajabadilika?
Fuatilia bajeti za kila nwaka toka miaka hiyo, utajua kama mapato yameongezeka ama la!!
Hata hivyo kuongezeka mapato sio kigezo cha uhalali wa kusomesha watu bure, Changamoto ziko nyingi sana sio Elimu pekee, hivyo kila tawala inakuwa na vipaumbele vyake ktk kuhakikisha mambo yanaenda sawa!!
 
Unajua kitu kinaitwa opportunity cost?
 
Fuatilia bajeti za kila nwaka toka miaka hiyo, utajua kama mapato yameongezeka ama la!!
Hata hivyo kuongezeka mapato sio kigezo cha uhalali wa kusomesha watu bure, Changamoto ziko nyingi sana sio Elimu pekee, hivyo kila tawala inakuwa na vipaumbele vyake ktk kuhakikisha mambo yanaenda sawa!!
Nimeangalia ilani ya ccm kipaumbele chao cha kwanza ni Elimu je elimu ipi??
 
Kuna hili jambo watu wanapenda sana kuongea "Nyerere hakuchuma/kuchimba/kuvuna madini..." - Almasi za mwadui zimeanza kuchumwa/kuchimbwa lini? Tancut Almasi kilikuwa kitu gani? Walikuwa wanafanya kazi gani?
Hakutafuta mafuta - Kwani unajua nini kuhusu kutafuta mafuta? je fedha za wanatafuta mafuta(wawekezaji) zinalipwaje? Je tumeanza kuuza mafuta nje?

Swali la msingi linabakia kushindwa kwa mradi wa gesi ya songo songo kusaidia huduma za jamii ambalo tatizo hili sio la awamu ya tano. Yeye ndio kwanza anakaribia mwaka mmoja sasa hawezi kubadili mambo yote kwa wakati mmoja athari zake zitakuwa kubwa kiuchumi na kijamii.

Gesi ya Mtwara ndio kwanza tupo ktk hatua za awali za uzalishaji kumbuka mamilioni ya dola za kimarekani yaliyowekwa na wawekezaji usitegemee tuanze kupata mgawo mkubwa haraka kiasi hicho. aliewekeza ni mfanya biashara lazima nae ajaribu kurudisha pesa yake kidogo.

Dhahabu na madini mengine: Awamu ya tano iliposhika madaraka imekuta tayari kuna mikataba isiyo na faida sana kwa taifa, na hii mikataba ni ya kimataifa hivyo usitegemee kuivunja ghafla kibabe ukapona kiuchumi na kisiasa. Tunaweza kujikuta tunaingia ktk shida iliyomkuta Fidel Castro kule Cuba aliposhika dola akataifisha miradi ya wawekezaji wa kigeni. Wote tunajua machungu waliyopitia raia wa Cuba.
Tunajua kinachoendelea Zimbabwe baada ya Rais Robert Mugabe kutaifisha mashamba yaliyo kuwa yanaendeshwa na walowezi. Zimbabwe ilikuwa kati ya nchi zinzozalisha chakula kwa wingi sana, sasa kuna njaa kali kisa ni nini? Hawa wakubwa wanaoshika miradi ya uchimbaji madini , mafuta na gesi sio wa kuwaendea kwa pupa tutaumia wenyewe. Inabidi Seriakali ijipange taratibu itafute mianya ya kuivunja hiyo mikataba au kuibadili iwe na maslahi kwetu, sasa hili jambo haliwezi kufanyika ndani ya mwaka mmoja ambao serikali iliyopo imekuta changamoto nyingi ikiwemo madeni makubwa sana na ya muda mrefu. Pia uozo ktk kila sekta ya umma ulikithiri inabidi kuusafisha kwanza. Siasa ni nyepesi kwa kuzitamka mdomoni na sio utekelezaji. Rahisi sana kumlaumu Mh.Rais lakini ungepewa wewe dola ukajua jinsi mambo yanavyoendeshwa ungemuomba msamaha JPM. Mwenyewe (JPM) kasema angejua uraisi ndio vile alivyoujua baada ya kushika madaraka asingegombea uraisi.

Kipindi cha Nyerere kilikuwa kipindi cha vita baridi kwa hivyo tulikuwa tunapata misaada mingi sana kwenda sekta ya elimu na afya ili kujenga ushawishi kwetu tuunge upande mmojawapo. Sio sahihi kusema Nyerere alitoa huduma zote bure kwa kutumia fedha zote zitokanazo na mapato ya serikali bila misaada. Waulize wakubwa hasa waliokuwa na uelewa wa mambo ya misaada na miradi mbalimbali ya serikali. Tulikuwa tunasaidiwa sana na nchi za Scandinavian na Urusi, Uchina,Finland, n.k katika kipindi cha Nyerere.
Lakini mikataba mibovu iliweza kusomesha hawa watoto kwa kikwete au mikataba kwa kikwete ilikuwa mizuri?
 
Tatizo hapa ni kuanzisha utitiri wa vyuo vikuu bila kufanya utafiti na kupima hali ya walipa kodi na watakojiunga uwezo wao. Tuliosoma zamani tulikuwa tunapewa vichere kuanzia certificates mpaka uni. Uchumi ulikuwa mzuri sawa, population ilikuwa low, kiwango cha ufaulu kiliwekwa juu ingawa si kwa mikoa yote mf. Ziwa Magharibi ulipaswa ufaulu mara mbili ya yule wa Dodoma na Singida ndo ufikiriwe kuchaguliwa. shule ilitoa mtoto mmoja au wawili kati ya 45.
Sekondari za serikali zilikuwa ndogo lakini zenye viwango na mwal. Nyerere aliomba walimu toka nchi mbali mbali kama marekani, Scandnavia, ueingereza, india na nchi nyingine kusaidia hivyo vifaa vya kufundishia na walimu haikuwa shida. Tulisoma bure, kula chakula cha 3star hotel na kucheza michezo yote ya hapa duniani na kushindana kimataifa. Tulikuwa tunapata nauli za kwenda nyumbani na kurudi, resurts zilikuwa zinatumwa kwenye posta hivyo huwezi kucheat. Mambo mengi ambayo tukiwaeleza hapa mtachukia hali. Tatizo Population imeongezeka, elimu imeshuka, utitiri vwa vyuo bila viwango, kila mtu kuona kwenda uni ndo kusoma, vyuo vya ufundi kudharauliwa, vyuo vya maendeleo na maarifa ya nyumbani kuwa dormant.
Kila mtu anataka kwenda Uni badala ya kuangalia vyuo ambavyo vinatoa ujuzi wa moja kwa moja kama Veta kunachangia kuleta shida. Uchumi umeshuka mazao tuliyotegemea kama kahawa na katani zimekufa sasa mnategemea nini. Bring back our country.
 
Eeeeh yaani baada ya kupanua vuo vilivyopo tuanjenga vyuo fake kama Jordan morogoro
 
Lakini mikataba mibovu iliweza kusomesha hawa watoto kwa kikwete au mikataba kwa kikwete ilikuwa mizuri?
Wakati wa Kikwete ndio mambo ya mikopo ilipoanza kuwa kero na madaraja kibao. Wengine walipata mikopo 100%, 80%, 40% n.k. Hali ilikuwa mbaya sana, haya ya sasa ni muendelezo wa matatizo waliyoyakuta. It was very unstable situation during Kikwete era.
 
Wakati wa Nyerere tunasema elimu ilitolewa bure lakini mimi nasema hapana, ule ulikuwa mkopo. Ulikuwa ukimaliza kidato cha sita lazima uende JKT kufanya kazi za uzalishaji ndipo uende chuo kikuu n.k. Au ukimaliza kidato cha nne unaenda vyuo kama vya ualimu kisha ukihitimu unaenda JKT kufanya uzalishaji ndipo unaenda kazini. Pia ukimaliza chuo kikuu lazima ufanye kazi serikalini hapo unakuwa umelipa deni. Utaona kwamba sasa na wakati wa Nyerere elimu haikuwa bure isipokuwa ni mkopo ila aina ya ulipaji wake ndio vimetofautiana. Sasa unalipa cash money ila wakati ule unalipa kwa kufanya kazi(may be kulipwa mshahara wa wastani). "There is no free lunch in America". Pendekezeni namna ya kulipa mikopo lakini sio kudai bure wakati tuna mahitaji mengi sana na fedha hazitoshi. Sasa mkilazimishwa kufanya kazi bongo tu kwa mishahara midogo mtapiga kelele sana. Tukipata maendeleo makubwa
 
Back
Top Bottom