Rais Magufuli alisomaje chuo kikuu?

Rais Magufuli alisomaje chuo kikuu?

Wakuu

Nimeangalia CV ya Rais nimeona amesema chuo degree ya kwanza mwaka 1985 -1988.

Je, alipataje elimu yake ?
Je, alisomeshwa na nani?
Je, kama alisomeshwa na serikali amelipa pesa ya serikali iliyomsomesha?
Je, kama hakulipa kwanini anawakazia wanafunzi waliokuwa chini ya bodi walipe madeni?
Kama hakulipa maana bodi ilikuwa aijaundwa kwanini hataki wenzake wasome bure?
Kwanini imekuwa ngumu sana kwa mtu aliyepewa elimu bure yeye kuwanyima wenzie elimu?
Basi hata hizo za kurudisha wapeni basi wadogo zetu masikini ziwasadie.

Ukweli mchungu ni kuwa hakuna viongozi wowote waliojilipia ada ya chuo kikuu.
Magufuli
Lowassa
Kikwete
Ndalichako .

Na wengine mulisoma bure udsm na wala hamkudaiwa pesa baada ya masomo yenu.

Nyerere kawapa elimu bure na Mungu anawaona nyerere alitumia uchawi gani?

Pamoja na kuwa na
Mafuta
Gesi
Madini ya kila aina
Bandari tatu
Samaki
Mbuga za wanyama
Mlima mrefu kuliko yote Africa
Mmeshindwa kutoa elimu bure?

Magufuli toa elimu bure mpaka chuo kikuu au jiuzulu.
Hii post inaonesha frustration uliyonayo kwa Kamanda wako kugaragazwa na NHC!
 
Zamani wasomaji walikuwa wachache so ilikuwa ni rahisi kuwasomesha. Now wasomaji wamekuwa wengi so inakuwa ni mzigo mkubwa kwa taifa... Hili suala lingekuwa rahisi Zaidi kama ukusanyaji wa mikopo kwa wakopaji waliomaliza lingekuwa effective...
Kuwekeza kwny wataalamu ni mzigo tenaa
 
Hii post inaonesha frustration uliyonayo kwa Kamanda wako kugaragazwa na NHC!
Nakushauri uwe unafanya utafiti kabla uchangie na chambua hoja watanzania sisi ni ndugu na ndugu zetu ndio wanaoumia labda kama ujawai pita chuo ndio utakurupuka kama ulivyofanya......

Lakini nimegundua sio wewe ni ushabiki ndio umedumaza akili zako na kuwa BOGAZI"
 
Maswali yako ni mazuri lakini yamejificha katika hiana na chuki na kutoifahamu kikamilifu historia ya elimu ya Tanzania.
Kwanza idadi ya wanafunzi miaka hiyo haikuwa kubwa na hivyo kutoa elimu bure ilikuwa ni rahisi serkali kuimudu.
Mfano unapokuwa na mtoto mmoja, maisha hua ni rahisi sana.Lakini wanapoongezeka sahani za mlo nazo zaongezeka hivyo ni lazima ufanye kazi kwa bidii ili kuwalisha watoto wako.
Hii ni kusema idadi ya population ya watanzania ilikuwa si kubwa kama ilivyo leo hivyo mahitaji nayo yalikuwa machache!
Maisha ya chuo kiukuu yalikuwa safi sana kwa kila namna. Sawa na mataifa mengine ya Africa Mashariki.
Miaka ilipoendelea mbele idadi ya shule zikaongezeka na mahitaji ya elimu ya juu yakaongezeka na hivyo hakukuwa na namna nyingine ila kuanza mfumo wa Elimu kopeshi! Hii yafanyika hata katika nchi jirani zetu. Pengine siku za usoni kadri tunavyoendelea. Viwanda,Makampuni na watu wakilipa kodi hilo litawezekana. Naamini!
 
Wewe Bawacha hivi hujui kama zamani wanafunzi wa vyuo vikuu walikuwa wanasoma bure ,siyo mkopo ni bure.
Sijui kaandika nini!! Hajui kwamba pale UD kulikuwa na mabomba yanatoa maziwa watu wanakinga na kunywa. Hajui kwamba chakula ilikuwa bure bila kulipa hata thumuni!
 
Wakuu

Nimeangalia CV ya Rais nimeona amesema chuo degree ya kwanza mwaka 1985 -1988.

Je, alipataje elimu yake ?
Je, alisomeshwa na nani?
Je, kama alisomeshwa na serikali amelipa pesa ya serikali iliyomsomesha?
Je, kama hakulipa kwanini anawakazia wanafunzi waliokuwa chini ya bodi walipe madeni?
Kama hakulipa maana bodi ilikuwa aijaundwa kwanini hataki wenzake wasome bure?
Kwanini imekuwa ngumu sana kwa mtu aliyepewa elimu bure yeye kuwanyima wenzie elimu?
Basi hata hizo za kurudisha wapeni basi wadogo zetu masikini ziwasadie.

Ukweli mchungu ni kuwa hakuna viongozi wowote waliojilipia ada ya chuo kikuu.
Magufuli
Lowassa
Kikwete
Ndalichako .

Na wengine mulisoma bure udsm na wala hamkudaiwa pesa baada ya masomo yenu.

Nyerere kawapa elimu bure na Mungu anawaona nyerere alitumia uchawi gani?

Pamoja na kuwa na
Mafuta
Gesi
Madini ya kila aina
Bandari tatu
Samaki
Mbuga za wanyama
Mlima mrefu kuliko yote Africa
Mmeshindwa kutoa elimu bure?

Magufuli toa elimu bure mpaka chuo kikuu au jiuzulu.
Kabla hatujakujibu tunaomba umri wako pamoja na elimu yako
 
Kabla hatujakujibu tunaomba umri wako pamoja na elimu yako
Sina haja ya kujibizana na wewe haya mambo namshauri uyo unayemnyenyekea achukui hatua ndio maana nayamwaga mtandaoni......

Wewe ni mtoto Mdogo kwangu endelea na kazi yako huko Lumumba
 
Sina haja ya kujibizana na wewe haya mambo namshauri uyo unayemnyenyekea achukui hatua ndio maana nayamwaga mtandaoni......

Wewe ni mtoto Mdogo kwangu endelea na kazi yako huko Lumumba
Ukishaona mtu anapanic badala ya kujibu alichoulizwa ujue upeo wake wa kufikiri ni mdogo na hujui alisemalo, Plato alisema mtu mwenye busara husema panapokuwa na kitu cha kusema lakini mpumbavu husema chochote ili mradi kasema
 
Ukishaona mtu anapanic badala ya kujibu alichoulizwa ujue upeo wake wa kufikiri ni mdogo na hujui alisemalo, Plato alisema mtu mwenye busara husema panapokuwa na kitu cha kusema lakini ******** husema chochote ili mradi kasema
Ungetaja umri wako kwanza na Mimi nikakupima kama nafaa kuongea na mtoto au Mzee mwenzangu
 
Wakuu

Nimeangalia CV ya Rais nimeona amesema chuo degree ya kwanza mwaka 1985 -1988.

Je, alipataje elimu yake ?
Je, alisomeshwa na nani?
Je, kama alisomeshwa na serikali amelipa pesa ya serikali iliyomsomesha?
Je, kama hakulipa kwanini anawakazia wanafunzi waliokuwa chini ya bodi walipe madeni?
Kama hakulipa maana bodi ilikuwa aijaundwa kwanini hataki wenzake wasome bure?
Kwanini imekuwa ngumu sana kwa mtu aliyepewa elimu bure yeye kuwanyima wenzie elimu?
Basi hata hizo za kurudisha wapeni basi wadogo zetu masikini ziwasadie.

Ukweli mchungu ni kuwa hakuna viongozi wowote waliojilipia ada ya chuo kikuu.
Magufuli
Lowassa
Kikwete
Ndalichako .

Na wengine mulisoma bure udsm na wala hamkudaiwa pesa baada ya masomo yenu.

Nyerere kawapa elimu bure na Mungu anawaona nyerere alitumia uchawi gani?

Pamoja na kuwa na
Mafuta
Gesi
Madini ya kila aina
Bandari tatu
Samaki
Mbuga za wanyama
Mlima mrefu kuliko yote Africa
Mmeshindwa kutoa elimu bure?

Magufuli toa elimu bure mpaka chuo kikuu au jiuzulu.
Tatizo lenu mkielimika hamuwapigii kura
 
We vipi acha utoto soma bandiko language kwa makini .....

Tatizo wewe ndiye mtoto hoja yangu ipo wazi ....
Mkuu unataka elimu ya juu iwe bure kwa sababu Nyerere alitoa bure? Kuna mambo mengi sana yamebadilika kwa mfano idadi ya watu ni wengi sana sasa. Kuna mengi sana yamebadilika hata mfumo wa kisiasa na itikadi za taifa kiuchumi. Na ndio maana Nyerere mwenyewe alipinga kung'ang'ania siasa za chama kimoja ingawa wananchi walitoa maoni ya kupinga vyama vingi. Kila jambo na zama zake.
 
Utakusanya VIP iyo mikopo wakati vijana wanahitimu vyuo vikuu .,kwakua hawana ajira il a wanamafunzo ya jkt wanaamua kua majambazi wapige mkwanja fasta,mana ata karanga hawawezi kuuza...
Ii nchi kila msomi kawa sharo
 
Zamani wasomaji walikuwa wachache so ilikuwa ni rahisi kuwasomesha. Now wasomaji wamekuwa wengi so inakuwa ni mzigo mkubwa kwa taifa... Hili suala lingekuwa rahisi Zaidi kama ukusanyaji wa mikopo kwa wakopaji waliomaliza lingekuwa effective...
Board yenyewe wanabambikiza madeni ya uongo we fikiria chuo kama Mzumbe mwaka 2005 kwa miaka mitatu eti mkopo million 14 MTU unadaiwa sasa unahoji umesoma degree mpka master's huko jibu hapana,nani alipe sasa deni la uongo?..wajirekebishe wizi wa wazi haukubaliki
 
Wewe Bawacha hivi hujui kama zamani wanafunzi wa vyuo vikuu walikuwa wanasoma bure ,siyo mkopo ni bure.
Sasa kama walisoma bure kinachowatia wivu kutoa mikopo nn au ndo hoja yenu tutanunua TV
 
Back
Top Bottom