Rais Magufuli aizika rasmi BRN, wafanyakazi wahamishiwa idara nyingine za Serikali

Unataka tumsapoti Tundu Lissu?
Kabombe nchi imekuwa ya majaribio yaliyoshindwa kwingine!!
1. Azimio la Arusha
2. Ujamaa na kujitegemea
3. Siasa ni kilimo
4. Azimio la Zanzibar
5. Kuuza raslimali bure
6. B R N
7. Kuzuia makinikia etc
Haya majaribio yote yalishindwa, na hata haya ya sasa yatashindwa kwa sababu mchaw ni CCM .
 
Nyie Mbona Jk alipokuwa Rais mlikuwa Mnatoka Nje ya Bunge akija Bungeni lakin baada ya kustaafu akija Bungeni mnasimama kwa nderemo na vifijo kumshangilia na kumkaribisha kuonesha ku miss utendaji wake?
Fungulia uzi wake hapa mjadala ni B R N
 
mi nipo hapo kwenye umeme
tuliambiwa gesi ikija ndio itakuwa mkombozi wetu vp tena mbona tunajenga mabwawa yanini gesi haitoshi?
 
Unataka tumsapoti Tundu Lissu?
Shida sio kumsapoti Tundu lissu au mwingine yeyote.
Siasa sio kufuata upepo kama Bendera!na si kushabikia kila kitu....sometime you need to reason behind what is happening ndani ya chama chako na Serikali na hata huko kwingine( wapinzani wako).
Siasa ni zao la falsafa ya kuendesha nchi juu ya maamuzi ya watu ktk mambo yao ya kila siku.
Ukiona watu wanashabikia hata kwa vitu wasivyovijua eti kisa mahaba na chama ni ujinga.

Hayati baba wa Taifa (JK nyerere) alisema "ole wake Tanzania tusimpomsaidia"
 
Nyie Mbona Jk alipokuwa Rais mlikuwa Mnatoka Nje ya Bunge akija Bungeni lakin baada ya kustaafu akija Bungeni mnasimama kwa nderemo na vifijo kumshangilia na kumkaribisha kuonesha ku miss utendaji wake?
So kila ashangiliaye ana maanisha unavyofikiri.Aweza kuwa na ujumbe tofauti kwa mlengwa tofauti pia!

Ilikuwa zuga "bwege"
 
BRN ulikuwa mpango wa wana lumumba kupiga hela na ndio hao waliokuwa wakishangilia na kubeba mabongo, kuvaa matshet na makofia ya BRN, ajabu hao watavaa tena sare na kubeba mabango wakishangilia kufutwa kwake...
Maccm yana mambo ya ajab kweli kweli, ndio maana ni mazwazwa...
Ni bora kuishi kwa sense of reality kuliko kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.
Kuna kijana wa chama Fulani hata huwa siwalewi kama ni pepo au ndege.
 
Back
Top Bottom