Unataka tumsapoti Tundu Lissu?Angejitokeza mwerevu moja akampinga Kikwete na Linda katika hili la BRN angepigiwa kelele na Lumumba kwa kudai ni usaliti!!
Leo Lumumba hao hao wataandamana Ku support
Unataka tumsapoti Tundu Lissu?Angejitokeza mwerevu moja akampinga Kikwete na Linda katika hili la BRN angepigiwa kelele na Lumumba kwa kudai ni usaliti!!
Leo Lumumba hao hao wataandamana Ku support
Kweli hapa Kazi. Good job Mheshimiwa President Magufuli.
Unataka tumsapoti Tundu Lissu?
BRN ulikuwa mpango wa wana lumumba kupiga hela na ndio hao waliokuwa wakishangilia na kubeba mabongo, kuvaa matshet na makofia ya BRN, ajabu hao watavaa tena sare na kubeba mabango wakishangilia kufutwa kwake...
Maccm yana mambo ya ajab kweli kweli, ndio maana ni mazwazwa...
Kwani nimekiuka katiba?Kumbe nawe wa Lumumba? Hongera sana aisee