Rais Magufuli aizika rasmi BRN, wafanyakazi wahamishiwa idara nyingine za Serikali

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,395
Rais Magufuli awaaga rasmi waliokuwa Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Mipango(President Delivery Bureau - PDB) ambao wamehamishiwa katika Taasisi nyingine za Serikali.

Wafanyakazi hao ndio waliokuwa wakisimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa(Big Results Now - BRN).

IMG-20170627-WA0029.jpg
 
BRN na Tanzania ya viwanda kila mahali wapi na wapi ??

Wala haitajiki ktk Tanzania ya Makinikia
 
  • Thanks
Reactions: PNC
BRN ulikuwa mpango wa wana lumumba kupiga hela na ndio hao waliokuwa wakishangilia na kubeba mabongo, kuvaa matshet na makofia ya BRN, ajabu hao watavaa tena sare na kubeba mabango wakishangilia kufutwa kwake...
Maccm yana mambo ya ajab kweli kweli, ndio maana ni mazwazwa...
 
Wakati umekazana kupiga tarumbuta ya 'Maccm' usisahau ile 'list yetu ya Mwembayanga' na jinsi tulivyobadili gia angani! Tabia ya mnafiki hana kumbukumbu nzuri na shingo yake mara nyingi legelege.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom