Rais Magufuli afuta shamrashamra za Muungano 2016, fedha zikajenge barabara Mwanza

Nazisubiri mbio za Mwenge nijipigie hela na vikao vya maandalizi tumeshafanya zaidi ya sita..
 
Mkuu respect Mimi ningemshauri magu hiyo bil 2 moja ingekwenda zenji na iliyobaki ndio ingekwenda mwanza. Huu ni muungano sio 9 Dec.

Hii ni siku kuu ya Jamhuri ya Muungano na Mhe Magufuli ndiye rais wake. Rais wa Zanzibar atafute Sherehe za kufuta huko kwake.
 
sikia sisi wengine hatuko hapa kuimba hekaya au litania za masifu ...tuko hapa kuongea ukweli ...honesty advise ..anachemsha!! mambo mengine....na pale anapofanya vizuri pia hatutasita kumwambia ...inaonekana hao aliopewa hawamuambii ukweli..

sasa unataka kuamini hao waliofuatia baada ya mwalimu hawakufanya kitu??? basi tuseme wote waliotangulia hawakufanya kitu?? nchi hii haikupata kuwa na rais ??

Inajulikana wazi kuwa hata waliotangulia hawakufurahishwa kabisa ....na kumbukumbu muhimu za kitaifa kufutwa [hata mkisema ni mwaka huu tu ]..hizi ni siku ambazo zipo kikatiba ....na zikaundiwa sheria ya namna ya kuziadhimisha ....

sisi ndio nchi ya kwanza duniani kufuta kumbukumbu za kitaifa ....hata afrighanistan ambao kutwa wana matatizo ikifika siku ya taifa wanaikumbuka ....

what is 2 billion kwa nchi??

halafu vipi siku hizi national assembly haipangi tena bajeti au kuidhinisha matumizi??


Hata wewe pia una matatizo ya kusoma na kuelewa kilichoandikwa kama wenzako wengi sijui tatizo ni nini! Ngoja nijaribu tena, Serikali haijafuta Maazimisho ya Uhuru au Muungano hizo siku zote zinabaki kuwa maalumu kwa ajili hiyo ila kilichobadilishwa ni namna ya kuadhimisha hizo sherehe, lkn inabakia vilevile kwamba tarehe 26/04 ni siku ya Muungano, Tanzania!

NARUDIA TENA SIKU YA MUUNGANO HAIZAFUTWA BALI TUNAADHIMISHA KIVINGINE!
 
Well said mkuu, wabunge wetu wangekua makini, wangeenda na hoja binafsi bungeni kisha kuuingiza hivi vitu kwenye katiba ya nchi na kuwa vya kikatiba. Tatizo wamekalia kupiga dili za mil. 30 kwenye kamati
Hatuna bunge, tuna wachumia tumbo tu. Rais na mawaziri wake watengeneze bajeti na kuitekeleza. Tumewakubali. Bunge livunjwe tu kwa kuwa haliaminiki tena. Spika Ndugai anawezaje kuwaweka wabunge wenye vituo vya mafuta kwenye kamati ya nishati na madini? Conflict of interest aliikanyigiaje chini?Hao watakuwa wamemhonga ili kulinda maslahi yao.! And they have the temerity to request that EWURA be disbanded just because they were fined for adulterating fuel and selling export fuel within the country! Rais kamata spika na hiyo kamati yote.
 
Hata wewe pia una matatizo ya kusoma na kuelewa kilichoandikwa kama wenzako wengi sijui tatizo ni nini! Ngoja nijaribu tena, Serikali haijafuta Maazimisho ya Uhuru au Muungano hizo siku zote zinabaki kuwa maalumu kwa ajili hiyo ila kilichobadilishwa ni namna ya kuadhimisha hizo sherehe, lkn inabakia vilevile kwamba tarehe 26/04 ni siku ya Muungano, Tanzania!

NARUDIA TENA SIKU YA MUUNGANO HAIZAFUTWA BALI TUNAADHIMISHA KIVINGINE!

Hizi sherehe ziko kikatiba ..na sheria ya maadhimisho inaeleza namna ya kuzisherekea ....nani kashirikishwa mwakilishi wa wananchi juu ya kubadilika kwa namna ya kusherekea ..maana hii ni mara ya kwanza toka tupate uhuru ...na pia ni mara ya kwanza afrika mashariki sembuse afrika ..sembuse duniani ....iwe uite "kuadhimisha kivingine" ,"kuahirisha" kama sio kufuta ...
 
Ni ujanja wa JPM & Shein kukwepa aibu ya kuadhimisha muungano kichama. Halafu kwa nini barabara hiyo ya Mwanza na siyo ile ya Chakechake, Mbeya au Bumbuli?
 
Wewe kibaka tafuta namna nyingine ya kumalizia banda lako, muda wa kuishi kwa ujanjaujanja na kunufaika na public fund umepita, nyinyi makenge kama hamkumalizia vibanda vyenu wakati nchi ilipokuwa haina Rais kwa miaka 10 sasa mtanyooka.

Hii siyo Tanzania ya ccm tena bali ni Tanzania ya Magufuli na mtanyooka mwaka huu wezi wakubwa nyinyi. Mwaka huu hatuzibi shimo la panya kwa slice za mkate bali tunasiliba kwa zege. Fanculo.
Kumshambulia member mwenzio kwa maneno makali bila hoja zenye mashiko ni dalili ya uelewa na fikra finyu. Ni vema kupinga hoja kwa hoja na si vijembe!
 
siku hizi matumizi yanaamuliwa na PRESIDENTIAL DECREE... , maana kuhamisha matumizi bila baraka za bunge ni kubaka kazi za muhimili wabunge ....... , NAONA TUFUTE HADI BUNGE ILI KUBANA MATUMIZI ...la nini sasa kama matumizi ya pesa ...na kubadili matumizi anafanya mtu mmoja ...na kikatiba hii ni kazi ya bunge na zamani kufanya hivyo tayari ni matumizi mabaya ..au yasiyoidhinishwa ....ni audit querry hiyo
Yaani ni sheedah!
Nadhani hapa ndo tutaanzia kuwapima wawakilishi wetu. Kama muswada wa sheria ya matumizi waliupisha wao kwa kura, iweje rais autengue bila baraka yao hata kama naye ni sehemu ya bunge!??
 
NDIO TATIZO LA KUONGOZWA NA WATU AMBAO WAMEZUKA TU BILA KUANDALIWA NA MSIOJUA WALIKOTOKA MABABU ZAKE.......BIG MISTAKE!!! TUTAWALAUMU CCM ...KAMA WALIONA ANAWEZA KUWA RAIS ..WALITAKIWA NAYE WAANZE KUMUANDAA ..TUNATAMBUA WAPO WALIOKUWA WANAANDALIWA KWA KUPEWA MAFUNZO MAALUM .....HADI KINA MAKONGORO NA WENGINE WAKAPELEKWA MAREKANI NA CHINA ORIENTATION ...KWANINI KWENYE HIYO PROGRAM HAWAKUMUWEKA JPM??

UNAWEZAJE KUFUTA MISINGI YA UTAIFA WETU ...TUNU ZETU ...HIYO NI MISINGI AMBAYO INATAKIWA KUISIMAMIA ....KAMA GHARAMA KUBWA SIUNAPUNGUZA .....HATA MASKINI WANAKUMBUKA SIKU ZAO ZA KUZALIWA NA MATUKIO YAO KAMA NDOA ...KIFO CHA WAZEE WAO
HATA KATI KATI YA UMASIKINI WETU KAMA TAIFA ....WAKATI AMBAPO NCHI YETU ILITENGWA KWA SERA ZAKE ZA KIJAMAA NA HATUKUWA NA PESA ....TULIKUMBUKA SIKU ZETU MUHIMU KATI KATI YA UNYONGE WETU ...SEMBUSE LEO ??!!
Nawewe ukijichunguza utajua ni tatz tena sana, kwani sherehe zimefutwa au zinaadhimishwa kwa mtindo mwingine? Huna tofauti na ntoto mdogo aliyekariri sikukuu lazima ipikwe pilau, kumbe wanaweza pika chochote kwa kutimiza ile sherehe. So hata siku hiyo sio lazima gwaride liwepo au vitu kibao ambavo kwa mda mwingine ni gharama kubwa sana ukilinganisha Na faida tunayopata na vilevile kwa mtanzania anaejitambua gwaride au zile mbwembwe za pale taifa wakati wa sherehe kwake sio kipaumbele.
Itoshe kuwa kuna muungano na sherehe tutaadhimisha hivi kwa hali yetu inavyoruhusu, tusilete habar za kutaka kuishi kama taifa flani mara ooh taifa gani limehairisha sherehe mara cjui nn!! Ebu tujiangalie sisi watanzania tuko ktk hali gani na nn tufanye.
Siku ya sherehe tumeambiwa ni siku ya mapunziko, hicho tu kinatosha kuweka kumbukumbu kwamba kuna tukio gani tunaadhimisha.
KWA PAMOJA TUNAWEZA, TAIFA KWAN ZA SIASA BAADAE.
 
Hizi sherehe ziko kikatiba ..na sheria ya maadhimisho inaeleza namna ya kuzisherekea ....nani kashirikishwa mwakilishi wa wananchi juu ya kubadilika kwa namna ya kusherekea ..maana hii ni mara ya kwanza toka tupate uhuru ...na pia ni mara ya kwanza afrika mashariki sembuse afrika ..sembuse duniani ....iwe uite "kuadhimisha kivingine" ,"kuahirisha" kama sio kufuta ...


Acha uongo wewe Hata unachokiongea haukijui, hivi haujui kwamba kikatiba raisi wa JMTZ ndiyo mwenye mamlaka ya kutangaza na kuamua sherehe ipi iadhimishwe na ipi isiadhimishwe, kwa kifupi raisi achilia mbali kubadilisha namna ya kusherehekea bali ana uwezo wa kuzifuta kabisa na huwo ni uwezo wa kikatiba!
 
Hizi hela zilitengwa lini? mrejesho wa barabara ya Morocco Mwenge?...... we need more strategic move than this... ifike mahali tuamue kama taifa, kama sherehe hizo hazifai tuzifute fedha zielekezwe kwenye vipaumbele vya kitaifa....
halafu mbona barabara ya morroco-mwenge haimaliziki????? tatizo nini au pesa chache????
 
Kutumia pesa za MUUNGANO kwa maendeleo ya Bara peke yake ni kuzid kuifanya Zanzibar kuwa KOLONI la Tanzania Bara
 
Huu muungano si wa nchi mbili? Hao upande wa zanzibar nao wamenufaika vipi kwa kuhairishwa hizo sherehe?
ulinzi tunao wapa pia tumenyimwa misaada sababu yao.Unajua itakayo dhurika ni Tanganyika. hivyo watulie watulipe fadhila
 
Back
Top Bottom