Kero zinatatulika? Mbona hamjatatua?Napingana na hapo kwa kutaka muungano ufutwe, binafsi kw upeo wangu bado sijaiona sababu ya kuufuta muungano!!
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si wa kwanza duniani!! Muungano huu ndio historia harisi ya hii tunayoiita Tanzania, sehemu kubwa ya historia ya nchi hii, shida ambazo ziko ndani ya muungano wetu huu ni shida za kawaida na zinatatulika, inahitaji serikali serious kidogo kuzitatua zile kero za muungano, na hatujawai kuwa na serikali serious toka mwaka 1984. Muungano inabidi umpate mtu kivuruga kidogo, and i think Magu is, mie antiCCM ila huyu Magu ni aina ya kiongozi tulihitaji kwa kipindi kirefu.
Nchi haijawaji kuwa na kiongozi serious toka 1984? Sasa hao waliokuwa serious mbona hawakutatua kero kabla ya hiyo 1984?
Zanzibar ni mzigo mzito sana kwa Tanganyika.