Zao wamefanyia uchaguzi wa marejeo.Huu muungano si wa nchi mbili? Hao upande wa zanzibar nao wamenufaika vipi kwa kuhairishwa hizo sherehe?
Bado mbio za Mwenge lakini nasikitika zitakuwepo naLakini mapumziko yapo palepale
View attachment 334770
Nice work mr.president,natarajia kusikia hata sherehe ya mbio za mwenge zinaondolewa.Mapungufu kwenye nchi yetu ni mengi yatupasa kuweka vipaumbele vya msingi kwa niaba ya wananchi wote wa Tanzania.Lakini mapumziko yapo palepale
View attachment 334770
Kelele za kitanda hazimzuii mtiaji kutiaWanajua wajifanyia Dar patakuwa hapatoshi wakati Rais mwenza kutoka kuleee atakapo ingia uwanjani.
Watu wanaona mbali, ingekuwa aibu mbele ya wageni na sio rahisi kuudhibiti uwanja kama ule
Kelele za kitanda hazimzuii mtiaji kutia
Kweli kabisa tuzifute au tuziadhimishe kila baada ya miaka 10Hizi hela zilitengwa lini? mrejesho wa barabara ya Morocco Mwenge?...... we need more strategic move than this... ifike mahali tuamue kama taifa, kama sherehe hizo hazifai tuzifute fedha zielekezwe kwenye vipaumbele vya kitaifa....
Hilo nalo JIPU. Mbali na fedha kuteketea, limesababisha ongezeko la gharama kutibu wenye kuambukizwa UKIMWI, na ujauzito usiopangiliwa n.k.Mbio za Mwenge vipi hazifutwi?
zimehairishwa au zimefutwa kabisa
Ni uamuzi mzuri na wa kuunga Mkono, kwa sababu binafsi sioni maana ya kusheherekea hizi sikukuuza Kitaifa ilhali bado mamilioni ya Watanzania wanamahitaji mengi ya msingi yanayoweza kupunguzwa na hizi bajeti zinazokuwa allocated kwenye hizi sherehe za Kitaifa....Lakini mapumziko yapo palepale
View attachment 334770
Kwani hii historia imetusaidia nn kimaisha ktk afya usafiri au nyanja yeyote ile? Afute tu maana tarehe haibadiliki bado ni historiaMe naona hii inafuta historia za nchi .... Iv ina maana nchi zote zilizoendelea sherehe za kihistoria kama hizi wamezifuta pia?? Then muungano ni wa nchi mbili vipi iweje hiyo hela itumike bara tu visiwani isitumike tuseme ndio hamna matatizo mengi sana,,,,, ni bora iyo bil 1 itumike tanzania bara na nyingine visiwani
Kama sasa hivi niko Morocco hapa naenda Mbezi Beach....nadrive kwa hii carpet nyeusi iliyowekwa kwa hela za Dec 09...Kwenye red hapo nina imani waliopo Dar na wanaitumia hii barabara ya Morrocco watakupa mrejesho kamili. Kifupi ni kazi ya kupongezwa na inayotia moyo. Kwa yeyote aliyeiona ile barabara na anapenda maendeleo basi hatasita kupongeza juhudi zilizofanywa na Mh. Rais.
Kwahio bwana mkubwa huu 'utaifa' wetu kuusheherekea ni muhimu kuliko kununua dawa,vitanda vya hospitali au in this case kutanua barabara kupunguza msongamano??!!! Tangu tuanze kusheherekea muungani miaka mingapi sijui iliopita,hizo sherehe zimetunufaisha na nini zaidi ya kutumia billions and billions ambazo wanalipwa watu kwa tender zisizo na kichwa wala miguu??!! Wanaolialia wengi ni waliokuwa wanategemea kupata tender za kuuza maji ya tzs 500 kwa tzs 10,000!NDIO TATIZO LA KUONGOZWA NA WATU AMBAO WAMEZUKA TU BILA KUANDALIWA NA MSIOJUA WALIKOTOKA MABABU ZAKE.......BIG MISTAKE!!! TUTAWALAUMU CCM ...KAMA WALIONA ANAWEZA KUWA RAIS ..WALITAKIWA NAYE WAANZE KUMUANDAA ..TUNATAMBUA WAPO WALIOKUWA WANAANDALIWA KWA KUPEWA MAFUNZO MAALUM .....HADI KINA MAKONGORO NA WENGINE WAKAPELEKWA MAREKANI NA CHINA ORIENTATION ...KWANINI KWENYE HIYO PROGRAM HAWAKUMUWEKA JPM??
UNAWEZAJE KUFUTA MISINGI YA UTAIFA WETU ...TUNU ZETU ...HIYO NI MISINGI AMBAYO INATAKIWA KUISIMAMIA ....KAMA GHARAMA KUBWA SIUNAPUNGUZA .....HATA MASKINI WANAKUMBUKA SIKU ZAO ZA KUZALIWA NA MATUKIO YAO KAMA NDOA ...KIFO CHA WAZEE WAO
HATA KATI KATI YA UMASIKINI WETU KAMA TAIFA ....WAKATI AMBAPO NCHI YETU ILITENGWA KWA SERA ZAKE ZA KIJAMAA NA HATUKUWA NA PESA ....TULIKUMBUKA SIKU ZETU MUHIMU KATI KATI YA UNYONGE WETU ...SEMBUSE LEO ??!!
Kwahio bwana mkubwa huu 'utaifa' wetu kuusheherekea ni muhimu kuliko kununua dawa,vitanda vya hospitali au in this case kutanua barabara kupunguza msongamano??!!! Tangu tuanze kusheherekea muungani miaka mingapi sijui iliopita,hizo sherehe zimetunufaisha na nini zaidi ya kutumia billions and billions ambazo wanalipwa watu kwa tender zisizo na kichwa wala miguu??!! Wanaolialia wengi ni waliokuwa wanategemea kupata tender za kuuza maji ya tzs 500 kwa tzs 10,000!