Rais Magufuli afuta shamrashamra za Muungano 2016, fedha zikajenge barabara Mwanza

... ifike mahali tuamue kama taifa, kama sherehe hizo hazifai tuzifute fedha zielekezwe kwenye vipaumbele vya kitaifa....
kujenga barabara sio moja ya vipaumbele vya Taifa?

Anyhow, screw the Muungano!

Kizanzibar hiki kinatu cost sana Watanganyika, sijui kina add value gani katika nchi hii hiki ki Zanzibar. Watanganyika tuamke!
 
Kwani Zanzibar walilipia shilingi ngapi za maandalizi?
Kabla ya kutaka kujua zanzibar ililipia shilingi ngapi kwenye maandalizi jiulizeni kwanza watanganyika iko wapi tanganyika kwenye huu muungano.
 
Mimi kwa ushauri wangu, ninaona itakuwa ni vema mh. rais akafuta shamrashamra zote za sikukuu za kitaifa kwa kipindi chote cha utawala wake na si mwaka huu tu. Kuna maana gani kutumia mabilioni kwa sherehe za siku moja ilihali tungeweza kuyatumia kwa vitu vya kudumu vya kimaendeleo?
 
Bara ndo tuna mamlaka ya kuamua jambo
Kwanza hiyo gharama ya sherehe zenyewe bara ndio tunaotoa. Si unajua sisi tunawabeba hawa ndugu zetu kwa mambo mengi japo hawaoni! Sasa kama fedha tunatoa sisi suala likiahirishwa fedha hizo zinatakiwa zitunufaishe wa upande huu na sio kupelekwa upande mwingine.
 
Wewe vipi?
Hao Marais walioandaliwa na Mwl. Nyerere wamefanya nini kikubwa kwa taifa?

Rais ameahirisha shereha na siyo ameifuta kama unavyotaka kuwaaminisha wanaJF.

Kwani kufanya kumbu kumbu mpaka ufanye sherehe? Hata mapumziko ya siku ya kazi ni kufanya sherehe.

Tatizo lako unaiangalia Tanzania katika jicho la maisha yako. Unafahamu ni Watanzania wangapi wanasherekea siku ya Muungano kwa kufanya sherehe ya chakula na vinywaji? Hivi umeishafika vijijini na kuona maisha ya Watanzania.

Kupanga ni kuchagua, Rais amepanga na kuchagua kulingana na hali halisi ya kisiasa na pato la taifa kwa wakati huu.

Subiri mwaka kesho unaweza kupata gwaride, vinywaji na chakula unavyovipigia kelele!

sikia sisi wengine hatuko hapa kuimba hekaya au litania za masifu ...tuko hapa kuongea ukweli ...honesty advise ..anachemsha!! mambo mengine....na pale anapofanya vizuri pia hatutasita kumwambia ...inaonekana hao aliopewa hawamuambii ukweli..

sasa unataka kuamini hao waliofuatia baada ya mwalimu hawakufanya kitu??? basi tuseme wote waliotangulia hawakufanya kitu?? nchi hii haikupata kuwa na rais ??

Inajulikana wazi kuwa hata waliotangulia hawakufurahishwa kabisa ....na kumbukumbu muhimu za kitaifa kufutwa [hata mkisema ni mwaka huu tu ]..hizi ni siku ambazo zipo kikatiba ....na zikaundiwa sheria ya namna ya kuziadhimisha ....

sisi ndio nchi ya kwanza duniani kufuta kumbukumbu za kitaifa ....hata afrighanistan ambao kutwa wana matatizo ikifika siku ya taifa wanaikumbuka ....

what is 2 billion kwa nchi??

halafu vipi siku hizi national assembly haipangi tena bajeti au kuidhinisha matumizi??
 
Niambie ni kiongozi gani toka Mwl. Nyerere ang'atuke ambaye aliandaliwa kuongoza nchi hii pamoja na kuwa na Chuo cha Makada kule Kigamboni miaka ile ya nyuma? Rais Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawakupitia Chuo hicho kilichokuwa kinawapika Makada wa Chama kuwa Viongozi. Huo utaratibu ni nadharia tu. Hata Marekani wanahangaika na Donald Trump ambaye hakuwahi kuwa kwenye siasa kwa kipindi chochote kile!

Unataka kuamini kuwa Mwinyi alizuka tu..mtu ambaye amepata kuwa hadi rais wa zanzibar??

Mkapa ambaye siku zote amekuwa mwandishi wa mwalimu , waziri wa nje na mengine hakuandaliwa ??

Kikwete pia hakuandaliwa ..

wote hao kwa upande wa chama wamepata kuwa wajumbe wa mkutano mkuu,halmashauri kuu na hata kamati kuu ...hawakuandaliwa wala hawajui nchi na chama .....Sasa ambaye hajawahi kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi ndio kaandaliwa ??? tukubali tu kuwa kuna watu walizembea kumwandaa ..wakati indication zote zilionyesha kuwa ni mmoja wa possible candidates [pengine walitaka kumbania ili watumie hicho kiwe kigezo ]..lakini upinzani ukawa mkali wakakosa namna
 
sikia sisi wengine hatuko hapa kuimba hekaya au litania za masifu ...tuko hapa kuongea ukweli ...honesty advise ..anachemsha!! mambo mengine....na pale anapofanya vizuri pia hatutasita kumwambia ...inaonekana hao aliopewa hawamuambii ukweli..

sasa unataka kuamini hao waliofuatia baada ya mwalimu hawakufanya kitu??? basi tuseme wote waliotangulia hawakufanya kitu?? nchi hii haikupata kuwa na rais ??

Inajulikana wazi kuwa hata waliotangulia hawakufurahishwa kabisa ....na kumbukumbu muhimu za kitaifa kufutwa [hata mkisema ni mwaka huu tu ]..hizi ni siku ambazo zipo kikatiba ....na zikaundiwa sheria ya namna ya kuziadhimisha ....

sisi ndio nchi ya kwanza duniani kufuta kumbukumbu za kitaifa ....hata afrighanistan ambao kutwa wana matatizo ikifika siku ya taifa wanaikumbuka ....

what is 2 billion kwa nchi??

halafu vipi siku hizi national assembly haipangi tena bajeti au kuidhinisha matumizi??
Nani aliyekuambia wengine wapo hapa kuimba hekaya au litania za masifu.

Maelezo marefu lakini unashindwa kuelewa kuwa sherehe ya Muungano haijafutwa. Bado siku hiyo ni public holiday lakini namna ya kusherekea kwa mwaka huu serikali imebadilisha kwa maana kuwa hakuna gwaride, vinywaji na chakula.

Nani alikuambia kuikumbuka siku ya Muungano lazima ufanye gwaride, watu wale chakula na kunywa, lakini vile vile siyo kila kinachofanywa na nchi zingine katika sherehe lazima Tanzania pia tukifanye.

Soma vizuri na uelewe tamko la Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais!

By the way, wewe unatumia kigezo gani kinachotambuliwa kimataifa kufahamu kama Rais Magufuli hakutayalishwa na chama chake kuwa Rais wa Tanzania au hisia yako ndiyo kigezo?
 
Good, a bit impressed....bado sherehe za kipuuzi za mwenge! Hizi nazo ni ufujaji tu:mad::mad:
 
Tangu tupate uhuru tumeshawahi kubadili namna ya kukumbuka uhuru wetu?? wewe hilo gwaride unaona ni kitu kidogo sana eeh!...kwani wale wananchi wanaokusanyika makao makuu ya wilaya,mikoa,au taifa pale wanafuata chakula eeh...,Tusichukulie mambo kirahisi namna hiyo ..au watu kama nyie ambao wanamshauri bosi kile anachotaka kusikia ....mshauri mzuri lazima atofautiane na wewe ..ukiona una mshauri ambaye kila unachosema ..anaunga mkono ...ujuwe ni tatizo ...ni lazima mara nyingine awe na mawazo tofauti na yako na ayatete mradi awe genuine.....most ya ushauri ninaouona kwenye thread hii uko so genuine ...wala sio ligi.

Huhitaji hata dictionery hata kumjuwa DC aliyeandaliwa kwa ngazi yake kuwa kiongozi .....kama alivyowahi kusema Mwalimu.....rais akitaka anaweza kujeuka kuwa "Mungu" , anapokea mambo mengi mazito ambayo katika ubinadamu wa kawaida unaweza hata kupiga mtu ......lakini lazima awe na shock absorber ...watu wanaomzunguka ambao wanayachuja yale anayofikishiwa naye akiyapata anayachuja kwa utulivu
 
Good, a bit impressed....bado sherehe za kipuuzi za mwenge! Hizi nazo ni ufujaji tu:mad::mad:

ii ndio aina ya hoja za kuunga mkono uamuzi huo .....
watu wengi wanaojuwa mambo ya nchi na misingi yake aidha wameshikwa na bumbuwazi au wanatazama tu .....wale ambao siku zote mambo ya uzalendo kwao hayana maana ndio wamekuwa wakishangilia ....aina ya watu ambao hata ikitokea vita hawawezi kuipigania nchi yao kama hata misingi yake hawaiheshimu...
wanangojea kushangilia Mwenge kufutwa ...na pengine hata mashujaa tuache kuwakumbuka...ni gharama sana ....tutakuwa tunafanya tukipata pesa .....
wakati nchi ikiwa kati kati ya vita kali ya iddi amin ....maisha yakiwa magumu ..watu wamefunga mkanda haikuweza kuingia akilini kuacha au kuahirisha chochote cha kitaifa
 
Sasa hayo maamuzi ya kujenga barabara yanafanywa na mamlaka zipi kwa taratibu zipi?
 
sikia sisi wengine hatuko hapa kuimba hekaya au litania za masifu ...tuko hapa kuongea ukweli ...honesty advise ..anachemsha!! mambo mengine....na pale anapofanya vizuri pia hatutasita kumwambia ...inaonekana hao aliopewa hawamuambii ukweli..

sasa unataka kuamini hao waliofuatia baada ya mwalimu hawakufanya kitu??? basi tuseme wote waliotangulia hawakufanya kitu?? nchi hii haikupata kuwa na rais ??

Inajulikana wazi kuwa hata waliotangulia hawakufurahishwa kabisa ....na kumbukumbu muhimu za kitaifa kufutwa [hata mkisema ni mwaka huu tu ]..hizi ni siku ambazo zipo kikatiba ....na zikaundiwa sheria ya namna ya kuziadhimisha ....

sisi ndio nchi ya kwanza duniani kufuta kumbukumbu za kitaifa ....hata afrighanistan ambao kutwa wana matatizo ikifika siku ya taifa wanaikumbuka ....

what is 2 billion kwa nchi??

halafu vipi siku hizi national assembly haipangi tena bajeti au kuidhinisha matumizi??
Wapi zimefutwa au umefuta wew
 
Zanzibar wasubiri pesa za next year kama huwa wanachangia. JPM atakuwa bado ni Rais.
 
Back
Top Bottom