Hii post unaisambaza kila thread naona umechoka hata kumtetea Magufuli kwa kuendesha nchi hovyo kutokuata misingi ya kikatiba na sharia tangu ameingia ameitia hasara nchi hii more than 7 trillion sasa kwako kama unaona ni mafanikio unahasara wewe na ukoo wako wote sasa na saa ya kufa kwakoMwanzoni walisema Magufuli hawezi sababu tatizo ni mfumo.
Baada ya kuanza kuwatumbua mafisadi wenzao wakasema ni nguvu ya soda.
Baada ya mwaka mzima kuisha huku sindano zikiwaingia kwa kasi ile ile na soda haiishi nguvu, sasa wameanza kupongeza!
Safi sana Yericko, natamani ufipa yote ipokee ubatizo wa moto kama uliopokea wewe na hatimaye kuungana na rais bora kabisa duniani kulijenga upya taifa la Tanzania.