Rais Magufuli afuta leseni za kampuni za kuchimba dhababu za PANGEA Minerals(Acacia Mining/Barrick)

Hizi executive orders zitaleta madhara muda si mrefu kama mlungula ulishaliwa na watu wakapewa vitalu kwa kupindisha sharia yetu ni macho. Anaweza kuwa anawatetea wadogo lakini ajue anashindana na sheria kama hili lipo katika wigo wa uwezo wake ni vizuri sana lakini kama watu walishapindisha sheria huko nyuma na uozo kufanywa ukweli basi ajiandae kulipa faini. Magufuli asiyachukulie haya mambo ya mikataba kirahisi rahisi yatamkwamisha hata kununua hizo ndege akiwa anakurupuka kurupuka, pesa yote ya ndege itaenda kulipa faini. Naomba isiwe hivyo.
Acha uoga tusimame pamoja na rais tutetea rasilimali za nchi
 
hatuhitaji mitahi mipya kusonga mbele, Ni vizuri kujua kuwa kizuri cha jitembeza, hivyo ndiovyo wahenga walivyosema, its high time watanzania mrudishiwe confidence y kuabudu watu, hivi kuna uswisi gani itakayokulazimisha ufanye biashara na mwizi? hizo za samaki wa magufuli walitukuta na viongozi wasiojitambua, wakatufanya mabwege, hakuna aliyemkuu juu ya raisi inapohusisha maslahi ya nchi, avunje mikataba hata huko uswisi tugome kwenda kwani watatufanya nini? waogope walificha hela za wizi huko maana ndizo zitakazozuiliwa, waende watuache na dhababu yetu, tutaanza upya na yule aliyekuwa kila mwaka anapewa share yake kuendeshea NGo yake imekula kwake,
Usiwaze kwa kutumia kisogo Nchi ina pesa zake kumbuka Nchi inafanya biashara za kimataifa pia kuna pesa za misaada hata pesa za ndege cash wanazo huko huko na baadhi ya ndege hazijaletwa nchini wakiamua kuikomoa Tanzania watazuia pesa zote pia wataweka vikwazo vya biashara shilingi ya Tanzania itashuka thamani na kuwa na Noti mpaka ya milion 5 , jaribu kubuni mbinu za kutatua tatizo badala ya kuabudu fikra za Daud Albert bashite mshauri mkuu wa magufuli ambaye ndiyo humshauri vingi kwa sasa na wanaenda kuiletea Nchi hasara kubwa wakidhani blackmail zao zinasaidia
 
Acha uoga tusimame pamoja na rais tutetea rasilimali za nchi
rasilimali zinatetewa kwa mikataba bora bungeni si wabunge wa CCM kupitisha mikataba mibovu kisha Yule yule aliyekuwa bungeni akipitisha leo kajidai hukujua alichokuwa akifanya bungeni kaamu kutengeneza sinema na CCM wanamuunga mkono pasipo kutafakari athari za kukurupuka hovyo.
 
uko macho mkuu tunamuunga mkono rais 100%hatuyumbishwi na wachache munaonufaika na hiyo mikataba yenu
 
tusubiri kesi za uswisi zianze tulipe fidia za mabilioni ya dola,si unajua hata ka kiwanja ukichukua kwa sababu yeyote lazima ufidie,sembuse eneo lenye madini,watu wameingia gharama kufanya utafiti,kulipa tozo,na hasara ya kukosa biashara,japo pia wanaweza kulirudisha kwa kupitia kesi hizohizo kwa hoja kwamba hawakupewa notisi na kujitetea/kusikilizwa kabla ya kufutiwa leseni

Wataenda mahakama ya biashara duniani atashindwa kama alivyoshindwa kesi ya meli na samaki wa Magufuli halafu watoto walio tumboni mwa mama zao wataendelea kulip deni la uzembe kabisa
Haya enyi wapiga ramli mtishao watu kila uchao leteni mrejesho wa Kesi za hao mabosi wenu!!
 
Hizi executive orders zitaleta madhara muda si mrefu kama mlungula ulishaliwa na watu wakapewa vitalu kwa kupindisha sharia yetu ni macho. Anaweza kuwa anawatetea wadogo lakini ajue anashindana na sheria kama hili lipo katika wigo wa uwezo wake ni vizuri sana lakini kama watu walishapindisha sheria huko nyuma na uozo kufanywa ukweli basi ajiandae kulipa faini. Magufuli asiyachukulie haya mambo ya mikataba kirahisi rahisi yatamkwamisha hata kununua hizo ndege akiwa anakurupuka kurupuka, pesa yote ya ndege itaenda kulipa faini. Naomba isiwe hivyo.
Acha kulishwa maneno,ni bora kuwalipa pesa kuliko kutuachia mashimo.
Tutawapa pesa madidi yatabaki
 
Hizi executive orders zitaleta madhara muda si mrefu kama mlungula ulishaliwa na watu wakapewa vitalu kwa kupindisha sharia yetu ni macho. Anaweza kuwa anawatetea wadogo lakini ajue anashindana na sheria kama hili lipo katika wigo wa uwezo wake ni vizuri sana lakini kama watu walishapindisha sheria huko nyuma na uozo kufanywa ukweli basi ajiandae kulipa faini. Magufuli asiyachukulie haya mambo ya mikataba kirahisi rahisi yatamkwamisha hata kununua hizo ndege
akiwa anakurupuka kurupuka, pesa yote ya ndege itaenda kulipa faini. Naomba isiwe hivyo.

ninapata mashaka kama wewe ni Mtanzania raia uliyezaliwa Tanzania na ambaye unaona uchungu wa raslimali za Tanzania.
kwa sababu sioni ni wapi pa kumponda ama kutokukubaliana na kile anachokifanya rais juu ya sekta hii ya madini ambayo imeonekana kwamba haimfaidishi mwananchi wa tanzania wala serikali ya tanzania bali wanafaidi tu hao wanaojiita wawekezaji na ambao pia mwisho wa siku hata kile wanachokivuna wanaishia kuwekeza huko nje kwenye nchi zao hao wahusika kwa hiyo si mimi wala wewe na hata kizazi chako watakaofaidi hizi raslimali.
Rais Magufuli anapotetea si kwa faida yake binafsi yeye na wala si kwa faida ya familia na kizazi chake ila anafanya kwa faida ya Watanzania wote akiwepo wewe pamoja na kizazi chako na anafanya ni kwa nia njema.hivyo nafikiri ikiwa kweli na watanzania walio na moyo wa uzalendo wanapaswa kumpa moyo kwa kumuunga mkono japo hata kwa kumwandika vizuri katika hili na ikiwa umeona kuna mahali pa kumshauri kama wewe unao uwezo huo basi unaweza ukaweka ushauri wako hapa wa ni namna gani angefanya ili afanikiwe kuuzima huo wizi kama siyo dhuluma kwenye hizo raslimali zetu.
kumbuka kwamba kwa nafasi aliyokuwa nayo kama rais angekuwa na uwezo na yeye wa kufanya mikataba mingine mipya na wawekezaji wengine wapya kwa maslahi yake binafsi jambo ambalo hakufanya na badala yake anaumia kichwani afanye nini ili kukomboa hata kile kilichopotea na kinachoendelea kupotea halafu yake unatokea mtanzania unaponda.jifikirie unapofanya hivyo unafanya kwa faida ya nani? kati ya mtanzania na mwekezaji ni yupi wewe unayemtetea? na kwa faida zipi ?
 
Mheshimiwa Rais sasa mwendo Mdundo na hataki mchezo kabisaa na hajaribiwi.

Kampuni hizi zilikuwa zinachimba dhahabu huko kwenye migodi ya Bulyanhulu, North Mara na Buzwagi.

Tusisahu kuwa hawa ACACIA mining walilalamika kine vyombo via habari via nje ya nchi kuwa TRA wamechukua pesa pesa ambazo walikuwa wanadaiwa (Dollar milioni 5) toka kwenye account yao bila idhini yao wakati huo huo wao kama ACACIA walikuwa wanaidai serikali dollar milioni 15

Habari zaidi someni hapa:

More Magufuli orders removal of top mining from gold field
Macho na masikio.
 
Mwanzoni walisema Magufuli hawezi sababu tatizo ni mfumo.

Baada ya kuanza kuwatumbua mafisadi wenzao wakasema ni nguvu ya soda.

Baada ya mwaka mzima kuisha huku sindano zikiwaingia kwa kasi ile ile na soda haiishi nguvu, sasa wameanza kupongeza!

Safi sana Yericko, natamani ufipa yote ipokee ubatizo wa moto kama uliopokea wewe na hatimaye kuungana na rais bora kabisa duniani kulijenga upya taifa la Tanzania.
Fisadi ametumbuliwa bos, ni yupi huyo maana cye wengine cyo wafatiliaji cjui
 
Mwanzoni walisema Magufuli hawezi sababu tatizo ni mfumo.

Baada ya kuanza kuwatumbua mafisadi wenzao wakasema ni nguvu ya soda.

Baada ya mwaka mzima kuisha huku sindano zikiwaingia kwa kasi ile ile na soda haiishi nguvu, sasa wameanza kupongeza!

Safi sana Yericko, natamani ufipa yote ipokee ubatizo wa moto kama uliopokea wewe na hatimaye kuungana na rais bora kabisa duniani kulijenga upya taifa la Tanzania.
fisadi gani alyemtumbuwa ccm wenyewe wote nimafisadi mbona hajatumbua ni usaniii mtupu
 
Back
Top Bottom