Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

JPM AWAINUA WASTAAFU TOKA MAFAO YA MKUPUO WA 25% HADI 50%.

Leo 13:15pm,28/12/2018.

Uamuzi wa Rais Magufuli wa kuwainua wastaafu kutoka iliyokuwa kanuni mpya ya kupata Mafao ya Mkupuo ya 25% mpaka 50% ambayo wastaafu wengi walikuwa wanapata.Utaongeza wigo wa Nguvukazi ya Watanzania walio kwenye hifadhi ya jamii na kuleta matumaini makubwa kwa Wazee wetu Wastaafu.

Utaratibu wa kuwapa 50% ya Mafao yao kwa mkupuo, utawawezesha Wafanyakazi kuweza kukopa Mikopo ya Nyumba iliyo na thamani ya mpaka 25% ya jumla ya mafao, na hivyo baada ya kustaafu kuweza kupokea 25% ya jumla ya mafao yao iliyobaki huku 50% ya mafao wakilipwa kama kipato cha kila mwezi.

Jambo hili litawawezesha Wastaafu kuwa na uhakika wa makazi, pamoja na ustawi wa maisha, na kuondoa usumbufu wa kuanza kujenga au kununua nyumba mara baada ya kustaafu.

Kuyapunguza Mafao yao ya mkupuo mpaka 25% ni kuwaondolea haki hii ya kuweza kuwa na Mikopo ya Nyumba. Ni Rai yetu kuwa mafao ya mkupuo yarudishwe kuwa 50% kwa mifuko yote miwili sasa ili kuwawezesha watumishi wa Umma na wale wa Sekta Binafsi kuweza kupata mikopo ya nyumba kupitia akiba ya mafao yao.

-Falsafa,Mantiki na Muktadha wa haki ya Mfanyakazi.

Makadirio ni kuwa Mtanzania anaishi kwa muda wa Miaka 15.5 mara baada ya kustaafu, muundo wa mafao ya sasa umejengwa katika msingi huo. Lakini ikitokea Mfanyakazi huyu wa sasa, akifariki dunia baada ya Miaka miwili tu tangu kustaafu (akiwa tuseme amepokea mafao 30% ya Pensheni yake - 25% ya Mkupuo na 5% kidogo kidogo kwa Miaka miwili) warithi wake hawatapewa Ile 70% ya Pensheni iliyobaki, bali watapokea tu kile kiwango alichokuwa mstaafu anakipokea kwa mwezi kwa muda wa miaka mitatu tu.

Faida ya Mfanyakazi kupewa 50% ya Mafao ya Pensheni yake ni kwamba ikitokea akifariki mapema mno kabla ya Ile miaka 12.5 ya baada ya kustaafu, fedha ambazo zitakuwa amepoteza na kubaki kule kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii ni chache kuliko zile alizopokea. Na hivyo kwa kiasi kikubwa atakuwa amefaidika na jasho lake, tofauti na akipewa tu 25%.

Napenda kueleweka kwamba sipo upande wa wapingaji na wakosoaji wa sheria kama Chadema na kiki zao za kisiasa wakiongozwa na Zitto,nipo kutoa mchango au michango ya kifikra katika maeneo haya yanayogusa jamii kwa ujumla,Vile vile sipo kuwapinga waliotengeneza sheria wala kanuni,Pamoja nipo tofauti na wahuni waliofanya miradi isiyo na tija katika mifuko ya hifadhi ya jamii na kusababisha mifuko hiyo kupumulia mashine na kupelekea kuungana ili kuokoa jahazi lisizame,

Tofauti yangu na Wapinzani hasa Chadema na Act ni mythical fallacy,hasa Ufahamu rasmi uliopo kwenye suala hilo (School of thoughts),Kinachofanyika katika nchi nyingi duniani na uhalisia wake kuhusu mafao hasa baada ya kustaafu,rejea za kitafiti,pamoja na maeneo haya kwa kiasi kikubwa nimeongozwa kuyajadili na mifumo ya ufahamu na uwezo wa jicho binafsi katika kusadifu masuala ya kijamii.

Kifalsafa katika uundaji wa kanuni za mifuko ya hifadhi ya jamii haikumaanisha kumpa mtu maisha ya Starehe akifukuzwa kazi au akimaliza mkataba au ukistaafu.

Mifuko ya hifadhi ya jamii inajukumu la kukufanya uyaweze maisha ukiwa huna jinsi ya kuingiza kipato. Huo ndiyo msingi wa mifuko ya hifadhi ya kijamii duniani kote.

Sasa utaratibu mpya ulikuwa unataka kuhakikisha hilo kuwa watu wajue jukumu la mifuko siyo kukufanya ujenge nyumba baada ya kustaafu bali kuhakikisha hushindwi kutimiza mahitaji muhimu yanayokuzunguka, Nitoe changamoto tu,kama hukujenga kwa mshahara wa asilimia 90 ya miaka 30 utajenga kwa asilimia 10 ya miaka 30,hii ikufanye upambane bila kungoja mafao,Hapa kazi tu na tufanye kazi.

-Mzingo na Mviringo wa Maisha yetu.

Ebu fikiria maisha yako miaka kumi baada ya kustaafu kwa sababu naona Wastaafu wa muda mrefu waliyochukua pesa yao wanavyopata taabu baada ya kumaliza pesa zao.Hii ni changamoto kubwa.

Kazi ya mifuko ya hifadhi ya jamii ni kuwatunza Wastaafu baada ya kulitumikia Taifa kwa muda mrefu na uadilifu uliotukuka.

Watu wengi wanakufa mapema kutokana na ugumu wa maisha baada ya kustaafu,Pengine sasa hivi tunaongea kwa sababu tuna nguvu tunafanya kazi zetu,Lakini kwa namna ya pekee inapaswa kuwapigania wazee wote walipwe pensheni bila kujali kama waliwahi kuajiriwa au lah,kwa maana ya changamoto ya tabu tunazoziona baada ya Wazee wetu kustaafu.

Piga maisha yako baada ya miaka 65 au mnataka mje muanze kuwalaumu watoto wenu kuwa hawatunzi? Hasa Wanawake wataanza kuwalaumu wakwe zao.Tujitahidi katika ujana wetu tukiwa na nguvu Mwenyezi Mungu ajaalie tupate kibanda kidogo cha kukaa,na mafao yetu yaje yasaidie kututunza vyema.

Nimalizie kwa kumpongeza sana Mh Rais kwa kuwajali Wananchi wanyonge na hasa Wafanyakazi waadilifu waliofanya kazi kwa uaminifu mkubwa bila kuliibia Taifa na kujenga maghorofa ya kwao na watoto wao na wengine wamewajengea hadi wajukuu wao ambao bado hawajazaliwa,hakika wewe ni Kiongozi makini na msikivu,Ahsante Mh Rais kwa kuwapa Watumishi zawadi ya Mwaka Mpya,Mungu mbariki Rais wetu ,John Magufuli,Mungu ibariki Tanzania.

Nikiishia hapa,Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga.
Dar es Salaam.
 
FB_IMG_1545418147954.jpeg
 
Nani aliwashusha Hadi Magufuli akawainua? Na kwa Hilo anastahili credits? Maana kasema irudi ya ZAMANI, meaning hapo zamani palikuwa shwari, ila tangu aingie akavurunda, halafu baada ya mtu wa pili kusema atagombea urais 2020, akaamua kujifanya hakuwepo Wala hajui yaliyotokea kwenye KIKOKOTOO. Halafu Taahira mmoja, sijui kala maharage ya wapi, anakuja JF na kuandika upuuuzi eti "Nyeipiem awainyua wastaaafu toka Mafao ya mkupuo wa...."! Wewe Ni wa kupuuzwa kama wapuuzi wengine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe, unafanya vita na wana Cdm, huku wao ndiyo wametetea jambo hili hata pale akina TUCTA walipoufyata ?! Umekalia pongezi huku unaempongeza alilitia saini sheria hiyo na kikokotoo chake !!

WaTz wanastahili kuachwa bila kutetewa. Ona mtu kama huyu mleta mada

Yaani Umeandika utumbo.....Bila shaka utakuwa na tatizo LA Kunuka mdomo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo, kwa makusudi JPM anataka kuwazika wastaafu kuanzia mwaka 2023 sio?!

Btw, huyo JPM alichowainua hao wastaafu ni nini wakati hiyo kanuni ya 25% ililetwa na serikali yake mwenyewe?!
 
Nani aliwashusha Hadi Magufuli akawainua? Na kwa Hilo anastahili credits? Maana kasema irudi ya ZAMANI, meaning hapo zamani palikuwa shwari, ila tangu aingie akavurunda, halafu baada ya mtu wa pili kusema atagombea urais 2020, akaamua kujifanya hakuwepo Wala hajui yaliyotokea kwenye KIKOKOTOO. Halafu Taahira mmoja, sijui kala maharage ya wapi, anakuja JF na kuandika upuuuzi eti "Nyeipiem awainyua wastaaafu toka Mafao ya mkupuo wa...."! Wewe Ni wa kupuuzwa kama wapuuzi wengine!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu imebidi nicheke kwanza apo ulipobana pua ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JPM AWAINUA WASTAAFU TOKA MAFAO YA MKUPUO WA 25% HADI 50%.

Leo 13:15pm,28/12/2018.

Uamuzi wa Rais Magufuli wa kuwainua wastaafu kutoka iliyokuwa kanuni mpya ya kupata Mafao ya Mkupuo ya 25% mpaka 50% ambayo wastaafu wengi walikuwa wanapata.Utaongeza wigo wa Nguvukazi ya Watanzania walio kwenye hifadhi ya jamii na kuleta matumaini makubwa kwa Wazee wetu Wastaafu.

Utaratibu wa kuwapa 50% ya Mafao yao kwa mkupuo, utawawezesha Wafanyakazi kuweza kukopa Mikopo ya Nyumba iliyo na thamani ya mpaka 25% ya jumla ya mafao, na hivyo baada ya kustaafu kuweza kupokea 25% ya jumla ya mafao yao iliyobaki huku 50% ya mafao wakilipwa kama kipato cha kila mwezi.

Jambo hili litawawezesha Wastaafu kuwa na uhakika wa makazi, pamoja na ustawi wa maisha, na kuondoa usumbufu wa kuanza kujenga au kununua nyumba mara baada ya kustaafu.

Kuyapunguza Mafao yao ya mkupuo mpaka 25% ni kuwaondolea haki hii ya kuweza kuwa na Mikopo ya Nyumba. Ni Rai yetu kuwa mafao ya mkupuo yarudishwe kuwa 50% kwa mifuko yote miwili sasa ili kuwawezesha watumishi wa Umma na wale wa Sekta Binafsi kuweza kupata mikopo ya nyumba kupitia akiba ya mafao yao.

-Falsafa,Mantiki na Muktadha wa haki ya Mfanyakazi.

Makadirio ni kuwa Mtanzania anaishi kwa muda wa Miaka 15.5 mara baada ya kustaafu, muundo wa mafao ya sasa umejengwa katika msingi huo. Lakini ikitokea Mfanyakazi huyu wa sasa, akifariki dunia baada ya Miaka miwili tu tangu kustaafu (akiwa tuseme amepokea mafao 30% ya Pensheni yake - 25% ya Mkupuo na 5% kidogo kidogo kwa Miaka miwili) warithi wake hawatapewa Ile 70% ya Pensheni iliyobaki, bali watapokea tu kile kiwango alichokuwa mstaafu anakipokea kwa mwezi kwa muda wa miaka mitatu tu.

Faida ya Mfanyakazi kupewa 50% ya Mafao ya Pensheni yake ni kwamba ikitokea akifariki mapema mno kabla ya Ile miaka 12.5 ya baada ya kustaafu, fedha ambazo zitakuwa amepoteza na kubaki kule kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii ni chache kuliko zile alizopokea. Na hivyo kwa kiasi kikubwa atakuwa amefaidika na jasho lake, tofauti na akipewa tu 25%.

Napenda kueleweka kwamba sipo upande wa wapingaji na wakosoaji wa sheria kama Chadema na kiki zao za kisiasa wakiongozwa na Zitto,nipo kutoa mchango au michango ya kifikra katika maeneo haya yanayogusa jamii kwa ujumla,Vile vile sipo kuwapinga waliotengeneza sheria wala kanuni,Pamoja nipo tofauti na wahuni waliofanya miradi isiyo na tija katika mifuko ya hifadhi ya jamii na kusababisha mifuko hiyo kupumulia mashine na kupelekea kuungana ili kuokoa jahazi lisizame,

Tofauti yangu na Wapinzani hasa Chadema na Act ni mythical fallacy,hasa Ufahamu rasmi uliopo kwenye suala hilo (School of thoughts),Kinachofanyika katika nchi nyingi duniani na uhalisia wake kuhusu mafao hasa baada ya kustaafu,rejea za kitafiti,pamoja na maeneo haya kwa kiasi kikubwa nimeongozwa kuyajadili na mifumo ya ufahamu na uwezo wa jicho binafsi katika kusadifu masuala ya kijamii.

Kifalsafa katika uundaji wa kanuni za mifuko ya hifadhi ya jamii haikumaanisha kumpa mtu maisha ya Starehe akifukuzwa kazi au akimaliza mkataba au ukistaafu.

Mifuko ya hifadhi ya jamii inajukumu la kukufanya uyaweze maisha ukiwa huna jinsi ya kuingiza kipato. Huo ndiyo msingi wa mifuko ya hifadhi ya kijamii duniani kote.

Sasa utaratibu mpya ulikuwa unataka kuhakikisha hilo kuwa watu wajue jukumu la mifuko siyo kukufanya ujenge nyumba baada ya kustaafu bali kuhakikisha hushindwi kutimiza mahitaji muhimu yanayokuzunguka, Nitoe changamoto tu,kama hukujenga kwa mshahara wa asilimia 90 ya miaka 30 utajenga kwa asilimia 10 ya miaka 30,hii ikufanye upambane bila kungoja mafao,Hapa kazi tu na tufanye kazi.

-Mzingo na Mviringo wa Maisha yetu.

Ebu fikiria maisha yako miaka kumi baada ya kustaafu kwa sababu naona Wastaafu wa muda mrefu waliyochukua pesa yao wanavyopata taabu baada ya kumaliza pesa zao.Hii ni changamoto kubwa.

Kazi ya mifuko ya hifadhi ya jamii ni kuwatunza Wastaafu baada ya kulitumikia Taifa kwa muda mrefu na uadilifu uliotukuka.

Watu wengi wanakufa mapema kutokana na ugumu wa maisha baada ya kustaafu,Pengine sasa hivi tunaongea kwa sababu tuna nguvu tunafanya kazi zetu,Lakini kwa namna ya pekee inapaswa kuwapigania wazee wote walipwe pensheni bila kujali kama waliwahi kuajiriwa au lah,kwa maana ya changamoto ya tabu tunazoziona baada ya Wazee wetu kustaafu.

Piga maisha yako baada ya miaka 65 au mnataka mje muanze kuwalaumu watoto wenu kuwa hawatunzi? Hasa Wanawake wataanza kuwalaumu wakwe zao.Tujitahidi katika ujana wetu tukiwa na nguvu Mwenyezi Mungu ajaalie tupate kibanda kidogo cha kukaa,na mafao yetu yaje yasaidie kututunza vyema.

Nimalizie kwa kumpongeza sana Mh Rais kwa kuwajali Wananchi wanyonge na hasa Wafanyakazi waadilifu waliofanya kazi kwa uaminifu mkubwa bila kuliibia Taifa na kujenga maghorofa ya kwao na watoto wao na wengine wamewajengea hadi wajukuu wao ambao bado hawajazaliwa,hakika wewe ni Kiongozi makini na msikivu,Ahsante Mh Rais kwa kuwapa Watumishi zawadi ya Mwaka Mpya,Mungu mbariki Rais wetu ,John Magufuli,Mungu ibariki Tanzania.

Nikiishia hapa,Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga.
Dar es Salaam.
Tunawashukuru Wapinzani nia ya CCM haikuwa nzuri toka Bungeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimpongeze Mh. Rais kwa maamuzi yake ya kipindi cha mpito ili kupisha utafiti zaidi na kuwa na maamuzi yatakayokuwa na Tina kwa pande zote. Ni kweli wafanyakazi awmelia sana na kikokotoo kipya na ili una sana moyo. Ila kwa maamuzi haya inatia moyo.
Ni kweli sheria inaweza kupitishwa na Mh. akaisaini lakini pale anapogundua kuwa in Aleta shida katika utekelezaji wake bado nafasi yake ameitumia vizuri kubadilisha / kusitisha ili uchunguzi zaidi ufanyike. HONGERA MH. RAIS KWA MAAMUZI YA KIUME ULIYOYAFANYA. CHAPA KAZI KUINUA WANYONYE WATANZANIA NA TAIFA KWA UJUMLA.
BWANA AZIDI KUKUBARIKI NA KUKUTUMIA. HIZI KELELE ZA CHURA ZISIKUTISHE. HAPA KAZI TU.
 
wanyonye watanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom