Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
Mtafutieni Jani moja safi, na zito alibangue atulize akili na shinikizo la kusikia walio chini yake wanatoana roho!
Thursday, October 08, 2009
"The Government of Tanzania has introduced reforms, which resulted in economic growth of five to seven per cent prior to the global recession," said Vaz, adding that Jamaica was also considering reforms with similar objectives.
Rais amebakiza mwaka mmoja tu amalize kipindi chake. Ajiulize kama maisha bora yamepatikana kwa watanzania ndo aendeleze safari za nje?
Correction please.Amebakiza six years kwa mujibu wa katiba.
Rais JK ameondoka nchini kwenda Jamaica kwa ziara ya siku 4
Afadhali hata kanapaa kidogokidogo maana kakindelea kukaa pale airport kanatia hasirakhaaaa, kumbe kale kandege ketu kapo!!, hahahaaaaaa si nchezo kanapuyanga tu, leo jamaica kwenye ndizi, kesho ghana kwenye gahawa, keshokutwa malysia kwenye ubwabwa hhehehehehe.