Rais Kikwete's visit to Jamaica

Gwagwan bway Mr President. If You see da Police warn a brother. Welcome to Jamaica.
 
,mbona sijasikia akienda visiwa vya ngazija
Ngazija ni sehemu ya COMORO alienda mwanzoni mwa mwaka huu mbona, umesahau mpaka walimpa sijui zawadi iliyotukuka au nishani kwa msaada aliotoa kuikomboa ngazija, Nenda kwenye jamii Photo utaioona hiyi maneno
 
,Kikwete akatwambia tusiharibu hela kwenda kwa vinyozi just rasta inatosha kubana matumizi !
Mwaka jana nilipata nafasi ya kwenda mapumziko Jamaica, katika vitu nilivyoshangaa ni kuwa jamii ya watu wenye rasta ni ndogo sana ukifananisha na watanzania wengi tunavyoamini, Pia huwezi amini kuwa Bangi ni illega huko Jamaica. Nilikaa wiki tatu nilizunguka sehemu kubwa ya jamaica, mitaani wameweka watu maalumu wa kusaidia wageni na watalii msiibiwe, lakini shida ni Kipatwa (lugha wanayoongea, ile ya Shaba Ranks) kilinipa tabu si kidogo.
 
Unatata miche ya "MARIJUANA"!!! Au sijkuelewa vizuri???
Ndio miche bora inapatikana huko na wanalima na inaota hata ndani ya maji ,pengine akirudi nae ataligalaizi hiyo kitu ,si unajua mapolisi wetu hawana kazi zaidi ya kusaka wenye vipisi afu wanapakazia wamekukamata na gunia zima. Mkuu akirudi huko lazima atakuwa amepata idea ni vipi Serikali ya Jamaica imeachia huru ulimaji na utumiaji na hakuna matatizo.Natumai itasaidia kuweka magereza yetu kuwa matupu.
 
na..achukue..siku..zake..za..likizo..aseme..wazi..anaenda..kupumzika
 
Hivi Chief of Staff wake ni nani?? Maana inabidi tuanzie hapo kufukuza kazi... na nilishasema before, idara nzima ya itifaki nayo out....

Mheshimiwa wiki iliyopita tu alizimika sababu ya 'uchovu' within 40 days anafanya safari ya zaidi ya masaa 20....

Mie siku nitakapopata nafasi ya kumuuliza swali mkuu, nitauliza hivi.... "Muheshimiwa Rais, tokea ulipoingia madarakani, umefanya safari za nje ya nchi nyingi sana, unaweza kutuorodheshea mafanikio yaonekanayo ambayo yamepatikana kutokana na safari hizo?"

Labda anataka kushindana na Obama, maana Obama kampiku G.H.Bush juzi tu alipokwenda Denmark katika historia ya mwaka wa kwanza wa Rais wa nchi.

Keep it up my Prezidaaaa.....You are making me Proud...:cool:
 
Kwa nini asizurure wakati anapata photo ops kama hizi....Wakenya walilia faulo hapa bwana......You go Mr. Prezidaaaa
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=JPE6B2pBBAk[/ame]
 
Daima mtembezi hula miguu yake atii!

Ni sawa, lakini hasije akatuletea miiba ambayo itabidi sisi wananchi tubebe jukumu la kitoa. misaada mingi inatufanya tukubaliane na wawekezaji wasio na sifa za uwekezaji - Richmond,TRL,Loliondo,Madini nk.
 
Hivi Chief of Staff wake ni nani?? Maana inabidi tuanzie hapo kufukuza kazi... na nilishasema before, idara nzima ya itifaki nayo out....

Mheshimiwa wiki iliyopita tu alizimika sababu ya 'uchovu' within 40 days anafanya safari ya zaidi ya masaa 20....

Mie siku nitakapopata nafasi ya kumuuliza swali mkuu, nitauliza hivi.... "Muheshimiwa Rais, tokea ulipoingia madarakani, umefanya safari za nje ya nchi nyingi sana, unaweza kutuorodheshea mafanikio yaonekanayo ambayo yamepatikana kutokana na safari hizo?"

Labda anataka kushindana na Obama, maana Obama kampiku G.H.Bush juzi tu alipokwenda Denmark katika historia ya mwaka wa kwanza wa Rais wa nchi.

Keep it up my Prezidaaaa.....You are making me Proud...:cool:

Hapana! tambueni Rais ni Mgonjwa, kila mara maekuwa akienda nchi za nje siyo kwa ajili ya nini bali kuangalia uwezekano wa kupata tiba. Hebu angalia Taarifa ya Dkt Mfisi ametaja kwa uchache vipimo vya ke vimechukuliwa toka nchi mbalimbali.

Sasa Jamaica inasifika kwa kuwa na Madaktari Bingwa sawa na Cuba, nadhani alitaka kwenda Cuba lakini kwa kuogopa kuharibu mahusiano na Obama ameamua kwenda jamaicha.

Hii ni safari katika mfululizo wa safari zake za kuendelea kutafuita tiba ya Ugonjwa wake ambao sijui (Ni ule tulioelezwa na Dk Mfisi, wa shingo ambao alidai ulikuwa unamsumbua toka utoto) ama mwingine, lakini muhimu ni kutafuta tiba tu.
 
Hofy yangu asije akarudi akatuangikia tena na kujitetea kuwa ni sababu ya jet lag.Rais gani huyu kila siku yuko safarini?
 
Mwaacheni aende tu mnashangaa nini kwa Mtalii huyu?Akimaliza aende Barbados na Papua New Guinea
 
Mwaacheni aende tu mnashangaa nini kwa Mtalii huyu?Akimaliza aende Barbados na Papua New Guinea
haya tutaona mengi katika safari hiyo.....au tunatafuta soko la zao lile la TARIME ? maana nasikia huko linasoko kubwa sana, majani huuzwa barabarani na ardhi yao nasikia haistawishi majani kama TARIME.
 
Back
Top Bottom