Rais Kikwete ulimwelewa Dk. Slaa?

Rais Kikwete ulimwelewa Dk. Slaa?

kwa wewe na wenzenu msio na akili na ambao mnashindia viroba ndio mtakaomuona SLAA kuwa sio wa mtaani. ila sisi wengine tunamuona ni mjinga tu wa mtaani na ndio maana anaishia kuwa mzinzi na ana promote uzinzi hadharani. kuhusu kauli yake ya eti''mtoto wa kigogo amekamatwa china na shehena ya drugs''' hilo litaaminiwa nwa wanywa gongo kama wewe kwa sababu wakati wa uchaguzi wa 2010 alitutangazia kuwa kuna CONTAINER LA KURA BANDIA LINATAKA KUVUSHWA MPAKANI TUNDUMA-MBEYA.
wajinga mlitoa macho na kushupaa lakini wenye akili zetu tulijua ni usanii wa kijinga na ikaja ikathibitika hivyo.
kwa mwenye akili na mjuzi(sio mzushi kama wewe na babu slaa),mtandao wa wasafirishaji(punda),waagizaji,wasambazaji na watumiaji.... kwa namna yoyote hauwezi kumfanya ridhiwani(kama kweli angekuwa anafanya hiyo biashara) akawa ni msafirishaji(punda) mpaka afikie mahali pa kukamatwa. yeye ni wazi angekuwa katika rank ya waagizaji.
ila sina haja ya kuwaelewesha kwa maana ujinga upo deep within you na ndio maana tunawadharau,tunawapuuza, na tuko dodoma tunawatungia katiba ambayo itawainamisha for the next 50 years
Notredamme,
Una akili sana!
 
JK ni mtu asiyejitambua hivyo msipate shida na huyo mtu

ukiona mtu anajibu swali kwa gadhabu na hasira ujue kunakaukweli fulani, baati mbaya bado ajajibu swali, tunachochea kuni mbichi tukisubiri majibu.
 
Tumkumbushe rais wetu aliyetambua taasisi ya urais alipobakiza mwaka mmoja

Kikwete ameigeuza CCM kampuni binafsi

MWANZONI kabla hajaingia kwenye nafasi ya juu ya uongozi wa nchi na hatimaye chama tawala (CCM), Jakaya Mrisho Kikwete, alionekana anaweza kuvivaa viatu vya Mwalim Julius Kambarage Nyerere!

Hii haikuwa, Jakaya Mrisho Kikwete amekuwa mbali na falsafa ya ujenzi wa jamii ya watu walio sawa na huru; badala yake ameifanya CCM kuwa kama kampuni binafsi.

Kabla ya mfumo wa siasa ya demokrasia ya vyama vingi Tanzania ilikuwa nchi ya chama kimoja cha siasa – CCM. CCM, kama chama, chama siasa kilivimeza vyama vya TANU na ASP vyama ambavyo vilishiriki katika kuleta sura ya uhuru wa mwanzo wa nchi za Tanganyika (1961) na Zanzibar (1964).

Waliyeasisi TANU na ASP walikuwa na lengo la kuifanya siasa itumikie wananchi kwa maendeleo yao ili kwa siasa “safi” na uongozi “bora” waondokane na aina zote za uonevu, unyonyaji, na kupuuzwa kulikotokana na unyonge wa Mwafrika (kama ilivyoainishwa kwenye Azimio la Arusha).

Dhamira ya CCM ilikuwa kuendeleza mapinduzi ya kufuta unyonge wa Mwafrika wa Tanzania! Na ndiyo maana, Mwalimu Nyerere aliasisi “Ujamaa na Kujitegemea” kama falsafa na njia ya kujenga jamii ya watu waliyo sawa na huru kwa kutumia chama kinachowakilisha matakwa ya wakulima na wafanyakazi wazalendo.

Kwa kipindi chote cha uhai wa muasisi wa “Siasa ya Ujamaa wa Tanzania”, Mwalimu Julius K. Nyerere, muelekeo wa siasa na uchumi uliyoongozwa na chama (CCM) ulikuwa kwa manufaa ya wananchi wa Tanzania na si maslahi ya watu wachache wenye ubinafsi. Hata hivyo, hali ya siasa iliendelea kubadilika kidogokidogo hadi pale uongozi wa Awamu ya Pili (chini ya uenyekiti wa CCM wa Mzee Ali Hassan Mwinyi) ulipolitelekeza Azimio la Arusha na badala yake kuliasisi na hatimaye kuliweka Azimio la Zanzibar, 1992.

Pamoja na msukumo wa Azimio la Zanzibar (1992) na hatimaye kuanza kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi (tazama Ibara ya 3(1), Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 (2005)) sanjari na sera hiyo mpya ya CCM juu ya kuendesha siasa, uchumi na jamii; CCM iliendelea kujiweka kwenye mazingira ya mabadiliko ya kimfumo na kuchukuwa sura tofauti na ile iliyoasisi vuguvugu la “Ujamaa na Kujitegemea” ambalo ndilo msingi wa siasa ya Tanzania kwa mujibu wa Ibara ya 9 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 (2005).

Uongozi wa CCM uliendelea kurithi “viatu” vilivyokuwa vya Mwalimu Nyerere awamu baada ya awamu hadi ilipofika Awamu ya Tatu – awamu iliyoshuhudia kupanuka kwa demokrasia ya uwazi na ukweli huku kukiwa na “usiri” mkubwa wa uendeshaji wa shughuli za Serikali uliyopelekea kuibuka kwa kundi “hatari” la wafanyabiashara na wajasiriamali wa kisiasa waliyeamua kuwekeza kwenye siasa, huu ulikuwa mwanzo wa CCM kuvamiwa na “mtandao wa wafanyabiashara mafisadi”.

Benjamin William Mkapa, Rais wa Awamu ya Tatu ndiye aliyeshuhudia “kifo” cha Mwalimu Julius K. Nyerere na hatimaye kuahidi na kuapa kufuata nyayo za muasisi huyo wa CCM aliyechukia uonevu, unyonyaji na kupuuzwa kulikotokana na unyonge wa Mwafrika.

Hata hivyo, kadri siku zilivyokuwa zinakatika hata miaka mitano ya mwisho ya urais wa Benjamin William Mkapa sehemu kubwa ya athari za CCM kuwa chama kinachowakilisha maslahi ya wakulima na wafanyakazi ilianza kutoweka na kuchukuwa muelekeo wa kuwatumikia watu wachache wenye maslahi ya kibinafsi mwanzo wa ufisadi wa kimfumo na ujambazi wa kiserikali.

Kwa kutambua matumizi ya fedha na rushwa ya uchaguzi kwenye mchakato wa kuingia Ikulu, jambo lililokemewa sana na Mwalimu Nyerere (rejea Hotuba ya Mei Mosi, 1995 aliyoitoa Uwanja wa Sokoine – Mbeya), Jakaya Mrisho Kikwete aliunda “Mtandao wa Ushindi” uliyotumika kuhakikisha anapata nafasi ya kuwa mgombea wa urais wa CCM na hatimaye Rais wa Tanzania!

CCM ilianza kuchukua sura ya kuwa “kampuni” ambapo wafanyabiashra mtandao waliyopewa nafasi kwenye ubinafsishaji, ambao Mwalimu Nyerere aliuita “unyang’anyi”, walipoanza kuchukuwa nafasi muhimu za kutawala siasa, uchumi na jamii.

Wafanyabiashara matajiri, hususan wenye
 
Sasa bos tumeelimika kwa upumbavu km huu? Au na ww familia ya kilimo kwanza mla kodi zetu haya maisha tu yanatuhusu sana sisi wa mtaa ndo maana tunahoji
 
Mimi sikuwahi kuamini kwamba huyu mgeni kutoka Msoga alifanya kitu cha namna hii, nilichukulia ni bahati mbaya tu kutokana na mikosi yake watu kudhania kwamba alifanya kitu cha namna hiyo.

Lakini kutokana na majibu yake, sasa naamini kwamba yeye na mtoto wake walifanya kitu cha namna hii, uchafu hauwezi kukuangukia alafu uupuze badala ya kujisafisha, anaogopa akijisafisha atajichuna na ngozi.

Nilikuwa Sipendi Kumdharau Huyu Mtu ILA Kwa Kitendo hiki Naanza Kumdharau Leo hadi Maisha Yake Ya Kustaafu! Hivi Inaingia Akilini Kweli Tukio Lenye Muda Wa Mwaka Mmoja na Nusu Kama Siyo Miwili Linakuja Kujibiwa Leo? Na Tena Kienyeji enyeji tu? Hivi Kurugenzi Ya Mawasiliano ya Magogoni Inajua Vizuri Communication Strategies? Inajua Madhara Ya Spiral of Silence Theory Haswa Kwa Suala Very Sensitive Kama Hili? Hivi Shule Huwa Tunakwenda Kufanya Nini? au Ni Kutoka Tu Na Vyeti vya First, Upper na Lower Second Na Pass ( Gentleman )? Lakini ktk Application Ya Tulivyovisoma Tunashindwa Kuvifanya? Shame On You Watu wa Jumba Jeupe Magogoni Na Sasa Nimegundua Kuwa Yawezekana Nyie Pamoja Na Wasaidizi wa ------ Ndiyo Mnayoiangusha Nchi hii Kwa Unafiki na Upotoshaji Wenu Kwake. Katika Maisha Yangu Sijawahi Kuona Head of State Mwenye Very Poor Advisory Team Kama Huyu Wa Sasa ILA Na Yeye Pia Namlaumu Kwanini Hafanyi Self Assessment Yake, Anayoambiwa Na Hali Halisi Iliyopo on the Ground? I am Very Dissapointed to be Sincere!
 
Kazi ya kukurupuka kujibu hoja za kipuuzi ni ya Babu mpora wake za watu na Mr. Zero a.k.a Mkuu wa misukule na si kazi ya kiongozi mwadilifu na makini kam Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Rais ana mambo mengi muhimu ya kuwatumikia watanzania!. Halafu wewe Makene mbona hujitambui!?. Hujui huyo Sinaraha unayemtolea jasho kila siku anakutumia tu kama k'ndom?
 
kwa wewe na wenzenu msio na akili na ambao mnashindia viroba ndio mtakaomuona SLAA kuwa sio wa mtaani. ila sisi wengine tunamuona ni mjinga tu wa mtaani na ndio maana anaishia kuwa mzinzi na ana promote uzinzi hadharani. kuhusu kauli yake ya eti''mtoto wa kigogo amekamatwa china na shehena ya drugs''' hilo litaaminiwa nwa wanywa gongo kama wewe kwa sababu wakati wa uchaguzi wa 2010 alitutangazia kuwa kuna CONTAINER LA KURA BANDIA LINATAKA KUVUSHWA MPAKANI TUNDUMA-MBEYA.
wajinga mlitoa macho na kushupaa lakini wenye akili zetu tulijua ni usanii wa kijinga na ikaja ikathibitika hivyo.
kwa mwenye akili na mjuzi(sio mzushi kama wewe na babu slaa),mtandao wa wasafirishaji(punda),waagizaji,wasambazaji na watumiaji.... kwa namna yoyote hauwezi kumfanya ridhiwani(kama kweli angekuwa anafanya hiyo biashara) akawa ni msafirishaji(punda) mpaka afikie mahali pa kukamatwa. yeye ni wazi angekuwa katika rank ya waagizaji.
ila sina haja ya kuwaelewesha kwa maana ujinga upo deep within you na ndio maana tunawadharau,tunawapuuza, na tuko dodoma tunawatungia katiba ambayo itawainamisha for the next 50 years

kwa wewe na wenzenu msio na akili na ambao mnashindia viroba ndio mtakaomuona SLAA kuwa sio wa mtaani. ila sisi wengine tunamuona ni mjinga tu wa mtaani na ndio maana anaishia kuwa mzinzi na ana promote uzinzi hadharani. kuhusu kauli yake ya eti''mtoto wa kigogo amekamatwa china na shehena ya drugs''' hilo litaaminiwa nwa wanywa gongo kama wewe kwa sababu wakati wa uchaguzi wa 2010 alitutangazia kuwa kuna CONTAINER LA KURA BANDIA LINATAKA KUVUSHWA MPAKANI TUNDUMA-MBEYA.
wajinga mlitoa macho na kushupaa lakini wenye akili zetu tulijua ni usanii wa kijinga na ikaja ikathibitika hivyo.
kwa mwenye akili na mjuzi(sio mzushi kama wewe na babu slaa),mtandao wa wasafirishaji(punda),waagizaji,wasambazaji na watumiaji.... kwa namna yoyote hauwezi kumfanya ridhiwani(kama kweli angekuwa anafanya hiyo biashara) akawa ni msafirishaji(punda) mpaka afikie mahali pa kukamatwa. yeye ni wazi angekuwa katika rank ya waagizaji.
ila sina haja ya kuwaelewesha kwa maana ujinga upo deep within you na ndio maana tunawadharau,tunawapuuza, na tuko dodoma tunawatungia katiba ambayo itawainamisha for the next 50 years

Ok wazee wa kazi aisifuye mvua humnyea mbona mtatawala milele ila kumbukeni hakuna marefu yasiyo na ncha na ngoma ikivuma sana?
 
nimeshangazwa na maelezo ya dr.dr.dr jakaya mrisho kikwete, kwani wakati wa kampeni alisema , naomba ninukuu.."Urais ni wa kwake na familia yake" sasa ni lini alifahamu kuwa Urais ni taasisi? au anafikiri hatukumsikia na kumuelewa? kweli rais wetu ni mwepesi kuongea na rahisi kusahau alichoongea.

Mkuu Tetty wahenga wanasema ukiwa muongo usiwe msahaulifu! Hawa jamaa wanataka kuiga nyayo za kifimbo ila walipobugi ni kwamba yeye aliwaongoza watu wengi wasio na elimu na sasa wengi wamesoma hvyo inakuwa vgumu kutawala coz hawasom bali wanatumia uzoefu tu ndo maana ukiwapa vipengele wanabutwaa na kuanza ropoka hovyo hii nyundo imegonga utosi watashaa bado kidogo
 
Tumkumbushe rais wetu aliyetambua taasisi ya urais alipobakiza mwaka mmoja

Kikwete ameigeuza CCM kampuni binafsi

MWANZONI kabla hajaingia kwenye nafasi ya juu ya uongozi wa nchi na hatimaye chama tawala (CCM), Jakaya Mrisho Kikwete, alionekana anaweza kuvivaa viatu vya Mwalim Julius Kambarage Nyerere!

Hii haikuwa, Jakaya Mrisho Kikwete amekuwa mbali na falsafa ya ujenzi wa jamii ya watu walio sawa na huru; badala yake ameifanya CCM kuwa kama kampuni binafsi.

Kabla ya mfumo wa siasa ya demokrasia ya vyama vingi Tanzania ilikuwa nchi ya chama kimoja cha siasa – CCM. CCM, kama chama, chama siasa kilivimeza vyama vya TANU na ASP vyama ambavyo vilishiriki katika kuleta sura ya uhuru wa mwanzo wa nchi za Tanganyika (1961) na Zanzibar (1964).

Waliyeasisi TANU na ASP walikuwa na lengo la kuifanya siasa itumikie wananchi kwa maendeleo yao ili kwa siasa “safi” na uongozi “bora” waondokane na aina zote za uonevu, unyonyaji, na kupuuzwa kulikotokana na unyonge wa Mwafrika (kama ilivyoainishwa kwenye Azimio la Arusha).

Dhamira ya CCM ilikuwa kuendeleza mapinduzi ya kufuta unyonge wa Mwafrika wa Tanzania! Na ndiyo maana, Mwalimu Nyerere aliasisi “Ujamaa na Kujitegemea” kama falsafa na njia ya kujenga jamii ya watu waliyo sawa na huru kwa kutumia chama kinachowakilisha matakwa ya wakulima na wafanyakazi wazalendo.

Kwa kipindi chote cha uhai wa muasisi wa “Siasa ya Ujamaa wa Tanzania”, Mwalimu Julius K. Nyerere, muelekeo wa siasa na uchumi uliyoongozwa na chama (CCM) ulikuwa kwa manufaa ya wananchi wa Tanzania na si maslahi ya watu wachache wenye ubinafsi. Hata hivyo, hali ya siasa iliendelea kubadilika kidogokidogo hadi pale uongozi wa Awamu ya Pili (chini ya uenyekiti wa CCM wa Mzee Ali Hassan Mwinyi) ulipolitelekeza Azimio la Arusha na badala yake kuliasisi na hatimaye kuliweka Azimio la Zanzibar, 1992.

Pamoja na msukumo wa Azimio la Zanzibar (1992) na hatimaye kuanza kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi (tazama Ibara ya 3(1), Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 (2005)) sanjari na sera hiyo mpya ya CCM juu ya kuendesha siasa, uchumi na jamii; CCM iliendelea kujiweka kwenye mazingira ya mabadiliko ya kimfumo na kuchukuwa sura tofauti na ile iliyoasisi vuguvugu la “Ujamaa na Kujitegemea” ambalo ndilo msingi wa siasa ya Tanzania kwa mujibu wa Ibara ya 9 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 (2005).

Uongozi wa CCM uliendelea kurithi “viatu” vilivyokuwa vya Mwalimu Nyerere awamu baada ya awamu hadi ilipofika Awamu ya Tatu – awamu iliyoshuhudia kupanuka kwa demokrasia ya uwazi na ukweli huku kukiwa na “usiri” mkubwa wa uendeshaji wa shughuli za Serikali uliyopelekea kuibuka kwa kundi “hatari” la wafanyabiashara na wajasiriamali wa kisiasa waliyeamua kuwekeza kwenye siasa, huu ulikuwa mwanzo wa CCM kuvamiwa na “mtandao wa wafanyabiashara mafisadi”.

Benjamin William Mkapa, Rais wa Awamu ya Tatu ndiye aliyeshuhudia “kifo” cha Mwalimu Julius K. Nyerere na hatimaye kuahidi na kuapa kufuata nyayo za muasisi huyo wa CCM aliyechukia uonevu, unyonyaji na kupuuzwa kulikotokana na unyonge wa Mwafrika.

Hata hivyo, kadri siku zilivyokuwa zinakatika hata miaka mitano ya mwisho ya urais wa Benjamin William Mkapa sehemu kubwa ya athari za CCM kuwa chama kinachowakilisha maslahi ya wakulima na wafanyakazi ilianza kutoweka na kuchukuwa muelekeo wa kuwatumikia watu wachache wenye maslahi ya kibinafsi mwanzo wa ufisadi wa kimfumo na ujambazi wa kiserikali.

Kwa kutambua matumizi ya fedha na rushwa ya uchaguzi kwenye mchakato wa kuingia Ikulu, jambo lililokemewa sana na Mwalimu Nyerere (rejea Hotuba ya Mei Mosi, 1995 aliyoitoa Uwanja wa Sokoine – Mbeya), Jakaya Mrisho Kikwete aliunda “Mtandao wa Ushindi” uliyotumika kuhakikisha anapata nafasi ya kuwa mgombea wa urais wa CCM na hatimaye Rais wa Tanzania!

CCM ilianza kuchukua sura ya kuwa “kampuni” ambapo wafanyabiashra mtandao waliyopewa nafasi kwenye ubinafsishaji, ambao Mwalimu Nyerere aliuita “unyang’anyi”, walipoanza kuchukuwa nafasi muhimu za kutawala siasa, uchumi na jamii.

Wafanyabiashara matajiri, hususan wenye

Mkuu segàngwa akili mingi sana waache wazani hatuna akili muogope mkimya akicharuka ni shida..
 
Kumbe watanzania ni watu wa "mtaani" kweli ni balaa, ila mungu yupo hawa hawa watu wa mtaani wanalipakodi tunasafiri kwnda marekani sie watu wa ccm na serikari yetu. Ipo siku watu wamtaani watachoka na mtajua ni akina nani
 
Wewe unaleta uchambuzi wa fasihi hapa.muelewe kikwete kasema hana muda huo wa kubishana na wapuuzi kama slaa kwa maneno ya kutungwa na yasiyo ya kwel.kikwete haimbi taarabu mzee yupo kwa ajir ya taifa sasa slaa alikuwa anatafuta kick tu akijua atatengeneza debate.ndo maana sasa kaungana na ukawa wenzake kutafuta kick tena kwa kususia bunge kumbe wananch sasahiv wameelimika na kuona hawa watu sio kabisa

kikwete ndio wakutafutia kiki?
Kibaki tu,kaingia juzi lkn hata wazungu wanasema ni kiongozi bora,huyu ndugu yetu pmj na kukesha kutwa angan kwenda ughaibuni hata hawajadili.
Ndio maana siku hizi anapokelewa na vibalozi vyetu tu,wazungu wamechoka
 
Tatizo la mzee wetu huwa kuna kipindi anajisahau na hii ni kutokana na kukaririshwa maneno ya kuongea.
 
Bila shaka Makene umekurupuka. Dr Kikwete alijibu kwa mujibu wa swali aliloulizwa. Mtahangaika sana na JK lakini ndo hivyo siku zinayoyoma

Kwa hiyo ulikosea tena 2010? Kwa mtu mwenye akili atasema kuwa hukukosea

Mkuu, hivi hujui kuwa CHADEMA ni chama cha matukio?

Kweli kabisa Mkuu. Wanajidanganya sana hawa

Mtaangaika sana kuja na ID tofauti kutetea upuuzi.
 
Back
Top Bottom