Rais Kikwete ulimwelewa Dk. Slaa?

Rais Kikwete ulimwelewa Dk. Slaa?

Tumaini Makene,

Wewe ni mmoja wa wafanyakazi wa kiwanda cha uongo.

Hivi hako kadaktari ka kanoni kana hadhi ya kueleweka na Kikwete? chenyewe hakajielewi.
 
Last edited by a moderator:
kwa wewe na wenzenu msio na akili na ambao mnashindia viroba ndio mtakaomuona SLAA kuwa sio wa mtaani. ila sisi wengine tunamuona ni mjinga tu wa mtaani na ndio maana anaishia kuwa mzinzi na ana promote uzinzi hadharani. kuhusu kauli yake ya eti''mtoto wa kigogo amekamatwa china na shehena ya drugs''' hilo litaaminiwa nwa wanywa gongo kama wewe kwa sababu wakati wa uchaguzi wa 2010 alitutangazia kuwa kuna CONTAINER LA KURA BANDIA LINATAKA KUVUSHWA MPAKANI TUNDUMA-MBEYA. wajinga mlitoa macho na kushupaa lakini wenye akili zetu tulijua ni usanii wa kijinga na ikaja ikathibitika hivyo. kwa mwenye akili na mjuzi(sio mzushi kama wewe na babu slaa),mtandao wa wasafirishaji(punda),waagizaji,wasambazaji na watumiaji.... kwa namna yoyote hauwezi kumfanya ridhiwani(kama kweli angekuwa anafanya hiyo biashara) akawa ni msafirishaji(punda) mpaka afikie mahali pa kukamatwa. yeye ni wazi angekuwa katika rank ya waagizaji. ila sina haja ya kuwaelewesha kwa maana ujinga upo deep within you na ndio maana tunawadharau,tunawapuuza, na tuko dodoma tunawatungia katiba ambayo itawainamisha for the next 50 years
Duh..hii nchi ina shida kubwa .Tunahitaji dictator kuleta nidhamu na mpangilio.
 
Tumaini Makene, Wewe ni mmoja wa wafanyakazi wa kiwanda cha uongo. Hivi hako kadaktari ka kanoni kana hadhi ya kueleweka na Kikwete? chenyewe hakajielewi.
Faiza Foxy:Huwezi kuwa tofauti sana na asili yako.Huwezi jua tofauti ya destruction na construction, mmekuwa na kujenga ktk misingi ya confussion ,lies na irresponsibility.JK haoni mbali sana na wala hana sense ya responsibility kitaifa na hata kwa watu anaodhani kuwa nawaokoa kumbe anwaangamiza.Ni bora hii nchi ingejiendesha yenyewe wawangekuwa na hakika na vitu wanavyofanya na kujifunza wangekuwa wanafanya vitu kwa uangalifu na umakini.JK ni naive sana.Na ni coincidence na jinsi jamii yetu ilivyo mixed ndio maana judgement yake inakuwa ngumu sana kwa watu wengi na wanaoweza wanakuwa na shida kuwashawishi watu. CCM si mara ya kwanza kuwapa watu majina mabaya na JK akiwa kinara ila hamjawahiw ajibishwa kwa hilo.Hivi Dr.Slaa akawa wa Mitaani na machokoraa ,au wale waswahili wanaolala km mbwa vibarazani na kuishi kwa gahawa wataitwa nani?Ninakuhakikishia JK anabebwa na econimic booms na plan za kimataifa ktk mambo fulani kwa kiasi cha kudangnya umma kuwa kafanya mabadiliko.Wenzetu wanashinda na china na wana mipango ya kuweka umeme, na miundo mbinu mingine km barabara ili kuwekza jenga misingi ya wao kuwekeza kwa mafanikio.NI kupitia matukio km haya na ganzi ya akili iliyowakumba watanzania kwa viapo vibaya.CCM inasurvive.ILa hii inatosha kuwapumbaza jamii km zenu.Days are comming Hata Bima,pesion wenzetu wanaweza zifanya za kimataifa ,kupitia mitandao, hizi dili dili na mipangilio mibovu ya jamii zilizoharibiwa na ukichaa wa CCM na uongozi wake.Mtazalisha sana wauza unga,wauza baa,malaya, mashoga..wapiga debe wa hao jamaa.... na si vinginevyo.Unapobeba jamii huku ukiidanganya kuwa kisicho haki yao ni haki yao,na kwamba ni zamu yao ya kula bila kuwaambia pia ni zamu yao kufanya kazi.Jamii inayomlinda kufa kupona kwa minajili ya dini hata asipowajibika,naona mmeamu mchagua JK ova mkapa.Kuna mengi nawaambia mnalimbikiziwa ila huu uongozi ukitoka vitakuwa drained km puto likiondolewa hewa.Watabaki akina Manji na Bakhresa etc .Kwa vile wanafanya na watu wenye taaluma na weledi wa kuwasukumia maendeleo yao ,na si wa kundi lenu.Bado mtapewa sababu kuwa utawala uliopo ndio umewarudisha nyuma na si udhaifu wa jamii zenu.
 
Last edited by a moderator:
Ukiona nguvu nyingi zinatumika kupinga tukio fulani; msikilizaji unatakiwa ufikirie zaidi ya kufikiria!
Kwa Mbumbumbu asiyejua Dunia inakwendae km Tumaini Makene na Dr wake ndio anaaweza kung'ang'ani vitu vya kipuuzi
km uliipitia Jiografia ya Shule za Msingi huwezi toka Dar (TZ) hadi Ghuanzong China (Masaa 18 ulikabili jua na hakujakucha) na Rais Ging Tao atoke Beijing kwa usiku huohuo mmoja na kumaloza shughulizote)
Halafu sio lazima Rais amjibu Dr anayezusha kila kukicha mara Container la Kura
yaani Rais wetu hana shughuli mpaka aingii vijiweni kujibu Mwanasiasa???
kweli siku hawa jamaa wakiingia Madarakani ni bora nitanguie Mirembe kwa miguu
 
Last edited by a moderator:
Duh..hii nchi ina shida kubwa .Tunahitaji dictator kuleta nidhamu na mpangilio.
ndani ya Chama chenu MUUONDOE kwanza huo UDIKTETA, UKABILA na UDINI ndio muombe ridhaa ya utawala kaskazini tu ni Tanzania yote
 
Suala la Urais ni langu na familia yangu mwaka 2010. Mwaka 2014, Urais ni taasisi kubwa JK.
 
kwa wewe na wenzenu msio na akili na ambao mnashindia viroba ndio mtakaomuona SLAA kuwa sio wa mtaani. ila sisi wengine tunamuona ni mjinga tu wa mtaani na ndio maana anaishia kuwa mzinzi na ana promote uzinzi hadharani. kuhusu kauli yake ya eti''mtoto wa kigogo amekamatwa china na shehena ya drugs''' hilo litaaminiwa nwa wanywa gongo kama wewe kwa sababu wakati wa uchaguzi wa 2010 alitutangazia kuwa kuna CONTAINER LA KURA BANDIA LINATAKA KUVUSHWA MPAKANI TUNDUMA-MBEYA.
wajinga mlitoa macho na kushupaa lakini wenye akili zetu tulijua ni usanii wa kijinga na ikaja ikathibitika hivyo.
kwa mwenye akili na mjuzi(sio mzushi kama wewe na babu slaa),mtandao wa wasafirishaji(punda),waagizaji,wasambazaji na watumiaji.... kwa namna yoyote hauwezi kumfanya ridhiwani(kama kweli angekuwa anafanya hiyo biashara) akawa ni msafirishaji(punda) mpaka afikie mahali pa kukamatwa. yeye ni wazi angekuwa katika rank ya waagizaji.
ila sina haja ya kuwaelewesha kwa maana ujinga upo deep within you na ndio maana tunawadharau,tunawapuuza, na tuko dodoma tunawatungia katiba ambayo itawainamisha for the next 50 years

Du! hizi ndizo akili zinazotutungia katiba Dodoma?
 
.....yaani Rais wetu hana shughuli mpaka aingii vijiweni kujibu Mwanasiasa.....???

Yaani hapo tu ndo kila mtu anajiuliza; imekuaje aache shughuli zake nyeti na kuanza kujibizana na wanasiasa.....???
 
CHADEMA ni sikio la kufa
Vise Vesa. Hata KANU wakati inaanguka walikuwa wanaongea kama wewe. Wapi moi sasa? Ungemsikiliza aliyekuwa katibu wa bunge maalum la katiba la Kenya Patrick Lumumba Japo kidogo ungejifunza chochote. Any way CCM wana tabia ya kushupaa.
 
kujibishana na hoja za slaa ni upuuzi mtupu maana huwa hajijui anaongea nini ni sawa na kugombana na mwenda azimu nyote mnaonekana wendaazimu.slaa takriban kauli zake zote huzichukilia vijiweni bila kufanya utafiti huropokwa tu
 
leta updates za presconference yenu uliyotujuza hapa mitandaoni usitugeuze wala viroba kama wewe na babu yako.

wAZIWAZI JENGA HOJA KAZO ZENU ZIMEPONA SASA WABUNGE HAWAWI 70 TENA
 
Kazi ya kukurupuka kujibu hoja za kipuuzi ni ya Babu mpora wake za watu na Mr. Zero a.k.a Mkuu wa misukule na si kazi ya kiongozi mwadilifu na makini kam Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Rais ana mambo mengi muhimu ya kuwatumikia watanzania!. Halafu wewe Makene mbona hujitambui!?. Hujui huyo Sinaraha unayemtolea jasho kila siku anakutumia tu kama k'ndom?

kwa nini hutaki kujiheshimu wee komba?
 
Bila shaka Makene umekurupuka. Dr Kikwete alijibu kwa mujibu wa swali aliloulizwa. Mtahangaika sana na JK lakini ndo hivyo siku zinayoyoma

Ana u Dr gani huyo ebu msichafue cheo hicho tafadhali, kwanza hajui ata u Dr unapatikanje
 
Rais hawezi kujibu mkusanyika wa mawazo ya kipuuzi rais ana mambo mengi ya kuwatumikia wananchi wake, hayo anawachia nyie na Dr.Slaa.

Rais hawezi kujibu umbea , majungu na uzandiki ana kazi nyingi sana za kutatua matatizo ya wanchi
 
Kwani richmond ilikuwaje? alisema haijui wala hamjui mwenyenayo, baada ya muda rostam kaibuka na power of attorney
 
tatizo la watanzania,ukiwa na pesa wanakuchukia.wanasiasa wanamchukia mheshimiwa Rizzy,wasanii Diamond platinums,kuna wakati Rostam Aziz na Lowassa.MUNGU kawapa upajiri sababu wanasaidia wengine wasio na uwezo,tuwache majungu,tuendeleze nchi,vijana pigeni hela.Duniani hakuna mtoto wa rais awe ombaomba kama yupo mtajeni.by G
 
Mkuu Tetty wahenga wanasema ukiwa muongo usiwe msahaulifu! Hawa jamaa wanataka kuiga nyayo za kifimbo ila walipobugi ni kwamba yeye aliwaongoza watu wengi wasio na elimu na sasa wengi wamesoma hvyo inakuwa vgumu kutawala coz hawasom bali wanatumia uzoefu tu ndo maana ukiwapa vipengele wanabutwaa na kuanza ropoka hovyo hii nyundo imegonga utosi watashaa bado kidogo

Unadhani ni kwa sababu Nyerere aliongoza wajinga?Nitakukatalia Watanzania tuwereve ila tunakosa kufanya maamuzi magumu tupo waoga.Na pia Nyerere alikuwa muadilifu na ndiyo maana pamoja na UBINADAMU na UBAYA wake lakini kitu kikubwa alikuwa MUADILIFU na alilipenda sana TAIFA lake pamoja na watu wake.Leo ukienda CCM sidhani kama utapata hata kumi waadilifu.
 
Back
Top Bottom