Rais Kikwete safarini Marekani...

Rais Kikwete safarini Marekani...

Status
Not open for further replies.
tunaomba kujua gharama za safari .
Siyo hiyo tu zote 410 wasiishie kukanusha tu watupe na usahihi wa gharama alizotumia na ni kiasi gani nchi imefaidika kwa safari hizo ili tulinganishe. Siyo mtu unatumia 10,000 kwenda kuomba 5,000
 
Haya bwana..
Sijawahi kusikia kiongozi yeyote aliemaliza muda wake wa uongozi amekuja kuaga hapa.
 
safari hii ataonana pia na jumuiya ya watanzania wa north or south dakota
akitoka hapo kuna wa dmv, akitoka hapo wa mji wa majumba marefu chicago
then west coast seattle/oregon kwa wapemba then kwa vichaa austin texas ALABAMA,
Hesabu hapo zimebaki ngapi?
 
Huyu mzee ana stress jaman..Msameheni bure. Kila siku anaenda kuaga tu huku waalimu wanadai madai yao,afya hali mbaya. Kweli nchi haina raisi
 
tuchukue wastan wa siku 3 kwa kila safari najua kuna zingine amekaa siku nyingi na zingine chini ya siku 3
410*3= 1230 days kwa hyo ni wastani wa miaka mitatu msela anakula bata

1230/365= 3.3 years(jamaa yuko exile)

wastani wa gharama ya safari hapa ndo shida, hebu tupige Tsh 300mil per visit

300 * 410= 123billions hope to have underestimated the cost
 
tuchukue wastan wa siku 3 kwa kila safari najua kuna zingine amekaa siku nyingi na zingine chini ya siku 3
410*3= 1230 days kwa hyo ni wastani wa miaka mitatu msela anakula bata

1230/365= 3.3 years(jamaa yuko exile)

wastani wa gharama ya safari hapa ndo shida, hebu tupige Tsh 300mil per visit

300 * 410= 123billions hope to have underestimated the cost

Uko vizuri kwenye uchambuzi.Hali mbaya sana kwa nchi yetu. Kama raisi amatumia siku zote hizo kuzuzura unategemea maendeleo yawepo kweli? Tumechokaaaaa. Mabadiliko ni lazima
 
Tupunguze matumizi. Sasa hivi Mkoa moja inapelekewa OC ya shs.45,000,000 kwa mwezi badala ya Tshs.250,000,000 kama ilivyopangwa kwenye bajeti kwa mwezi. Kwa kweli hali inatisha. hakuna kazi inayofanyika kwenye ofisi zetu sasa hivi.

Mkoa gani huo umepelekewa OC ya TShs.45,000,000 badala ya 250,000,000??? Kwa mwaka gani wa fedha au ndo sindano zinakuingia?? Acha kuongea bila data.Wasije wakakushugulikia tukaanza kukuonea huruma au kukusahau
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom