Wapumbavu na malofa bhana,mkuu akisafiri kidogo tu mnalalamika.hamuoni wenzetu wenye akili wanaona sawa tu?.akisafiri sio kama huwa hakuna umuhimu la hasha! ila kuna umuhimu mkubwa.kwa mfano alipokuwa anaumwa malofa tulitegemea afanye nini wakati Tz hawajaweka misingi bora katika kuleta afya bora kama si kwenda duniani huko? pia wakati alipoenda kufanya exchange ya madini flani amaizing kwa nyavu za kuvulia samaki..aah net kwa ajili ya kuzuia malaria hamuoni kama malaria inapigwa vita hapo?,hapa bongo hakunaga fresh air time zingine so mnataka mkuu asipate wasaa wa kupata fresh air duniani huko?..mamvi kashaenda sana nje so itabidi atulie tu maana kwa wanavyomsemea afya yake anaweza akatosha kwa mabadiliko ya ndani ya nchi tu na sio kusafiri nje.Makufuli nadhani hajaenda safari nyingi so bora ashinde tumsapoti tuhakikishe anavunja record ya safari hizi nae ampishe mwingine.kidumu chama cha masafari.
kula yangu kwa kijani
ccm oyeeee