kamandawasua
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 326
- 86
Mheshimiwa anasafiriii. Mi naona apewe jina la MSAFIRI.
Mi zaidi ya hapo. Hiyo 410 (kama ni kweli) ni idadi ya safari. Na kila safari moja hutumia wastani wa siku kama 5 hivi. Kwa maana hiyo amekaa nje ya Tanzania kwa zaidi ya siku 2000...mwaka mmoja una siku 360.25 kwahiyo mheshimiwa ajalala nyumbani yapata mwaka na ushee daaaaaaaaaaaaah!!!!!!!!!"""""""!!!!
Mwaka mmoja una siku 365, hii mizinga ya kupiga mwaka mzima na miezi miwili ni balaa!Mizinga ya watu si itaisha sasa 21×410 = ????
Wao wakimaliza mihula yao huwa wanakuja kuaga?
Nchi chungu nzima zawakilishwa na mabalozi wao wa kudumu. Ila huyu wetu hajakosa tangu aingie, anaunganisha na shopping.
Haya mambo si mzaha, ukifiiria kuna mamilioni ya Watanzania walala kwenye giza! Safari ya 410 haingiliki akilini. Absolutely barmy.
Kama si ushamba sijui ni ugonjwa gani akili za kitoto ?. Maana sidhani hajali, ila kama mtoto anayemtesa paka. Hajui kujali ni nini.
Kwa hiyo trillion 4 bado inazidi kuongezeka!???
Baadae itabidi tupige mahesabu ya ni misaada (MIKOPO) kiasi gani ilipatikana kutokana na safari hii. Nikiangalia haraka haraka haiwezi kufikia hizi trilion nne alizotumia kuitafutia, na tukumbuke kwamba hii mikopo yote interests zake ni za kufa mtu!
Mzee upo kwenye ka-trip nn!?Ndugu umejawa na chuki binafsi,,,,
kwanza ungejaribu kufuatilia ukweli wa habari yenyewe
Halafu ungejaribu kujua uhalali wa hiyo safari..
Siyo hivo povu linaning'inia mdomoni.
Chuki chuki
Inauma sana jamaa yangu.. ukisikia mkwanja unaotumika kwenye ziara utapigwa na butwaa, ukija kuzidisha na 410 ndio unaweza kupata headache kabisa
Mikopo ndiyo inayofanya safari,kwani Tanzania tunazalisha nini??Na mikopo mingine ndiyo inayofanyiwa UBADHIRIFU,wamejijengea majumba..................
Ndiyo,hivi hujui huko hajulikani???Sasa inabidi aende akafanye promo.Na promo utafanyeje bila kwenda na kibuyu chake