Rais Kikwete safarini Marekani...

Rais Kikwete safarini Marekani...

Status
Not open for further replies.
Kama kawaida yake, wiki hii Rais kikwete anaelekea marekani kuaga.
Habari zinasema kwamba rais atakuwa huko kwa wiki moja, na atawaaga wakuu wa nchi katika mkutano wa umoja wa mataifa, UN.
Hii itakuwa safari ya 410 katika uongozi wakee!!.

Viongozi wa nchi karibu zote wanachama wa UN hukutana New York kwenye vikao vya UN kila September.
 
Wao wakimaliza mihula yao huwa wanakuja kuaga?

Unajua hawa mafisadi wa CCM wamegeuza umma wote wa tanzania kuwa kuwa na fikira za kifisadifisadi na mgando- yaani ukiona vitu ambavyo watanzania wana-support na ku-justify ufanyikaji wake unabaki mdomo wazi. Eti kuaga, kusudi iweje?
 
Hv ni lazima aende yeye?? Maajabu haya nchi nyingine wamewatuma mawaziri wadogo
 
Unajua hawa mafisadi wa CCM wamegeuza umma wote wa tanzania kuwa kuwa na fikira za kifisadifisadi na mgando- yaani ukiona vitu ambavyo watanzania wana-support na ku-justify ufanyikaji wake unabaki mdomo wazi. Eti kuaga, kusudi iweje?

Ndugu umejawa na chuki binafsi,,,,
kwanza ungejaribu kufuatilia ukweli wa habari yenyewe
Halafu ungejaribu kujua uhalali wa hiyo safari..

Siyo hivo povu linaning'inia mdomoni.

Chuki chuki
 
Unajua hawa mafisadi wa CCM wamegeuza umma wote wa tanzania kuwa kuwa na fikira za kifisadifisadi na mgando- yaani ukiona vitu ambavyo watanzania wana-support na ku-justify ufanyikaji wake unabaki mdomo wazi. Eti kuaga, kusudi iweje?

Ni kuendeleza hujuma tu kwa watawaliwa
 
Hii ndo tz ya mkulu. Vipaumbele ni safari tuu na kuteketeza fweza za hazina.
 
Kama kawaida yake, wiki hii Rais kikwete anaelekea marekani kuaga.
Habari zinasema kwamba rais atakuwa huko kwa wiki moja, na atawaaga wakuu wa nchi katika mkutano wa umoja wa mataifa, UN.
Hii itakuwa safari ya 410 katika uongozi wakee!!.

mwaka mmoja una siku 360.25 kwahiyo mheshimiwa ajalala nyumbani yapata mwaka na ushee daaaaaaaaaaaaah!!!!!!!!!"""""""!!!!
 
Sidhani kama rais wa marekani amesafiri zaidi ya siku 100 katika uongozu wake kwa aliyoongoza taifa lake
 
mwaka mmoja una siku 360.25 kwahiyo mheshimiwa ajalala nyumbani yapata mwaka na ushee daaaaaaaaaaaaah!!!!!!!!!"""""""!!!!

HAPANA si mwaka mmoja tu {umepunguza siku},
uelewe kila akisafir ukaa huko nje kwa wastani wa siku 5; hivyo idadi ya siku alizokaa = 5*409 unapata jumla ya siku 2045 ambapo ni takriban miaka 7 aliyokaa nje KWA KULIKIMBIA TAIFA LAKE.
Nipo tayar kusahihishwa.
 
Ha ha ha haaa,,,,Wallah huu uzi unanipasua kwa kicheko,watu wanaandika kwa kebehi ila ujumbe unafika,yaani nacheka sana...
Safar ya 410!!!halafu watu wasihoji???
 
HAPANA si mwaka mmoja tu {umepunguza siku},
uelewe kila akisafir ukaa huko nje kwa wastani wa siku 5; hivyo idadi ya siku alizokaa = 5*409 unapata jumla ya siku 2045 ambapo ni takriban miaka 7 aliyokaa nje KWA KULIKIMBIA TAIFA LAKE.
Nipo tayar kusahihishwa.

Du! Mkuu wewe ndio hesabu zako zinamwelekeo wa usahihi, lakini kuna mjumbe kasema kwenye 410 zimezidi.
 
Mkuu ile sio nchi ya wajinga, raisi hana mamlaka ya kujiamria tu ni lazima afuate protocal, kila anachofanya tayari kiko adressed tofauti na hizi nchini zenu ambazo raisi anaendesha nchi kma familia yake
 
mimi mwenyewe ndani ya tz yangu sijawah kusafiri mara 410 kwa 10years. Nikisafiri mkoani kwa mwaka ni mara3 ukipga miaka10 ni mara30 sasa huyu rais akaombe uraia tu huko aendako mana kitakwimu ndiye rais wa kwanza kusafiri mara nyingi duniani huku taifa lake likiwa bado lina umasikini uliokithiri.
 
Hivi aliwahi kumtembelea Ujerumani has mji wa Berlin? Kama jibu ni ndiyo aliziona barabara za mji huo? Kama jibu ni ndiyo, ilikuwaje ajenge barabara ya mabasi yaendayo kasi jijini Dar kwa staili ile?
 
Inauma sana jamaa yangu.. ukisikia mkwanja unaotumika kwenye ziara utapigwa na butwaa, ukija kuzidisha na 410 ndio unaweza kupata headache kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom