JERUSALEM, Israel
WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu hatahudhuria mazishi ya Hayati Nelson Mandela kwa sababu ni ghali mno kusafiri hadi nchini Afrika Kusini,
Kulingana na redio ya taifa la Israeli, waziri huyo itatumia kiasi cha 7.0 milioni shekels ambazo ni sawa na Sh170 milioni kusafiri nchini Afrika Kusini pamoja na walinzi wake
HAPA BONGO INAKUAJE KUHUSU SAFARI ZA WAKUU WETU UPAND EWA GHARAMA??
Kwani sasa hivi atugharimu wewe unajua tripu yake inatumia million ngapi?Jamani eeeh huyu ni Raisi wetu tuache atibiwe popote pale maana ikitokea shida itatigharimu sana kama Nchi
Mbona Dr.Slaa alidondoka Mwanza bafuni na akarudi salama.
Tatizo lako wewe kauza kila siku unabadilisha ID lakini maneno yale yale...Onyo: thread hii si nzuri kwa afya yako kama unasumbuliwa na magonjwa ya hasira, pressure, kukosa uvumilivu na kadhalika.
Tuna imanii na mkweelee hoyaa hoyaa hoyaaaa!!...
Rais Kikwete amewasili Dubai usiku jana akiwa njiani kwenda marekani kwa ajili ya matibabu na kufanya check up ya afya yake.
Maafisa wa ikulu wamethibitisha kuwa safari hii ni kwa ajili ya matibabu tu ingawa haijasemwa anasumbuliwa na nini
Pamoja kuwa ni tetesi kuna mod mmoja kafuta posts zangu kwa mahaba yake zingine kaziacha kazi kweli.
muulizen mama ake vizuri,inawezekana muda mwingi alikuwa anatoroka kwao msoga kuja daslam kumsalimia uncle
Nakumbuka kuna jamaa alishawahi kusema muheshimiwa asipojua kuendesha ndege atakua na kichwa kigumu sana..kwa safari hizi..
Nyie pro-Chadema najua mna chuki sana na rais wetu JK hata kama anakwenda kutibiwa tatizo lipo wapi acheni unafiki basi, juzi hapa kiongozi wenu Dr.Slaa kaongozana na girlfriend wake Josephine kwenda Ujerumani kuangaliwa afya mlishangilia sana leo JK mnaanza kuponda acheni siasa za makengengeza.
Safari 361 times (approx) 7 days time 3000USD
361 X 7 X 3000 = $ 7,581,000/=
$7,581,000 x Tsh 1,580/= (approx) =
TSHS 11,977,980,000
(BILIONI KUMI NA MOJA NUKTA TISA TISA)!!
UTANIBEEBA LEO.......!!!
Haya maneno mwambie Dr.Slaa ambaye alikwenda Ujerumani kutibiwa na girlfriend wake Josephine
Wamarekani wampe kansa tu watusaidie kutupunguzia mzigo!
Hivi kwann tusijenge ikulu nyingine marekani huyu mzururaji akakae huko?
wiki moja trip zaidi ya tano?
Hivi marekani hawana sera ya kukamata wazururaji kama hawa?
Wamarekani wampe kansa tu watusaidie kutupunguzia mzigo!
Hakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa
Binaadam hujafa hujaumbika. Hivi kakosea nini haswa mpaka umuombee hayo? wewe unauhakika wa leo na kesho na keshokutwa? unajuwa litakalo kufika na nani ataekusaidia dunia hii?
Amma kweli naamini sasa, watoto wa mzazi mmoja utawajua tu.