Mkapa alifuata nyayo zake ndio maana akampeleka UK kutibiwa. Lakin kubwa zaidi Daktari wake alikuwa ni Prof Mwakyusa. Je inaingia akilini Mtz asomeshwe medicine mpaka kufikia U Profesa alafu amtibie mtu mmoja? Huo sio ubadhilifu na kutumia vibaya resource za taifa lenu?
Hakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa
Rais kivuli Dr.Slaa anafuta nyao zake majuzi alikuwa Marekani, Ujerumani, Italy.
Anasumbuliwa na S&T allowances!! Ndani ya week mbili tu ................. RSA x2, Kenya, sasa UAE na kesho USA!! Kama kweli ni matibabu kulikuwa na haja gani ya kupitia huko Dubai. Au anataka kudai ana save pesa za walipa kodi kwa cheap tickets za Emirates!!??
Ivi nako marekani anapokelewa kiheshima au washamzoea wanahisi a nigger in the next street!!
Kufia nje kuna heshima yake ati!Hakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa
Haumwi huyo, anaenda kuangalia miradi yake. Kama mmegundua, siku hizi yeye ni kama mgeni Tanzania. Akirudi tu, anafanya ka ziara mikoani, anapiga picha na wajinga hili kuonesha alikuwepo, then anatokomea anakokujua.
Inawezekana ni maagano ya kishirikina kwamba asikae nchini zaidi ya muda fulani. Hadi kina michuzi waishamchoka sasa. Akifika Marekani, piga picha, Michuzi naye anapiga picha za majengo kuweka kwenye blog yake then wanarudi. Taifa linawalipa million 600.
Huyu baba hana huruma na watanzania, hapendi nchi yetu. Ni kama Zitto tu.
Watanzania mkiamua, hawa watu mtawatoa siku moja tu.
Ni wale wale. Hakuna cha Lowasa wala harambee. Inabidi bunge lifanye mkakati wa kuzuia malipo yake kwenye safari na kama rais. Tunamlipa kwa lipi sasa? Anatuhujumu mara mbili huyu juha. Tunamlipa bila kukaa ofisini na bado tunagharamia mamillion ya safari zisizo na tija?
Bunge liweke wazi badget ya safari zake na afungwe speed governor miguuni. Tuombe huko anakoenda wampime ubongo wake. Sidhani kama ni mzima huyu baba.
Hata mkuu wa mkoa Dar aishachoka kumpokea. Siku hizi anarudi kinyemera.
Hana tofauti na majangiri wanaotaifisha rasilimali zetu. Tena yeye anawazidi wale maana hata ukiua Tembo wote, huwezi kupata hela kama anayolipwa huyu mweu kwenye safari mbili.
Nakumbuka kuna jamaa alishawahi kusema muheshimiwa asipojua kuendesha ndege atakua na kichwa kigumu sana..kwa safari hizi..
Nyerere Miaka 24 Ikulu safari 66 nje ya TZ
JK miaka 8 Ikulu safari 361 nje ya TZ
Anayetetea safari za JK nje ya nchi ana matatizo ya kufikiri!!
jK mwenyewe aliwahi kusema kuna watu wanachuki hata ukifanya jambo gani zuri,lkn wao watakuchukia tu,leo ndo nimeamini.
Bavicha bana! Wewe humjui Mandela kaa kimya mara nyingi tu kaishaenda kutibwa Ulaya.
That is J.K for real!
Swali zuri sana!! ila sina uakika kama anaenda na hiyo ndege kwa safari za nje ya AfricaJamani hivi hawa mamechanics wa ndege ya rais wanapata muda wakuifanyia service kweli ndege yetu sababu kila siku ipo route tuu.Ok get well soon my prezidaa.Atarudi lini au mpk new year......................?
pona haraka chaguo la mungu na kipenzi cha wengi
Safari 361 times (approx) 7 days time 3000USD
361 X 7 X 3000 = $ 7,581,000/=
$7,581,000 x Tsh 1,580/= (approx) =
TSHS 11,977,980,000
(BILIONI KUMI NA MOJA NUKTA TISA TISA)!!
UTANIBEEBA LEO.......!!!