Rais Kikwete: Kuwa Makini Hii Issue Itakuangusha

Rais Kikwete: Kuwa Makini Hii Issue Itakuangusha

Jk anaamini kwenye dhana ya "Upepo". Na utapita tu.........
 
mbona kikwete mwenyewe na watoto wake wanahusika na hizi biashara?sasa ajitaje mwenyewe?
 
Habari ndio hio kaka; kama wewe ni msafi zaidi kua wa kwanza kutupa jiwe kwa mwenzio Ila kwa kua CCM hakuna msafi kuanzia kwa chairman wao hadi malamba viatu wake, hivyo usitegemee kama watatajana.

Iliniogopesha na kunisikitisha sana baada ya kusikia Kifo cha jasiri Marehemu Amina Chifupa bint mdogo aliyeamua kujitolea kuweka wazi mambo.

Hata hivyo jambazi hata awe amekomaa vipi, Siku akiwekwa wazi na akafahamika kila mtaa kuwa yeye ndiye mhusika ataacha tu kufanya kazi hiyo katika maeneo yote anayofahamika. Maana hata Gesti ya kufikia hatopata katika mkoa wowote anakopanga kufanya kazi na akipata chumba basi ni under uchunguzi full time.

Tupige kelele za kutosha halafu tuone JE HUO UGALI UTAMWAGWA NA MBOGA KUMWAGWA? kwa manufaa ya wananchi au Wataendelea kuvaa miwani kama kawaida.
 
Kama unategemea muhusika mkuu wa kusafirisha Sembe ni yeye mwenyewe Je ana uwezo wa kujikamata yeye mwenyewe??
 
Ipo siku inakuja, ukweli utasimama, wadhaifu wote hawataingia nyumba ile iliyopo magogon
 
Kwa hili nimeamini Ikulu ni pakuogopa kama ukoma, Mkuu wa kaya hawezikufanya chochote juu ya hili.
 
Nnesafiri kutoka dar mpaka ntwara sijaona nti wala nlima inategemea ntu na ntu si JeiKei huyu.
 
Last edited by a moderator:
Inteligensia inafanya kazi dhidi ya CHADEMA tu, mengine inteligensia haina uwezo wa kuya-detect! hahahahha....adia!
 
churchages.com Biblia Katika lugha ya Kiingereza: Sermons | Studies | Books | Missions | Stories
Ukrasa Huu: churchages.com-> Kiswahili -> Biblia -> Zaburi -> 49Sura ijayo | Kitabu kijacho
Zaburi 49
1 Sikieni haya, enyi mataifa yote; Sikilizeni, ninyi nyote mnaokaa duniani.

2 Watu wakuu na watu wadogo wote pia, Tajiri na maskini wote pamoja.

3 Kinywa changu kitanena hekima, Na fikira za moyo wangu zitakuwa za busara.

4 Nitatega sikio langu nisikie mithali, Na kufumbua fumbo langu kwa kinubi

5 Kwa nini niogope siku za uovu, Ubaya ukinizunguka miguuni pangu?

6 Wa hao wanaozitumainia mali zao, Na kujisifia wingi wa utajiri wao;

7 Hakuna mtu awezaye kumkomboa ndugu yake, Wala kumpa Mungu fidia kwa ajili yake,

8 (Maana fidia ya nafsi zao ina gharama, Wala hana budi kuiacha hata milele😉

9 ili aishi sikuzote asilione kaburi.

10 Naam, ataliona, hata wenye hekima hufa; -------- na mjinga hupotea pamoja, Na kuwaachia wengine mali zao.

11 Makaburi ni nyumba zao hata milele, Maskani zao vizazi hata vizazi. Hao waliotaja mashamba yao Kwa majina yao wenyewe.

12 Lakini mwanadamu hadumu katika heshima, Bali amefanana na wanyama wapoteao.

13 Hiyo ndiyo njia yao, ujinga wao, Nao walioko baada yao huyaridhia maneno yao.

14 Kama kondoo wamewekwa kwenda kuzimu, Na mauti itawachunga; Watu wanyofu watawamiliki asubuhi; Umbo lao litachakaa, kao lao ni kuzimu.

15 Bali Mungu atanikomboa nafsi yangu, Atanitoa mkononi mwa kuzimu, maana atanikaribisha.

16 Usiogope mtu atakapopata utajiri, Na fahari ya nyumba yake itakapozidi.

17 Maana atakapokufa hatachukua cho chote; Utukufu wake hautashuka ukimfuata.

18 Ajapojibariki nafsi yake alipokuwa hai, Na watu watakusifu ukijitendea mema,

19 Atakwenda kwenye kizazi cha baba zake Hawataona nuru hata milele.

20 Mwanadamu mwenye heshima, iwapo hana akili, Amefanana na wanyama wapoteao.

Sura ijayo | Kitabu kijacho
 
Habari ndio hii hapa....huu Ni ujumbe wa leo wajameni.....

Na hili tuombe FBI waje watusaidie upelelezi maana polisi wetu wamefeli kwani nahisi wanawajua au ndio wale ambao hawakuruhusiwa kuingia ikulu kwenye ile dhifa ya Obama?
 
ikulu inauza unga.pembe za ndovu .hii sekikali ni ya wauza unga kama ile ya zamani ya afghanistani ikulu inaratibu na kuzisimamia export and import .mkurugenzi ni m j k naibu ni nzoka.
 
nyie mnapoteza muda WENU BURE MSHAAMBIWA MADAWA YANALINDWA NA WANAJESHI NA POLISI YANATOLEWA BANDARINI,NANI ATASOGEZA MAKALIO YAKE KUYAKAMATA?
 
Umeongea kwa uchungu mkubwa , kwa kweli kubeba passport ya Tanzania ni matatizo kwa wengi wetu, na yamenikuta mara nyingi sana nikiwa safarini nje ya nchi. nchi nyingi wanafahamu wabeba unga ni watanzania , airports ukikaa na wasafiri wenzako wakajua wewe ni mtanzania wanakuwa na wasi wasi .
Mwaka jana nilisachiwa zaidi ya mara tatu or tambo airport , iliposhindikana nikapitishwa kwenye njia ya x ray . Nilifikiri racism at work, nikamuuliza security agent mmoja, kwa nini ilikuwa so harsh kwangu wakati wengine hawakupitia niliyopitia ,Jibu alilonipa macho makavu kabisa , kuwa Watanzania wanakakamatwa sana hapo na unga, na process ya kuingia kwenye x ray ina madhara makubwa , hivyo kwa vile sijakutwa na hatia naweza kudai fidia . Wako katika kuprotect national intrest by any means. Nilijawa na hasira na uchungu kwa pamoja baada ya jibu hilo ,nikajionea it was cheap for me kuendelea na shughuli zangu , kuliko kuhangaika na kesi za complaints.

Daah!! Mkuu pole kwa hilo kwakweli kwa hili nami limenigusa.Huu ni ujumbe tosha kikwete na vigogo wake aliowakumbatia..bila kumsahau Kinana na tembo wetu.
 
Back
Top Bottom