Rais Kikwete: Kuwa Makini Hii Issue Itakuangusha

Tanzania imebadilika. Kila watanzania wamechafuka kimataifa. Kila wanapobeba paspoti ya Tanzania wanaonekana wauza unga. Nakumbuka Rais, umewahi kutamka hadharani kwamba unayo majina ya wauza madawa ya kulevya lakini kwa bahati mbaya uliamua kuwa kimya. Rais, Kikwete, kwenye kampeni ya Chama Chetu, 2010, hawa wauza unga kwa kiwango kikubwa walichangia kampeni zetu na kutupatia ushindi mkubwa. Licha ya kwamba walitusaidia, mheshimiwa rais, madhara wanayoleta katika taifa hili ni makubwa kiasi kwamba hauwezi tena kuyafumbia macho. Wauza madawa ya kulevya wanakuwa na nguvu za ajabu ndani yah ii nchi. Wanamiliki majumba makubwa humu nchini. Biashara nyingi na kubwa ni zao. Kila sehemu kwenye uchumi wetu wamo. Ni bora ukachukua hatua na kuwashugulikia kisheria kabla hawajaliyumbisha taifa.

Hawezi kuwataja utashangaa kuwa hata yeye yumo kwenye wauza unga au prince Ritz
 
Mtoto wa mkulima aliwahi kusema bungeni eti mafisadi wakikamatwa nchi itayumba!!! Inawezekana ikawa kweli maana mtu kama Chenge aliyekiri kumiliki fedha huko Caymans Island millions of USD $, SASA hivi ni mwenyekiti wa kamati nyeti ya bunge letu tukufu!!! Mzee wa vijisenti, TANZANIA ISISILE!!!

Lakini tumeshaaswa na Mengi, tusipoangalia vizuri ipo siku nchi itatawalwa na .............

Tuzidi tu kuwazunguka zunguka hivi hivi ipo siku tutakuja kujuta pale watakaposhikilia vizuri na ukashangaa hadi hizi JF zikafungwa zote!!!!!!

Tuwaweke bayana nchi itikisike ili majani makavu yapukutike kwani hayausaidii tena mti wetu sio kutengeneza chakula wala kuuremba tena mti wetu uliokuwa unamea viruzi.
 
Lol...nchi imekwisha. Macho, kucha, na meno ni masuala ya Green guards. Hawa vijana ni wajinga na hawana mtazamo maishani wao kazi kunyanyasa wananchi kwa tindikali, kuchoma pumbu za watu moto wa jiwe/panga, kutoboatoboa uume wa watu na sindano za acupuncture (zile za kichina) huku wakikuimbia nyimbo za CCM.

mkuu ushawahi kuingia anga zao nini?mbona uko deep sana?au green guard?
 
Mtanzania ambaye hadi leo hii anatarajia JK achukue hatua dhidi uozo wo wote ninamwonea huruma sana! Atasubiri hadi 2016! JK ni huyu hapa: "orodha ya wafanya biashara ya madawa ya kulevya ninayo", " walioiba hela za EPA wazirejeshe", "vyama vya ushirika kichaka cha wezi", "majambazi ya mapori ya Ngara na Biharamulo wajisalimishe katika muda wa wiki mbili",.. (orodha ya malalamiko ni ndefu) - Rais wa nchi analalamikia uozo kama wananchi anaowatawala wanavyolalamika!! Kama angekuwa mtawala serious katika suala la vyama vya ushirika, kwa mfano, angeueleza umma hatua ambazo serikali yake imeishazichukua dhidi ya hicho "kichaka cha wezi". Sasa sisi walala hoi unatuambia kuwa ni chaka cha wezi ili tufanye nini? Tukuhurumie? Tukupende kuwa unajua kuwabaini wezi?
 
Tanzania imebadilika. Kila watanzania wamechafuka kimataifa. Kila wanapobeba paspoti ya Tanzania wanaonekana wauza unga. Nakumbuka Rais, umewahi kutamka hadharani kwamba unayo majina ya wauza madawa ya kulevya lakini kwa bahati mbaya uliamua kuwa kimya. Rais, Kikwete, kwenye kampeni ya Chama Chetu, 2010, hawa wauza unga kwa kiwango kikubwa walichangia kampeni zetu na kutupatia ushindi mkubwa. Licha ya kwamba walitusaidia, mheshimiwa rais, madhara wanayoleta katika taifa hili ni makubwa kiasi kwamba hauwezi tena kuyafumbia macho. Wauza madawa ya kulevya wanakuwa na nguvu za ajabu ndani yah ii nchi. Wanamiliki majumba makubwa humu nchini. Biashara nyingi na kubwa ni zao. Kila sehemu kwenye uchumi wetu wamo. Ni bora ukachukua hatua na kuwashugulikia kisheria kabla hawajaliyumbisha taifa.

Sidhani kama itatokea, tume bado kwani?
 
Lol...nchi imekwisha. Macho, kucha, na meno ni masuala ya Green guards. Hawa vijana ni wajinga na hawana mtazamo maishani wao kazi kunyanyasa wananchi kwa tindikali, kuchoma pumbu za watu moto wa jiwe/panga, kutoboatoboa uume wa watu na sindano za acupuncture (zile za kichina) huku wakikuimbia nyimbo za CCM.
WW umenichekesha sana, inasikitisha sana kama ndo hivyo, Mungu awarehemu, hawajui walitendalo!
 
Dawa ni kuwaondoa magamba madarakani ifikapo 2015. Ndani ya magamba hakuna mwenye ujasiri wa kupambana na maovu yanayo endelea hapa TZ .
 
Tanzania imebadilika. Kila watanzania wamechafuka kimataifa. Kila wanapobeba paspoti ya Tanzania wanaonekana wauza unga. Nakumbuka Rais, umewahi kutamka hadharani kwamba unayo majina ya wauza madawa ya kulevya lakini kwa bahati mbaya uliamua kuwa kimya. Rais, Kikwete, kwenye kampeni ya Chama Chetu, 2010, hawa wauza unga kwa kiwango kikubwa walichangia kampeni zetu na kutupatia ushindi mkubwa. Licha ya kwamba walitusaidia, mheshimiwa rais, madhara wanayoleta katika taifa hili ni makubwa kiasi kwamba hauwezi tena kuyafumbia macho. Wauza madawa ya kulevya wanakuwa na nguvu za ajabu ndani yah ii nchi. Wanamiliki majumba makubwa humu nchini. Biashara nyingi na kubwa ni zao. Kila sehemu kwenye uchumi wetu wamo. Ni bora ukachukua hatua na kuwashugulikia kisheria kabla hawajaliyumbisha taifa.

Umeongea kwa uchungu mkubwa , kwa kweli kubeba passport ya Tanzania ni matatizo kwa wengi wetu, na yamenikuta mara nyingi sana nikiwa safarini nje ya nchi. nchi nyingi wanafahamu wabeba unga ni watanzania , airports ukikaa na wasafiri wenzako wakajua wewe ni mtanzania wanakuwa na wasi wasi .
Mwaka jana nilisachiwa zaidi ya mara tatu or tambo airport , iliposhindikana nikapitishwa kwenye njia ya x ray . Nilifikiri racism at work, nikamuuliza security agent mmoja, kwa nini ilikuwa so harsh kwangu wakati wengine hawakupitia niliyopitia ,Jibu alilonipa macho makavu kabisa , kuwa Watanzania wanakakamatwa sana hapo na unga, na process ya kuingia kwenye x ray ina madhara makubwa , hivyo kwa vile sijakutwa na hatia naweza kudai fidia . Wako katika kuprotect national intrest by any means. Nilijawa na hasira na uchungu kwa pamoja baada ya jibu hilo ,nikajionea it was cheap for me kuendelea na shughuli zangu , kuliko kuhangaika na kesi za complaints.
 
Ama kweli Mwaga ugali nimwage mboga.

Habari ndio hio kaka; kama wewe ni msafi zaidi kua wa kwanza kutupa jiwe kwa mwenzio Ila kwa kua CCM hakuna msafi kuanzia kwa chairman wao hadi malamba viatu wake, hivyo usitegemee kama watatajana.
 
Yuko busy na mambo yasiyo na tija kwa taifa..
 
Napata wakati mgumu sana kufikiria je? Ni kwa nn Kikwete anashindwa kuwataja wale wote wanaojihusisha na SEMBE. Au ndo kusema "ukisema tu, na mimi nasema"
 
....and he was just rubbing shoulders with most powerful man on planet the other day!,
 
Haya ni madhara ya kuandaa thread huku ukiwa bar hata hajui anachoandika kichwa kimejaa viroba.
 
Dawa ni kuwaondoa magamba madarakani ifikapo 2015. Ndani ya magamba hakuna mwenye ujasiri wa kupambana na maovu yanayo endelea hapa TZ .
Kwa nini mbowe mnaendele kuwa naye ile hali iko wazi kuwa ni mtuhumiwa wa dawa za kulevya.
 
Vijana wengi sana pale bavicha hizi ndiyo dili zao wakongozwa na kileo na beni saa nane wao ni unga tu.
 
Tanzania imebadilika. Kila watanzania wamechafuka kimataifa. Kila wanapobeba paspoti ya Tanzania wanaonekana wauza unga. Nakumbuka Rais, umewahi kutamka hadharani kwamba unayo majina ya wauza madawa ya kulevya lakini kwa bahati mbaya uliamua kuwa kimya. Rais, Kikwete, kwenye kampeni ya Chama Chetu, 2010, hawa wauza unga kwa kiwango kikubwa walichangia kampeni zetu na kutupatia ushindi mkubwa. Licha ya kwamba walitusaidia, mheshimiwa rais, madhara wanayoleta katika taifa hili ni makubwa kiasi kwamba hauwezi tena kuyafumbia macho. Wauza madawa ya kulevya wanakuwa na nguvu za ajabu ndani yah ii nchi. Wanamiliki majumba makubwa humu nchini. Biashara nyingi na kubwa ni zao. Kila sehemu kwenye uchumi wetu wamo. Ni bora ukachukua hatua na kuwashugulikia kisheria kabla hawajaliyumbisha taifa.
Yaani tumefikia hatua kuogopwa kama wanaijeria aisee! Kweli ccm haiutuiwi ki mwili tu bali hata inaua image ya taifa.
 
Back
Top Bottom