Rais Kikwete kuhamishiwa Hoteli Maalum

Rais Kikwete kuhamishiwa Hoteli Maalum

Pale Kibaha pana dokita mashuhuri wa kupasua hayo madude na unapona kabisaa! Kasomeshwa na serikali kwa kazi hiyo tu.
 
Chanzo cha habari cha JamiiForums ambacho ni cha uhakika na kilicho ndani kabisa kwenye team ya JK kinatuhabarisha kuwa kuna mikakati inafanywa kumhamishia kwenye HOTELI MAALUM (ambayo watanzania hawatoambiwa ni ipi) Rais wetu na kipenzi chetu JK anapelekwa

Kinachoudhi ni kuwa hakuna coordinationa ya habari kati ya ofisi ya Rais, wizara ya mambo ya nje, ubalozi wetu hapa DC, wizara ya habari na maelezo kwa mfalme Assa Mwambene na himaya yake.

Chanzo kinazidi kutuhabarisha kuwa kumekuwepo kwa mnganano kati ya hizo idara zilizotajzwa hapo juuu. Na mbaya zaidi ni kuwa kwenye dunia hii ya leo ambayo habari zinarushwa kwa TWITTER kwa kila sekunde ni ngumu kwao ku control habari zinavyotoka na inasikitisha kuwa wanafanya mipango yao kisirisiri ili Rais wetu aendelee kukaa hapa Marekani ili wao waendelee kupata pesa zaidi za per diem

Nitaendelea kuwapa updates kwa kila baada ya masaa 3 ili mjue nini kinaendelea.
 
kwa kuwa wewe uko huko mkuu basi kamsalimie umwambie msd imekauka,hata kupata panadol shida achilia mbali hiyo oparesheni ya tezi dume
 
Waungwana,

Katika hizi picha zote za Kikwete akiwa hospitali USA sijaona hata picha moja inayomuonyesha mkewe Salma Kikwete, ni aje Wakuu? Hasa ukitilia maanani mara nyingi wanaambatana na Kikwete kwenye safari zake.

D92A3578.jpg
 
Kauli sii sahihi. Kwa kauli kama hizi unakosa hata BARAKA za Mungu maana Kikwete ni mpakwa mteule wake. Swala kutibiwa nje ni la kawaida na watanzania wengi wamekua wanatibiwa. Kuhusu wizi hebu tungoje ripoti zisomwe tuone wahusika na hatua zitakazo chukuliwa.
Kwa hiyo Kikwete amegeuka kuwa mzee wa upako? Alipakwa mafuta na nani? Ni njaa tu zinakusumbua!
 
Haya sasa unachodhani ni siri tayari TBC1 wameshakitangaza asubuhi hii, sema lingine
 
Mhe. Rais. Namba hiyo
ni +1-646-309-2295.
 
Huyo JK si ahamie tu Marekani naye awe mbeba maboksi kama sie....

Tena akitaka akae tu huko DMV kutamfaa.

Manake mwaka huu peke ni kama vile anakuja Marekani kila baada ya miezi miwili!

Mbona asubuhi asubuhi mnaamka na kupost ujinga tuuu.
 
Siasa mbaya sana, ila sishangai hata ZITTO alipofiwa na mama yake, kwa sababu tu yuko tofauti nanyi kisiasa, CHADEMA wengi humu mlisema bora amekufa, hata viongozi wenu hawakuhudhuria kwenye msiba wake, haya mnayoyasema kuhusu ugonjwa wa JK kwa MACHADEMA lazima tu.
 
Duh ila watu wanapiga maisha hiyo team aliyoenda nayo posho yao ya siku ni sh. ngapi ?
Mtu ukitoka huko ka sio kujenga kibanda basi ki vitz au ki rav 4 unacho au kiwanja
Acheni watu wamwage pesa kwenda ikulu maake pana faida kubwa sana kuliko biashara yeyote tena isio na stress zozote
Nafikiri siku 20 walizosema zitatumika tena ikibidi zitapungua hata siku 2 ili kuokoa pesa za wavuja jaso
Rais kikwete ni mtu wa watu, mpenda amani na Maendeleo.
Mungu mponye Rais wetu polepole kwa hakika ili asije pona ya haraka baada ya wiki moja akarudi huko kwa mwezi mzima.
Posho ya per diem ya msafara wa rais ni dola mia tano kwa siku. Na bado kuna marupurupu mengine.
 
Back
Top Bottom