mkuu rais huyu anatia hasara kuliko chaguzi kumi za urais,but don't get me wrong,i don't want him die,nataka ajiuzulu mwenyewe cuz nchi ilishamshinda.Word ! Wabongo Bwana Malalamiko mengine hayana hata msingi sasa , Afya ya Rais ni muhimu kushughulikiwa kwa umakini , Rais wa Nchi akifa , Nchi inaingia kwenye Gharama kubwaaa ya uchaguzi wa Raisi mwingine , Wewe Ukifa unahasara gani kwa Nchi ?? Sanasana Mkeo au mumeo atanenepa maana utampunguzia stress na magubu ! Hebu kafieni mbele ! si kila ishu siasa tu
Word ! Wabongo Bwana Malalamiko mengine hayana hata msingi sasa , Afya ya Rais ni muhimu kushughulikiwa kwa umakini , Rais wa Nchi akifa , Nchi inaingia kwenye Gharama kubwaaa ya uchaguzi wa Raisi mwingine , Wewe Ukifa unahasara gani kwa Nchi ?? Sanasana Mkeo au mumeo atanenepa maana utampunguzia stress na magubu ! Hebu kafieni mbele ! si kila ishu siasa tu
Mwalla, uliona NB yangu?!, yaani rais anaumwa, pole za sms kwa rais zinaombwa!, hadi number ya rais ili atumiwe sms inatolewa!, na ahadi sio tuu rais atasoma zote, bali rais atajibu zote!, hujashtuka tuu?!, zinazotakiwa ni pole au ni Dec, April na October?!. Ukiisha tuma sms kwa rais, na kujibiwa chini asate mimi Jakaya Mrisho Kikwete!,wewe huyo huyo utathubutu tena kupiga kura ya "hapana?!, kwanza tuu ile furaha ya kupata sms ya JK wengine sasa watatafuta hata kadi!.sio kazi yake kujibu hiyo ni kazi ya wapambe wake maana mgonjwa wa aina hii haitaji kusumbua kichwa chake. hivyo ukipokea asante ujue imetoka kwa mpambe wake. yeye wala hana habaaari.
Jk ni president, hata km sikubaliani na uongozi wake natambua anahitaji uangalizi mzuri na linalomfika Rais athari yake sio km linalonifika mimi. Linaweza hata kugusa utulivu wa nchi.
Km imelazimika kupata matibabu maalum know Rais wa nchi siwezi kusema eti nae aende Muhimbili.
Muhimu ni ushauri wa Daktari.
Hadhi ya clerk, Director, Minister etc haiwezi kulingana, Tujenge personality na zetu competence ili tupate privilege. Huo Ndio uhalisia mengine ni politichi.
Hii Kurugenzi huwa wananishanganza sana. Mara kwa mara wanafanya makosa ya kiuandishi.
Umakini ni muhimu sana; PROSTRATE na PROSTATE hayabebi maana sawa na ni upotoshaji ama kutokuwa makini
Hilo tatizo si dogo kama tunavyoaminishwa.
mara achezee manchester united,mara achezee csk moscow!wamemtuliza sasa.
Mkakati gani?
umeongea neno!maana watu wanabwabwaja tu na lawama nyingi.kwa hadhi na status yake anastahili kwenda popote kutibiwa.nyie mnaopinga rais kutibiwa marekan kama kwel ni wa zalendo huwa mnaenda kutibiwa hospital za kwenye kata zenu?jibu ni hapana.kila mtu huwa anatafuta pale anapoona patastahili kupata huduma kutokana na hadhi yake.tuache siasa wakat mwingine tuongee ukweli.
Huelewi kwasababu wewe kiraza umesoma imetolewa na kurugenzi ya mawasiliano ya Rais.Meaning huyu kacopy toka kwenye hilo tolewo unataka baraka gani tena.Wewe lazima kiraza sio bure.Kuna kitu sikielewi mimi. Huyu anayepanga "mkakati" huu ana baraka za "wenyewe"? Nini kinaendelea?
Sasa watu nae watakuJa kusema kwa nini apelekwe kwenye hotel maalum tunao elewa tumeelewa kwa nini.
hata wewe ukitwaa madaraka si utakusanya wasela wako bila kujali sana uwezo wao , au vipi ?