Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,393
- 15,544
We uliyeelewa tuambie hotel maalum ina nini cha maalumu tofauti na hotel nyingine mpaka iitwe maalumu
Chumba Cha Uangalizi Maalum.
We uliyeelewa tuambie hotel maalum ina nini cha maalumu tofauti na hotel nyingine mpaka iitwe maalumu
Sio unaona bali ni kweli jamaa alipewa kishikaji maana nafasi kama hizo hupewa watu waliopo kwenye utumishi wa umma lakini jamaa alimkurupua mshikaji toka Habari Cooperation akampa kitengo (ingekuwa kampa ukuu wa wilaya au ukuu wa mkoa angalau, ipo siku katibu wakuu wa wizara watateuliwa kutoka uraiani kwa mtindo huu). Pia sidhani kama hiyo kurugenzi ya habari ilikuwepo kwa waliomtangulia maana wanatuchanganya tu hawa jamaa kiasi kwamba hakuna umuhimu hata wa kuwa na msemaji wa serikaliHuyu mtoa taarifa naona alipewa hiyo nafasi kishikaji. Hivi unafanyaje obvious mistake kama hizi? Leo prostate imekuwa prostrate.
Shame on them.
Tiba
Rais Kikwete amekuwa kwenye Hospitali ya Johns Hopkins tokea Jumamosi iliyopita wakati alipofanyikwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) na afya yake imekuwa inaimarika kiasi cha kuanza mazoezi ya kutembea.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
12 Novemba, 2014
Hivi huyu jamaa alimkaimisha nani wakati anaondokA?
Sasa watu nae watakuJa kusema kwa nini apelekwe kwenye hotel maalum tunao elewa tumeelewa kwa nini.
Word ! Wabongo Bwana Malalamiko mengine hayana hata msingi sasa , Afya ya Rais ni muhimu kushughulikiwa kwa umakini , Rais wa Nchi akifa , Nchi inaingia kwenye Gharama kubwaaa ya uchaguzi wa Raisi mwingine , Wewe Ukifa unahasara gani kwa Nchi ?? Sanasana Mkeo au mumeo atanenepa maana utampunguzia stress na magubu ! Hebu kafieni mbele ! si kila ishu siasa tu
Ulitakiwa uangalie hayo maandishi mekundu ndipo ugundue kitu. Wamesema anapelekwa katika HOTELI MAALUMU halafu wakasema HOSPITALI MAALUMU yenye uhusiano na hospitali aliko sasa. Mkanganyiko!Ndiyo nini mkuu.
Ni njaa tu zinakusukuma kusema hivyo ili walau watoto waende choo, lakini sidhani hata kama haya yanatoka moyoni mwako ki kwelikweli.
Hii ni mara ya tatu sasa hii kurugenzi wa mawasiliano ya Ikulu ikikosea kuandia Prostate na wao kuandika Prostrate, Umakini wa hii kurugenzi uko wapi?
Kwanini habari zote zinazohusu medics wasiwe wanampatia Professor Mohammed Janabi (Daktari wa Rais) azihariri kwanza kabla ya kuzirusha!
Poor Salva Rweyemamu!
Huelewi kwasababu wewe kiraza umesoma imetolewa na kurugenzi ya mawasiliano ya Rais.Meaning huyu kacopy toka kwenye hilo tolewo unataka baraka gani tena.Wewe lazima kiraza sio bure.
Kama ni Premi, hayupo sawa upstairs. Lakini, PSU wameruhusu haya yatokee? Kwanini sasa? Angalia mikanganyiko ya Hospitali na Hoteli; something isn't right somewhere
Hii sio cancer lakini ? Maana yule dokta ni bingwa wa mambo hayo ? Na kama imeshamuenea mwilini na wamechelewa kuiwahi ndio tumuombee dua tena au keshakolimbiwa mtu hapa ,tunabaki kuchezeshwa gwaride tusilolijua ?
Hii ni mara ya tatu sasa hii kurugenzi wa mawasiliano ya Ikulu ikikosea kuandia Prostate na wao kuandika Prostrate, Umakini wa hii kurugenzi uko wapi?
Kwanini habari zote zinazohusu medics wasiwe wanampatia Professor Mohammed Janabi (Daktari wa Rais) azihariri kwanza kabla ya kuzirusha!
Poor Salva Rweyemamu!
Chumba Cha Uangalizi Maalum.
Chumba Cha Uangalizi Maalum.